Biashara ni mbegu, ili mbegu ikue inahitaji kumwagiliwa, mbolea, palizi, pruning etc. Hivyo hivyo biashara ili ikiwe inahitaji promotion na advertisement.
Kila biashara inahitaji watu, watu...
Habari, zenu wanajukwaa poleni na majukumu pia kheri ya kuvuka mwaka.
Wanajukwaa nauliza sehemu ya kupata mifuko ya 25kg ile ya unga mfano wa azam, azania. Pia natafuta mifuko ya gunia nzito kwa...
Wanabodi habari!
Kama kichwa kinavyojieleza nahitaji mkopo Personal wa Tsh Milion 1 kwa Makubaliano yeyote Yale.
Dhamana yangu ni kiwanja kilichopo Kwa Mwangosi huku kwa Wanyalukolo.
AU
kwa...
Salute!
Kwa wafugaji wa kuku wa nyama Dar soko ni rahisi sana tofauti na mikoani ambapo mtu hulazimika kuuza reja reja hadi kuku watapoisha.
Kwa Dar una option mbili:
1. Reja reja ambapo bei...
Kumekuwa na Tabia za matapeli wengi kuongezeka kwa njia ya mtandao hususani mawakala wa kutuma na kutoa pesa.
Ukienda polisi kesi za wizi wa mtandao ni nyingi mno na hazifanyiwi kazi na Wingi huo...
Najua kuna mnaofanya hii biashara na inawalipa sana. Kama inakulipa basi ni ether;
1. Unapangisha fremu za maduka (kama location n nzuri au barabarani)
2. Wenye apartment katikati ya mji
3. Wenye...
Habari za asbh ndugu zangu,
Moja kwa moja kwenye Mada, Kutokana na changamoto ya ajira nimeamua kujichanganya na nianzishe biashara ya yangu mwenyewe ya kuagiza mzigo kutoka alibaba au aliexpress...
Naomba nimtumie rafiki yangu kama kidubwasha cha mfano.
Aliuza kiwanja cha urithi kule Nanjilinji, akauza na nyumba aliyopewa pale Mburahati. Akanunua mzigo wa friji na Tv za Sumsung za kutosha...
Habari wakuu, mimi nina idea na biashara lakini nimeshindwa kabisa kuanza kwasababu ya kiuchumi.
Naomba kuuliza ni bank ipi inatoa mikopo kwa watu aina kama yangu au kama kuna mdau wa JF ataweza...
Kupitia kutafutatafuta maarifa ili kuwa wa kisasa (up-to-date) kulingana na matakwa ya dunia hii ya mabadiliko (dynamic world), nimekutana na jambo la kiuchumi ambalo sijaelewa tafsiri yake...
Ndugu zangu kuna tatizo gani mzunguko wa fedha umekuwa ni kidogo sana. Biashara haziendi kabisa na kama vile biashara zimesimama kabisa. Kama nchi tunaelekea wapi?.
Nilikua na wazo hili muda sana.
Baada ya kufanya utafitu nikaona Kununua na kuuza mbuzi nikaona kma kununua mbuzi wadogo au waliokonda na kuwanenepesha kisa kuwauza itakua poa!!
Je kuna mtu...
Jamani mimi nataka kujua hivi Tanzania inamiliki pesa jumla kiasi gani?. Nataka nichukue jumla ya pesa zote Tanzania nigawe Kwa idadi ya watu nchini halafu tujue wastani kila mtu anatakiwa na...
November 2023 Waziri mkuu Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa alifungua Wiki ya Huduma ya Fedha Kitaifa, jijini Arusha na kutoa maagizo kwa Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
CAM STORE
Tumekuletea BioEarn Feed Additives ama nyongeza ya malisho.
Virutubisho vya BioEarn vimetengenezwa kitaalamu kwa kutumia Unga wa mimea yenye Vitamini na Protini nyingi katika uwiano wa...
Hii iwafikie watawala!
Kuna kasumba ya watawala kuwa wazungu wanapenda vitu duni na mapori kucheki wanyama!
Siwalaumu labda ni kweli lakini Utalii unaoongoza ni utalii wa miji au utalii wa...
Habari ndugu kwa wenye uzoefu kuhusu vifungashio vya nafaka mfano mchele kupaki kwenye lebo kuanzia 5kg na kuendelea gharama yake ikoje kwa kila mfuko na nembo
Wakuu habari zenu,
Nilikuwa nafanya kazi ndogo sehemu fulani na ilikuwa inanisaidia sana kupata mahitaji muhimu. Kazi yetu ni ya mkataba na umeisha mwezi uliopita, tumejaribu ku-renew lakini...