Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wanajamii, Mimi ni kijana niko chuoni Nina laptop yangu yenye thamani ya 1,500,000 natumia ina best specifications nilinunua kwa kazi za graphics na chuo masomo ya IT sasa nilawa siingizi...
1 Reactions
0 Replies
974 Views
Wanajanvi, ninaomba mniambie, kwa watu waliowahi kuwekeza wanapata manufaa gani. Je huu mfuko ni sawa na kununua hisa? Je unapataje manufaa? Mwanye uzoefu anieleze tafadhali, asante. ===========...
2 Reactions
155 Replies
80K Views
Lengo la swali langu hili ni kupata company kutoka kwa hawa wamachinga wa mbezi maana nami ninampango wa kufungua meza yangu ya biashara hapo mbezi mwisho. Nilishapata eneo na nimeongea na mmiliki...
16 Reactions
111 Replies
6K Views
1. Mshahara haujawahi kutosha. 2. Ongezeko la mshahara huwa haliendani na ukuaji wa gharama za maisha. 3. Mshahara huwa unaleta uteja, unapozoea kupokea kila mwezi unakuwa kama mlevi. 4...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Uwekezaji katika Bond au Hati fungani ni aina ya uwekezaji ambao imekuwepo kwa muda mrefu sana katika nchi mbalimbali, Hata hivyo hapa nchini kwetu dhana hii ya uwekezaji bado inaonekana kwa ni...
6 Reactions
147 Replies
65K Views
Ninaomba msaada wa mawazo au hata connection ya kupata chimbo la mzigo wa T-SHIRT CHAMBUU nzito kwa Kariakoo au kwa china[emoji120]
2 Reactions
4 Replies
749 Views
Naibu Waziri Kihenzile Akagua Upanuzi wa Bandari ya Pangani, Bandari ya Kipumbwi na Bandari ya Mkwaja Zinazotumika Kusafirisha Ndani na Nje ya Nchi Bidhaa za Mifugo, Saruji, Mbao "Nikiwa...
0 Reactions
0 Replies
405 Views
Nilikua Dodoma kwa mara ya kwanza siku 4 zilizopita. Kuna siku niliingia machinga complex ambayo iko barabarani tu. Kwa mimi naweza kusema ni kama karume pale Dsm. Aisee hapa Iringa the same...
2 Reactions
5 Replies
613 Views
Naomba tuangalie Fursa mbalimbali za kiuchumi ambazo unaweza kuzifanyia kazi kwa ajili ya MAUZO ya nje (exports) Wakuu tunaendelea kuangalia kila Aina ya Fursa kutokana na changamoto ya ukosefu...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
...Mwaka 1990 Nchini Marekani... . Alikwepo Mbunifu mmoja Hatari sana wa Mitindo ya Viatu vya KIKE . Aliyejulikana Kama... . "Steve Madden" . Kwa Kipindi Kile... . ...Steve Madden alikuwa Akiishi...
12 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanabodi kutokana na hali ya kimaisha kuendelea kuwa ngumu, nimepata wazo la kuanzisha Darasa dogo tu la mafunzo yale ya awali ya computer ikipendeza nianze na computer 10, naomba Ushauri kwa...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Naomba kuelezwa kuhusu hii mikopo ya simu je unaweza kufanya kitu cha maana kwenye hii mikopo ya simu!!! Naona kama riba ni kubwa kidogo ingawa kuna muda inasaidia Mfano mi jana gesi imeisha...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Kama huwa unapenda ama unaskia au unatamani kuagiza mizigo china au nje ya nchi basi huu uzi ndio mahali yako. Kwanza kabla sijaendelea, nikupe pole wewe uliyepatwa na hili janga la kutapeliwa...
4 Reactions
17 Replies
7K Views
...
1 Reactions
4 Replies
479 Views
Mambo ni mengi naombeni aneyejua shortcut 😀
0 Reactions
7 Replies
395 Views
…mwaka 1942 katika Mji wa Liverpool nchini Uingereza… . Alikuwepo Muuzaji mmoja Hatari sana kuwahi kutokea aliyekuwa anaitwa… . “Ben Feldman” . Ben alikuwa anauza…“Life Insurance” . Ambazo Mfano...
1 Reactions
5 Replies
648 Views
Wadau, Natamani kuanzisha biashara ya Kitimoto mji wa kitalii Zanzibar. Je, walio wazoefu nijuzeni, inalipa?
1 Reactions
61 Replies
15K Views
Habari za muda huu ndugu zangu. Napenda kufahamu kama kuna mtu mwenye uzoefu la hili swala anielekeze. Kwa anayefahamu application ya skrill inayotumika kutuma pesa kutoka nnje ya nchi kuja hapa...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu, huduma ya M-KOBA inayotolewa kupitia kampuni ya mawasiliano ya VODACOM imekuwa maarufu miongoni mwa watumiaji wake hasa makundi ya watu wenye malengo mbalimbali kama vile kusaidiana katika...
8 Reactions
19 Replies
6K Views
Kuna mtu yeyote hapa nchini (TANZANIA) aliyewahi kufanya biashara ya fedha za kigeni online???? kama yupo please tupe ujuzI........
2 Reactions
97 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…