Nauliza hili nikiwa na sababu.
vita ya Ukraine imeibua mengi sana!!Yote tisa kulikua na hili la utakatishaji pesa ambao mji wa London kwa makusudi ulikua umetoa muanya kwa matajiri wengi hasa...
Natumai wote ni wazima wa afya, naomba mwenye kujua wapi ntapata maroba ya kuanzia debe sita kwa bei ya jumla, na kama kuna mtu anajua bei ya jumla yanauzwa shs ngapi.
Habari zenu Wana JF,
Awali ya yote ningependa kumshukuru mwezi mungu Kwa kutujalia uzima na afya njema Kwa niaba ya wa JF wote.
Andiko langu ni kutaka msaada Kwa waliotangulia katika tasnia ya...
Watu wengi tunaogopa kuanzisha biashara fulani kwa kuogopa kwamba ma giant wameshajaa hivyo hatutapata wateja.
Soko la maji ya kunywa lilikuwa limetawaliwa na kilimanjaro, kila sherehe ya harusi...
Nini itakuwa nafasi ya kampuni za usafirishaji za Abood and Hood kwenda na kutoka Morogoro kufuatia ujio wa treni ya umeme Morogoro - Dar es Salaam?. Naona kama vile itabidi waanzishe routes za...
Habari Wana Jukwaa.
Tunaposema Mama Samia aongezewe miaka mingine mitano ni mambo kama haya tunayatazama,
Haya mambo hayakuwahi kufanyika tangu uhuru wa Taifa hili but why now?
Sasa twende...
Hey naomba kuuliza wapi kuna matokeo positive baada ya kuboost post ya bidhaa yako??
Kwenye wateja namaaanisha
Na je naweza kuweka pesa kiasi gani ili niweze kupata matokeo MAZURI ?
Bwana mdogo anatafuta bajaji ya mkataba. Ni mkazi wa Dar. Nimefikisha hitaji lake Jamiiforums kama platform sahihi.
Wasifu wake: Ameshawahi kuchukua bajaji za mkataba 2 na kufanikisha kumaliza...
Bhandugu,
Kama kichwa kinavyosema.
Hivi ni kwanini kipindi cha mfungo biashara mbalimbali (isipokuwa zinazohusika kutengeneza futari) huwa zinakwenda vibaya? Yaani nenda bar mambo huwa sio...
Wakuu habarini za leo, natumai mko kamili gado.
Ninalo wazo kubwa la biashara ambalo likitekelezeka hakika litanipatia ukwasi wa kutupwa na nitakuwa moja ya matajiri vijana kwenye hii nchi...
Wakuu habari ya asubuhi. Hongereni na majukumu na pia Poleni na changamoto za hapa na pale katika uwajibikaji, ni sehemu ya maisha tu.
Kwa nia njema tu naomba nitangulize angalizo kwamba hili sio...
Tangu niingie kwenye kubet adi sasa sijapata faida yoyote Zaid ya hasara kila nikisomaga post xozote za kuhusu kuifaidi betting karbu wote wanasemaga usiweke timu nyigi odds 2 tu zinatosha Ayo...
Habari za wakati huu;
Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na juhudi zenu za ujenzi wa taifa.
Leo ninawaletea mjadala kuhusu model ya biashara inayoitwa Destination Marketing...
Huwa nafanya matangazo ya kulipia Instagram,
Sasa nili boost post huwa inakua approved ndani ya masaa 24,
Huwa wanakata pesa before post haijaenda hewan,
Sasa niliset tangazo likae hewan siku 4...