4th Business and Economic Development Conference.
Theme: Business and Investment Environment for Economic Development.
Guest of Honour: Hon. Dr. Ashatu Kijaji (Minister for Industry and Trade)...
NAIBU WAZIRI KIGAHE - SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA KWA KUPUNGUZA TOZO NA KODI ZINAZOKUWA KERO
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amesema Serikali...
Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji awataka Wakulima kuongeza kasi ya uzalishaji wa Malighafi za Mafuta.
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji(MB) amewataka wakulima hususani wanaozalisha...
Naibu Waziri Kigahe: Ni Muhimu Kuongeza Thamani Mazao ya Wakulima
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe (Mb.) amesema ni muhimu kuwa na Viwanda vidogo, vya kati na vikubwa ili...
Wakuu habari zenu,
Nataka kuanza biashara ya vinywaji, maandalizi yote tayari.
Naomba msaada kwenu wadau najua mna uelewa mpana wa haya mambo, hivi Kwa wingi wa creti ninazotaka kuanza nazo...
MHE. CONDESTER SICHALWE - "KARIBUNI MTEMBELEE BANDA LETU LA MOMBA NANENANE MBEYA 2023"
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe ametembelea Banda la Momba...
Who are the richest people in Tanzania? Or who are the wealthiest people in the republic of Tanzania? Are some of the many questions asked by the people of Tanzania who want to know the kind of...
Naomba msaada kuhusiana na biashara ya dagaa. Nataka nianze kufanya nanunulia mwanza nauza huku Dar lakini sijapata soko. Nalipataje soko, wazoefu naomba mnisaidie kwa hili.?
Habari,
NATAFUTA NAMBA ZA AGENTS WAFUATAO:
1.SABUNI ZA MCHE
2.SABUNI ZA UNGA
3.SABUNI ZA KUOGEA
4.DAWA ZA MENO
5.MISWAKI
6.DAWA ZA MBU
7.TISSUE
8.SIAGI ZA AINA ZOTE
9.MAFUTA YA KULA
10.TAMBI...
Habari
Mimi si muandishi sana humu lakini ni msomaji mmbobezi, muajiliwa toka 2008.
Katika maisha yangu sijawai kufanya Biashara yoyote au shughuli yoyote ya kuniingizia kipato zaidi ya Mikopo...
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Ashatu Kijaji(Mb.) ameushauri uongozi wa Mkoa wa Tanga kushirikiana na Taasisi husika kutatua changamoto za wanazopata wafanyabiashara wa Jiji la Tanga.
Dkt...
Habarini wanajamvi. Nimekua nikisumbuliwa na wadudu wanaofukua udongo na kutengeneza mashimo kiasi ambacho jiran yangu ukuta wa nyumba yake umebomoka kwa kutitia, maana wale wadudu wanafukua chini...
Habari za siku nyingi wakuu, katika watu wakongwe hapa JF mimi pia mmojawapo sema nilipotea hapa kati.
Naomba mwenye kujua vizuri namba ya kuagiza vitu uganda kama nguo, viatu begi n k anipm...
Habarini watanzania wezangu? Poleni na majukumu. Naomba msaada wenu, nataka nifungue studio hivyo wazoefu mnipe mchanganuo wa vifaa pamoja Bei zake. Mtaji ni not less than 4m.
Hizi ni gauni za mtumba zipo tegeta Kibo, zilikuwa dukani ila duka limefungwa kwa sababu mhusika anahamia mkoani. Kama upo serious karibu uje uzione. Kuna gauni zaidi ya 60.
Bei hiyo ni kwanzia...
INTRODUCTION
Dah, mwaka huu nimechelewa kuingia Nanenane Mbeya. Badala ya kuingia tarehe 30/07 ""as usual"" ila mwaka huu nimeingia juzi tarehe 02/08/2023.
Ila haina mbaya, Kazi iendelee.
BODY...
Habari za Jumapili wakuu!
Napenda tujuzane mahali pa kupata mikopo kwa njia ya simu.
Binafsi nimekuwa mnufaika mzuri wa mifumo hii ya ukopeshaji kwa njia ya simu.
Nimekuwa mteja wa makampuni...
Habari Wakuu,
Nakusudia kununua ka gari ili nianze biashara ya kutoa huduma ya usafiri(uber,bolt nk)
Je nikiwa na driving license class D nitaweza kukubalika au ni mpk niwe na class C3 kama...
Habarini ndugu zangu nimekuja kwenu nahitaji ushauri nina milioni 5 nahitaji kufanya biashara moja kati ya hizo.
Je, ipi inaunafuu wa kuniingizia kipato kwa urahisi zaidi, changamoto za...