Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Najua siku hizi mnadai mnafanya kazi kwa mtandao,mtu ana lodge document leo inachukua siku 8 mpaka 10 na hapo unafuatilia ,wakati mwingine inasahaulika kabisaaa!,halafu kibaya zaidi wakati...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Gazeti la Majira linatuhabarisha ya kuwa huko Kibaha huu mkasa umewakuta wanavijiji wanyonge.......... sijui wanavijiji hawa walengwa walipigaje kura..............................kama walichagua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
I have a good agriculture plan which will yield a profit of 15m within 4 month but it need a capital of 10m.for anyone interested with this please contact with me with adress firstone2011@yahoo.com
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau poleni na mihangaiko inayotuweka mjini, naomba mwenye ujuzi au uelewa wa malighafi inayotumika katika utengenezaji wa vioo anijulishe jamani, na je hapa kwetu Tanzania kuna kiwanda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari fellows! binafsi napenda kujua na ninashauku kubwa kwanini budget ya nchi yetu uandaliwa na non-economists nkimaandisha mawaziri ambao wengi wao hawajasoma uchumi indeep nakusabisha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
I’m often asked how social networks can be used for practical business purposes. While convincing people that LinkedIn is a good professional tool is not hard, many folks are not using Facebook...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salam wakuu, mlioko mjini (dar), hivi wazo la kuwa gaming centre yenye machine za kisasa inaweza kulipa? Tafadhali nijuzeni, kama kuna game centre yenye mashine za kisasa wanatoza bei gani (kwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wana JF; kama kuna mtu ambaye ana bidhaa ambayo anafikiri kuongeza masoko, ninaweza kufanya marketing hapa Zanzibar na kuwa sales represenative wake.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msaada kwenye Mtaro hapo!!Hivi jamani wakuu kwa niaba ya mke wangu ambaye anataka kufanya biashara ya kupeleka bidhaa zilizotengenezwa na ukili! ila sasa mpaka sasa hivi bado tunahangaika kujua...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Inasikitisha Kwakweli Katiaka Ulimwengu wa sasa pale Demand ya Service ni Kubwa ila hamna Supply. Nimezungukia Tanesco Mpaka Nimechoka, ni Mwezi wa Nane huu hawa jamaa wanajisuasua tu kuniwekea...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna habari za ndani kuwa TANESCO imefilisika wala haikopesheki tena.source katibu mkuu wa wizara!kama kuna mwana jf aliye na data zaidi amwage hapa. Tukumbuke 8% only ya watanzania ndio wapatao...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
source: TBC1 sijui wanalalamika nini hao hao ndio juzi wamepiga kura kuendeleza ujinga huo!sitaonea mtu huruma kwa lolote lifanyalwo na serikali ya ccm!
0 Reactions
66 Replies
7K Views
Najua kuna wadau wa TRA humu jamvini for the past 8 weeks tumekua tunashuhudia mambo mengi sana ya ajabuajabu kutoka TRA.. personally kuna incidences tatu nimezipata ya kwanza mliuplift gari na...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa kuwa mimi si mtaalam wa uchumi nitaanza kwa kuomba radhi pale nitakapoandika mambo yatokayo kwa mtu wa kawaida (lay person). Ni kuhusu bei ya mafuta inayozidi kupaa kila siku. Sasa hivi bei...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
[FONT="Century Gothic"][/FONT Wachumi naomba mnisaidie maana kamili ya neno Inflation kwani naona bei za vitu zinazidi kupanda lakini anakuja afisa mzito wa Serikali/Takwimu anasema Inflation...
0 Reactions
3 Replies
40K Views
Ivi ni kwamba madini yameisha chini au? Nasikia vitu vimeanza toweka wakati kuna walinzi Mbaya zaidi wameacha MASHIMO jamani ivi hii serikali iko serious bse ata sustainable environmental...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Chinese workers build 15-story hotel in just six days As the United States and China battle over the finer points of currency manipulation at the G-20 summit, American negotiators may want to...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wanabodi nawasalimu, nimepata mradi ULIONIZIDI KIMO ambao nina uzoefu nao kiutaalam, kwa kawaida (kutokana na uzoefu ) profit margin inarange kati ya 40-55% NATAFUTA MUWEKEZAJI (MSHIRIKA WA...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
With Gold Prices hitting a new record high of $1403 and currency volatility looms the currency markets concerning what should be a medium of exchange. Some financial regulators are proposing a...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wiki iliyopita nilisikia kuwa TUCTA wanapanga kuipeleka Serikali mahakamani kwa kuchakachua mishahara ya wafanyakazi sekta binafsi. Wakati wa kampeni tumesikia kuwa wafanyakazi wa serikali...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…