Watu wengi wamekuwa wakijuliza Nini kimetokea kwenye bei za bidhaa za electronic Kariakoo hasa Tv wengi wao wanamekuwa na hofu sana ya kutaka kununua bidhaa hizo kutokna na urahisi wa bei na wengi...
MBUNGE ZAYTUN SWAI: Riba za Mabenki kwa Watumishi wa Umma na Sekta Rasmi ni Kubwa Sana, Serikali Iangalie Namna ya Kupunguza Riba kwa Watumishi
"Naomba kutoa pole kwa watanzania wakiwemo wananchi...
• Equity imeorodhesha kuwa chapa ya 2 ya benki imara zaidi duniani.
• Equity yaibuka kama benki imara zaidi barani Afrika.
• Thamani ya chapa ya Equity ilipanda kwa Dola Milioni 22 kutoka...
FORBESBILLIONAIRES
Tanzania’s Richest Man Wants To Be Africa’s Biggest Farmer — If Everyone Gets Out Of His Way
Mohammed Dewji
Mar 14, 2024,06:30
Globe-trotting billionaire Mo Dewji made a...
Wadau wa JF,
Naomba kupitia thread, watu mtupe elimu na watu wajifunze namna ya kuweka order, kulipia, na kusafirisha (shipping) bidhaa kutoka kwa manufacturer kwenda Dar kwa usalama zaidi...
Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Barrick nchini, Georgia Mutagahywa, akiwa na wanafunzi wa kike waliofanya vizuri katika somo la hisabati muda mfupi baada ya kukabidhiwa zawadi za laptop kutoka...
If you want to be rich and famous, you have to focus on your strong points. Don't dwell on your weaknesses. Choose your strongest asset and build it into a formidable asset.
After finding your...
Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge wa Viti Maalum na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) Akizungumza katika Mkutano wa Wanawake walio katika Sekta ya Fedha ulioandaliwa na...
Hii kinywaji ni imported, from Kenya nadhani, by Serengeti Breweries Limited. RRP 3,000/= TZS
Ni alternative nzuri sana kwa wale wanaokunywa pombe ila hawanywi beer. Hii kitu ni lemonade...
Nikiwa kama miongoni mwa raia tunaopambana nje ya mfumo rasmi nimefikiria kuwekeza kwenye mfuko wa amana za serikali wa UTT AMIS kwenye scheme ya BOND TRUST FUND ambayo itanipa gawio la kila...
✅Nadhani tupunguze matumizi yasio ya lazima, kuna miradi ya miundombinu isioendana na uhalisia wa uchumi wetu na miradi inayofilisi nchi sababu malipo mengi yanafanyika Kwa dola huku vyanzo...
Habari wanajamvi,
Naomba kupewa muongozo kuhusu biashara ya kuuza maziwa fresh na mgando kwa mji wa Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na
Vifaa vinavyohtajika
Upatikanaji
Gharama za manunuzi
Na eneo...
-Charges
-power bank
-protecter
-machine za kunyolea za kuchaji
-visu vya kujilinda
-torch
-mikanda
-simu ndogo ORIGINAL hasa za Nokia
-flash
-vifaa vya mazoezi mfano kamba
Anayejua machimbo...
Habari wakuu Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika fani ya Computer science (degree mwaka wa pili),
Naomba ushauri kutoka kwenu juu ya fursa ambazo naweza kujiajiri nazo ,( kwenye fani hii ya...
Matumizi ya email za kampuni (Corporate Business Email Address) ni moja ya njia rahisi kabisa ya kutangaza biashara yako kwa wateja. Kitu ambacho nilikuwa ninajiuliza sana, inawezekana vipi mtu...
Habara wana jamvi,Naomba kujua vigezo gani natakiwa kuwa navyo ili niweze kumiliki duka la madawa.Pia naomba kujua dawa kwa bei ya jumla jumla zinanunuliwa wapi?
Wakuu kwema
Naombeni ushauri wa kimawazo , mimi nilikosa tuition fee nina bumu tu.
Kozi yangu ni ya miaka mitano , uwezo wa kiuchumi upo chini, nilikata rufaa kuomba mkopo upya sikupata ...
Habari,
Karibu CITIZEN CARGO LTD
Kampuni ya usafirishaji wa mizigo kutoka CHINA kuja TANZANIA Kwa Ndege (Express Air Cargo)
Gharama zetu ni nafuu kama ifwatavyo;
1. From 1Kg - 10Kg: 12$/Kg...