Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

wakuu wa jukwaa muhimu sana NImeulizwa swali na ndugu yangu mmoja Hivi ni mazao gani yanastawi msimu wa mvua za vuli kwenye mikoa ya kigoma, manyara, pwani na iringa??
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa uzoefu nilioupata nikiwa Kariakoo kutoka Kwa wafanyabiashara mbalimbali na kutumia uzoefu wangu mwenyewe wa kuagiza mizigo kutoka China kuja Tz kama wew Ndio unaanza Kwa mara ya kwanza kabisa...
31 Reactions
51 Replies
14K Views
Wadau habarini, Kuna ndugu anahitaji kununua pikipiki kwa ajili ya biashara na ni mara ya kwanza kufanya hiyo biashara lakini katika uchunguzi wake amegundua kuna aina tatu ndani ya biashara ya...
1 Reactions
88 Replies
21K Views
Heshima kwenu wakuu. Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana JF. Kuna idea imekuja gafla hapa nikasema ni share na wana kama niaje unaweza niambia kama its possible or day dreamer. Nowadays nimeona kwa DAR watu wengi wanapenda kucheza PS ila si...
3 Reactions
3 Replies
589 Views
Kama umekuwa ukitafuta Mbinu ya kutawala Soko La biashara yako ili uweze Kuuza zaidi basi Soma hiki… . Kilichofanywa na hawa “Milk Duds” huko Nchini… . Marekani! . ILA… . Kabla Sijakwambia...
12 Reactions
20 Replies
2K Views
Naibu Waziri Kihenzile Akutana na Watendaji TCAA, Awasisitiza Kufanyia Kazi Hoja za CAG Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile (Mb) ameonana na watendaji wa Mamlaka ya Udhibiti...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Kama heading inavyojieleza naomba Msaada wapi nitaweza kununua beiskeli za phonex kwa Bei ya jumla.
1 Reactions
4 Replies
289 Views
Unahitaji kuongeza kipato chako kwa kumiliki mashine za popcorn [emoji897] Nakushauri tutafute ni biashara nzuri kama utapata location nzuri Au ukatengenezewa toroli maalumu ambalo ni mobile...
0 Reactions
2 Replies
899 Views
Habari wandugu . Naomba kuelimishwa vibali na leseni zinazoitajika katika ku run biashara ya pembejo .... Na usharu kwa ujumla wa biashara tajwa .. lengo kuifanya kwa ujumla na rejareja
1 Reactions
0 Replies
778 Views
Wajomba...nahitaji gari aina ya subaru forester XT nyeusi..budget ni 23M. Ntatoboa kwa hii budget hadi kuingia road?
2 Reactions
6 Replies
634 Views
Watu wamekuwa ni wa kudidimizwa na mizigo ya kufeli kwao Kulingana na maisha yao hatimaye kukata tamaa na kupoteza kabisa nguvu ya kuthubutu katika miasha. Leo basi kama mwana jamii kwa mtazamo...
2 Reactions
5 Replies
595 Views
Habari Za uzima Wana jamii wenzangu, Mimi ni Yule mdada nilieleta wazo langu kuhusu biashara Kwa mtaji mdogo WA laki tatu Tu. Nashukuru nmepata mawazo mazuri nmefatilia Kwa utulivu na nimesoma...
70 Reactions
179 Replies
11K Views
Hello, Been a while since I posted here,,,nadhani vijana wenzangu mpo poa,,na wazee mpo fresh kabisa kiafya. Mimi ni mchimbaji wa feldspar na nina migodi ya Golden Feldspar pamoja na carrot na...
0 Reactions
0 Replies
380 Views
Wakuu,haya tuambieni Ni biashara Gani ulianza na pesa kidogo na inakulipia bills zote,saidia na wengine 🤔🙏❤
8 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari wakuu? Ndugu zangu mpaka sasa hivi benki hii ya Tanzania comecial bank zamani ikiitwa benki ya posta hawajatoa mshahara kwa wafanyakazi ambao wanapitisha mishahara yao katiak benki hii...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, Biashara gani ambayo inaweza kukuingizia faida ya Tsh. 20,000/- per day kwa hapa Dar es Salaam kwa mtaji wa 1.5mil? Binafsi nilifikiria nisajili laini za uwakala nifanye miamala ya simu...
10 Reactions
30 Replies
9K Views
Amani ya bwana Mungu muumba iwe nanyi Wana jf. Naomba niende moja kwa moja kwenye nada takes hapo juu. Tanzania commercial Bank zamani bank ya posta,benk hii bado Ina mfumo wakizamani hasa kwa...
2 Reactions
8 Replies
644 Views
Nahitaji kusajili laini za UWAKALA hivyo nilikua na omba maelekezo wapendwa naanzia wapi ? Mpaka nipate Tin,lesen pamoja na laini Je kuvipata vyote hivyo inaweza chukua gharama kiasi gani...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…