Wasalam,
Watanzania wengi tumekuwa na tabia ya kudharau pesa ndogo ndogo tuzipatazo. Chukulia mtu anaingiza ujira wa 10,000 kwa siku anakula na kutumia yote bila kusave chochote. Just imagine...
Je wewe ni mfanya biashara ambaye unatakamani kujishughulisha na zaidi ya aina moja ya shughuli za kiuchumi?Kama jibu ni ndio basi holding Company-Kampuni hodhi ndio suluhu yako.
Kampuni hodhi...
Wakuu mwenye kujua dawa ya kuvuta wateja naomba connection maana kuna business yangu nimefanya kila niwezalo ili kuvuta wateja nimetoka kapa.
Biashara kama haina wateja basi kifuatacho ni kifo...
NAOMBA KUJUA FAIDA NA HASARA ZA KUWA NA MASHINE HIZO KWENYE BIASHARA HII YA PRINTING. Vilevile naomba kujua ili nipate faida natakiwa niwe na raw material gani?
If you want to be successful in your life then Never Stop Reading.
Never compromise with your goals for anyone.
Never Judge anyone by seeing their Clothes.
Never Bargain with Poor...
Wakuu habari ya kushinda, samahani naomba kwa aliye na mwenyeji wa mfanyabiashara wa samaki ama dagaa wa ziwa victoria aniunganishe naye.
Namba yangu ni 0623197340 naomba anitafute nina...
Wakuu kama post inavyo jieleza, mimi ni dereva wa Bajaj na Guta mkoa wa Njombe wilaya ya Makete na leseni ninayo. Ninauhitaji na guta la mkataba aina ya Sinoray Q7 kama hili nililoweka kwenye...
Habari za jioni,
Aisee tangu jana laini yangu ya tigo lipa haikubali kuhamisha pesa zilizopo kwenye laini ya tigo ya wakala sasa kuna laki saba na ushee na pesa haitaki kuhama mara naambiwa...
Belight Technology ni Wauzaji na Waagizaji wa vyombo vya Muziki ikiwemo vifaa vya studio na podcast. DUka letu lipo DOdoma Mjini, Kizota, Kituo cha daladala cha City. Bidhaa zetu tunatuma Mikoa...
Shalom watu wa Mungu, Asalaam waleykum.
Ushauri wa bure; kama biashara yako haina miaka kumi usijichanganye kuchukua mkopo Bank, Dunia itageuka kuwa jehanamu yako.
Chukulia mkopo biashara...
Nina mtaji wa kama 1m nimefikiria nianzishe biashara hasa ya dagaa hasa za nwanza zisizo na mchanga
Nahitaji msaada wenu hasa
*Bei ya ndoo na inakuwa kilo ngapi
*Bei ya gunia na linakuwa na kilo...
Nimesoma mahali kwamba Airtel inasambaza bure Internet kule eneo la maafa, hiki ni kichekesho kikubwa sana.
kwanza nani asie jua speed ya Internet ya Airtel? Pili je hizo ni moja ya Needs za watu...
Habari wana JF.
Natumaini mu wazima wa afya.
Kama kuna mtu anawafahama watu wanaouza nazi mikoa ya kusini, naomba aniunganishe nao tafadhali. Kuna mtu anahitaji kufanya biashara kwa kutoa nazi...
Habari wana business!
Leo nataka nitoa mwongozo kamili wa kuanzisha biashara ya matunda , ni biashara ambayo inadharaulika lakini ukikaa kitaalamu ni biashara nzuri yenye faida kubwa ingawa wengi...
Wakuu habari naomba kujuzwa garama ya hii pochi kwa bei ya rejareja hapa Tanzania inatoka kwa shilingi ngapi maana kuagiza nje mpaka hiyo sample ifike bei imewaka sana .
Jikumbushe kwanza huu uzi;
https://www.jamiiforums.com/threads/ninajitolea-kutoa-namba-za-machimbo-ya-china-kwa-wapambanaji-wenzangu.2137915/
Nia yangu ilikuwa kusaidiana bila kujali kupata...
Wanabodi,
Nahitaji kukodi Malori Matano ya Kichanja (not box body, preferably Scania 113) haraka iwezekanavyo. Terms & Conditions ni kama ifuatavyo:-
Malipo kwa siku ni 500k (Laki 5). Hii ni net...