Yani unakuta mtu akiwa anatangaza biashara yake ana ongea kwa uchangamfu hadi anapepesekua na kuwaomba wateja wamchangie.
Ila sasa ikifika wakati wa kumtafuta huyo either kumpigia simu au face to...
Tanzania ni nchi isiyotaka kuenda sawa na Dunia ya kileo. Bado uswahili mwingi mno ,
Niende kwenye mada. Leo nilitumiwa kihela kidogo tu kutoka huko nchi za wenzetu, basi nikaenda bank ya karibu...
Maonyesho ya kilimo 2023 yamehitishwa jana nimeshuhudia mazao kadhaa yakipigiwa chapuo kama ilivyokuwa nyuma kwa zao la Vanilla tuliaminishwa bei mpaka Tsh.100, 000/@ lakini mwaka huu imenunuliwa...
Nafurahi na napendezwa sana kuwa kuwa ndani ya jukwaa hili
Binafsi nafanya kazi ya kusajili laini za mitandao yote, kurudisha line zilizopotea na kutatua matatizo mbalimbaki ya simu za wateja...
Habari wana BUU, kwenye harakati za kujikomboa kiuchumi mwenzenu nimepata idea yakufungua biashara ya kununua na kuuza vyuma chakavu.
Natamani kujua;
*Faida yake iko vipi?
*Hasara ipo angle ipi...
Ukiingia kwenye mtandao wa SPLASH 247.COM utaona makampuni ya usafirishaji wa mizigo duniani yanavyoshidana kumiliki pia bandari maeneo mbalimbali duniani. Hii inaashiria kuwa kila mwenye mizigo...
Habari zenu, natumaini ni wazima wa afya. Nipo na fremu ya nguo za mtumba ila sina mzigo wa kutosha.
Anehitaji kuniwezesha kwa mzigo namkaribisha, mitumba ya baibui, abaya za kikubwa na kitoto...
Wakuu, watu wa sido na wajasiriamali salaaam.
Nina uhitaji na mafuta ya kupaka ndoo moja kwanza lita kumi hadi lita ishirini kwa ajili ya project.
Mambo yakikaa sawa nitaagiza hadi mapipa kwa...
Inaelekea hata Benki Kuu yetu haina lengo kwenye ajira. Angalieni wenzetu, kuna upungufu mkubwa wa dollar lakini hakuna maelezo ya kueleweka mpaka leo.
- Mapendekezo kutatua tatizo la Dollar...
Habari wana JF
Naomba kwa mtu ambaye ameshapata visa ya Marekani anipatie maelezo kidogo ya jinsi alivyofanikisha kupata visa hio? Leo nmekosa visa na nimeshatumia gharama tayari zimeenda bure...
Naandika haya kutokana na yanayojiri katika biashara zangu
Niliwahi kufanya biashara Kimara na nilipata maendeleo mazuri kibiashara ila nilihama kwakuwa ndio home boi
Sasa baada ya kuhama...
Habari za kazi wakuu !!
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uhai na kuendeleza harakati za maisha, niko hapa kutafuta mtu aliye serious tufanye biashara ya Online Media. Mimi nina uzoefu wa miaka...
Habari,
Naomba tuelimishane kuhusu mikopo ya bank kwa wafanyakasi na wafanya biashara.
Pale umefanikisha kurudisha mkopo wao wote, wanatakiwa kukupa nini
Je, utarudisha mkopo uondoke zako bila...