Wakuu Sina mambo mengi, naombeni uhakika wa utoaji wa mkopo toka Tala online loan.
Niko kwenye Mazingira ambayo nahitaji pesa na nimekutana na matangazo Yao online nikaona wanaweza kuwa msaada...
Huko Twitter Carol Ndosi aliuliza "Kuna Uhaba wa Dola"? Majibu yalikuja ata kwa kwa watumishi wengine wa bank wakisema ndiyo!
Sasa hizi mbwembwe za World Bank Uchumi wenu huko imara unatokana na...
Sitaki kuongelea bitcoin miaka 10 iliyo pita wala sitaki kuongelea the likes of etherium miaka kadhaa iliyo pita.
Kuna coin ambazo zina huge potential na mpaka sasa zina bei nafuu kweli kweli...
Wakuu naombeni mnisaidie mambo mawili
1. Makato mapya ya uwakala nataka nifahamu, maana nilitoa pesa 1,700,000 wamekata 11,500.
2. Pia naomba nijue kupata taarifa fupi za mwezi za miamala za...
Nikienda kwenye Mada moja kwa moja.
Serikali iliamua kuja na mpango mzuri wa usafiri wa umma wa haraka kama ilivyo kwenye Majiji mengine huko duniani ingawaje wenzetu wamepiga hatua zaidi...
Ripoti ya benki ya dunia Desemba, 31, 2023. Juu ya mauzo ya bidhaa katika Jumuia ya nchi za Afrika mashariki. Jikite pale tunauza kiasi gani, nasi tunanunua kwao kiasi gani.
Tanzania kwenda DRC...
Mliyowahi kuagiza bidhaa mitandaoni naombeni uzoefu ili nifikiwe na mzigo wangu kwa urahisi na uaminifu nifanyeje?
Na vitu gani nahitaji kuwa navyo ili niagize laptop
Na je nikiagiza laptop...
Naombeni muongozo wakuu kuna bidhaa nimeipenda alibaba nikataka kukiorder bei yake ni 0.78 usd lkn ukija kwenye shipping fee ni 65.90 usd hadi nikachoka kabisa.
Nauliza hivi kuna namna naeza...
Habari za muda huu wanajamii.....
Kwanza niseme tu kuwa mimi ni mjasiliamali mdogo nafanya kazi ya kuuza kava na vitu vidogo vidogo vya simu.
Kinachonipa tabu ni hii biashara ya makava ya simu...
Ngoja Mimi Leo nitoe njia ambazo Mtu anaweza kupata mtaji Kwa ajili ya Kuanzisha biashara ambayo anatarajia kuifanya.
wote bila Shaka Tunakubaliana kuwa watu Wengi wapo na ideas nzuri Sana za...
Habari zenu mafrelancer wenzangu? Dhumuni la uzi huu ni kuhitaji sehemu ambapo tutakutana na kushare ideas, tips and tricks na changamoto mbalimbali kwa wale ambao tunafanya kazi fiverr na upwork...
Wakati dunia inazidi kubadilika technologically, Nchi za Ki-Africa hatuna sababu ya kubaki nyuma maana resources zote za mtandaoni ni za dunia na wala si nchi fulani. Nadhani kama umepata kuona Ai...
Jamani salama umu ndani,
Ebhna mi nina milioni 5 zangu, natafuta biashara ya kufanya ili niweze kuizalisha hii pesa iingie kwenye mzunguko.
So natafuta wazo la biashara ambalo linaweza kuwa...
Leo tujifunze kuhusu Fiver na Upwork.
Hello Habari wana JF
Ni imani yangu kuwa wote wazima na mnaendelea na majukumu ya kujenga taifa, na wale wenye changamoto mbalimbali zinazowakabili aidha...
Wana jamii jamani hebu nisaidieni.
Nataka kufanya hii biashara ya kuuza vinywaji kwa Arusha inakuwaje?
WADAU WENGINE WANAOHITAJI USHAURI KUHUSU BIASHARA HII
WanaJF habari za Jumapili,
Naamini...
Kusema "Africa ni bara lenye giza" ninaweza kueleweka vibaya na kuonekana kama siyo sahihi. Lakini ukweli uliopo naona Africa ni bara lenye giza totoro, lililokosa watu welevu, ingawa natambua...
Habari zenu wadau
kuna fununu za chinichini kuwa hawa jamaa wanasumbua pale mtu unapotaka kutoa pesa kutoka mfuko flani....wanadai baada ya siku kumi za kazi. Je ni wakweli? kuna yeyote aliyewahi...