Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakubwa kuna mtu ananipa somo kuhusu uwekezaji wa mtandani kupitia kitu inaitwa Effiliate naomba oujua zaidi kama ni cha kufanya au cha kuacha maana naweza kusema naipotezea kumbe naweza kupata...
0 Reactions
0 Replies
411 Views
Dar es Salaam. Tarehe 16 Januari 2024: Katika kuimarisha uwezo wake na ushirikishaji wa wadau, Taasisi ya CRDB Bank Foundation imesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na Shirika la Maendeleo la...
1 Reactions
1 Replies
389 Views
Habari wana-JF! Nipo na 5m ambayo nafikiria kuwekeza kwenye biashara. Nimepitia mawazo mengi ya biashara ila gaming lounge naona ni biashara nzuri kuanza kwa mtaji nilionao. Faida ya eneo nilipo...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba msaada, kama kunamafunzo au sehemu wanafundishi jinsi ya kuagiza mizigo nje ya nchi nahitaji kupata elimu hiyo
1 Reactions
15 Replies
989 Views
Watu MASIKINI Wameundiwa Mfumo, Utakaowaongoza. Ili wasivuke katika MIPAKA ya UMASIKINI wao. Unasema nimejuaje? Sasa Hebu Angalia… Wakati wa zamani Wazungu waliigawa dunia katika Vipande...
3 Reactions
15 Replies
735 Views
Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani? Samahanini wakuu, naombeni mchango wenu on regard of heading above
2 Reactions
2 Replies
908 Views
Kama unadhani vijana wanaojihusisha na kazi ya kubeba mizigo ya watalii ndani ya hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimajnjaro(KINAPA) maarufu kwa jina la 'wagumu' ni vijana wasijiotambua na ambao...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari, naomba mwenye uzoefu wa kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online uitwao tausi portal unaopatikana katika tovuti ya Tamisemi, anisaidie namna ya kupata mawasiliano ya huduma kwa...
2 Reactions
45 Replies
16K Views
Wakuu salama. Natafuta business partner/Investor awe na capital at least 5ml hadi 10ml. Aina ya biashara: ni biashara ya butchery, mayai na maziwa Eneo: ni Kahama na Mwanza Kwa sasa biashara ina...
7 Reactions
6 Replies
682 Views
“A CALL FOR REFORM” 1.0 Introduction Time is of the essence, especially in the realm of tax disputes where financial stability and regulatory compliance hang in the balance. In Tanzania, the...
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Bonjour Wakuu, embu tupeane ushahuri hapa Leo, jinsi unavyo weza ku save pesa hapa mjina daslam .. Aisee hiki ni kipengele sana kwangu, una save pesa, mara linakuja tatizo moja heavy, unajikutana...
11 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu, Nina ofisi zangu za Uwakala wa mitandao ya simu na nimekuwa nashangazwa na Kamisheni ndogo zinazotolewa na Vodacom. Mitandao mengine ipo vizuri kiasi chake lakini Vodacom wamekuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii Forums Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu x. Nimeona kutunza pesa sio kazi rahisi sana, hivyo nimeamua Kila boom nitakalopata nanunua mzigo mfano pochi. Nguo halafu naweka...
11 Reactions
73 Replies
3K Views
Salam, Toka Disemba nilienda kununua Azam hazijafika. Nimerudi Jana tena maduka ya Karatu yote hayana hizi decorder za Azam. Nikanunua Dstv nikasema ngoja nione wakoje. Wakanipa kifurushi Cha...
7 Reactions
28 Replies
1K Views
Habari members Nina shida na million 15 haraka Sana ndani ya wiki hii lakini Sina chochote Cha kuuza chenye thamani ya mil 15 Wala Sina asset ya kuweka dhamana nikakope bank au kwa mtu yoyote...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari wapendwa nina Mpango wa kufanya biashara ya mpunga Yan kununua na kuweka stock naomba msaada yoyote anaefaham tafadhal [emoji120]
2 Reactions
32 Replies
14K Views
What is a Real Estate Investment ?, Benefits of a Real Estate Investment , Best Cities for Real Estate Investment..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukikopa Bank 20M kwa riba 16% kwa muda wa miaka 9(miezi 108) unalipa 37,854,541.16, kwa ufupi ni kama M38 hivi,(KAUSHA DAMU P2) Hii ni kutokana na kikokotoo cha loan calculator, Sasa nataka...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Msaada kwa anayejua kilipo kiwanda cha kutengeneza rain boot (wanavyotumia wakulima) kwa hapa Dar es Salaam. Natanguliza shukran.
1 Reactions
6 Replies
629 Views
Je, ni hatua gani zinahitajika kupata mkopo wa hazina? Na vipi kuhusu mikopo ya stanbic bank nasikia riba yake ni nafuu, ikoje wadau!
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…