Wasalaam Wakuu
Kama kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mjasiriamali natamani kuwekeza kwenye mradi wa kupasua mawe na kutoa derivatives i.e. kokoto, chipping na mchanga ulio katika powder /...
Habari zenu wana JF, Naamini wote ni wazima wa afya.
Mi ni kijana mpambanaji na kwenye harakati za utafutaji nikajikuta niko nje nchi na ni mda sasa tangu nilipotoka tz, Mungu amesaidia...
Habari za muda huu wadau. Mie nimuajiriwa wa sector X. Kipato napata cha kawaida. Nina mtaji hapa wa milioni mbili. Nipo mkoa wa lindi nianze Biashara gani iniingizie Atleast pesa ya mboga.?
Tufaidishane pengine tukaokoa watu wengi kutotapeliwa au kuingiza faida.
Kuna namba ilinitumia message telegram wakidai wao ni kampuni ya marketing za online ambapo wanafanya media buy...
Habari Wafanyabiashara ,
Kwa sasa soko la zao la Ufuta ni kubwa sana, Msimu wa mwaka jana ufuta ulinunuliwa kwa bei ya Tsh 4000 kwa kilogram moja.
Msimu huu kuna uwezekano mkubwa wa bei ya ufuta...
Nawasalimu Kwa salamu zote halali, niende direct!
Hiviii, unajisikiaje unatafuta pesa Kwa shida, unahifadhi taasisi za kifedha au baada ya kazi ngumu posho inapitia moja ya taasisi ya kifedha...
Mimi ni trader wa forex katika soko la gold ambayo pear XAUUSD niliyoingia nayo ilinipa kama usd 7700 kwa lot size 20 kipindi cha nyuma mwaka 2021.
Kipindi cha nyuma kutrans pesa kufika kwenye...
Habari mimi ni mfanyabiashara mdogo wa nguo za mtumba hapa Dar es Salaam nilikuwa nataka kuongeza wigo wa wateja kwenda minadani kuuza biashara.
Nilikuwa naomba kujua ratiba mbalimbali za minada...
Hii ni biashara ya bwana mdogo fulani, mji kasoro bahari. Familia yao ilikuwa ikinipokea wakati naenda shule hapo mji kasoro bahari. Mwaka juzi aliomba mtaji mdogo afungue biashara ya salon. Naona...
Habarini wananzengo
Nahitaji kufungua biashara ya kisasa kidogo ya kibanda cha chips
Je ni mambo gani ya kuyazingatia kiserikali(eg TRA, jiji) na kibiashara?
Asanteni.
Hivi karibuni kumekuwa wimbi la ongezeko la kampuni zinazokopesha hela mtandaoni.Na wengi wamekuwa wakikopa pasipo kujua uhalali wa hizi kampuni,na wengine kuzilalamikia kuwatoka riba kubwa sana...
Aisee leo nimeshangaa naambiwa kuna jamaa anatengeneza MILLION KWA SIKU MOJA wakati hiyo ni budget yangu miezi 2.
Malengo yangu kwa sasa ni kuweza kutengeneza laki 2 tu kwa siku!Mlioweza...
Habari zenu wana jf. Leo nataka niwaambie kuhusu fursa za biashara ndani ya falme za kiarabu na wadau wengine wenye uzoefu na huku wanaweza kuongezea ambapo sijapagusia.
Uwepo wangu huku kwa...
Tuna kawaida mtu akiandika kitu cha kugusa mahala fulani utasikia umetumwa
Mimi naandika haya ambayo nimetendewa na nimeona hii ni fursa ya kuwasilisha dukuduku langu
Huenda nisifunguke sana...
Ciao!
Scale upto 4 to 6 busines figures kwakutumia mbinu hizi
A) Streamlined Operation and System
katika biashara inalenga kuboresha ufanisi wa shughuli na mfumo wa biashara kwakuwa startups...