Salamu ndugu wa Jukwaa.
Nimepata wazo la kufanya biashara ya kununua vitu vya ki electronics ikiwemo SIMU, TV, FLASH, CHAJI, PROTECTOR ZA SIMU kwa bei ya jumla kutoka nchi tofauti (kampuni) yaani...
Ni hivi nimepata kazi yakumtangazia mtu kazi yake so nikaanza mwanzo niliuza bidhaa mbili . Ila sasa hivi hata moja siuzi wateja waliokubali kufanya na mimi wanadai bidhaa nzuri ila kukubali na...
Mambo vipi wana jf habari zenu mko poa nyote, natumaini hamjambo? Sasa twende kwenye jambo langu?
Nipo nimewaza sehemu nilipo mkoani hapa nimewaza biashara ambayo nimeona kwa hapa kama itanifaa...
Manispaa ya Songea inashindwa kutoa leseni za biashara kwa wakati, kumekuwa na tatizo hilo yapata mwezi sasa wafanyabiashara wanalalamikia Ofisi ya Afisa Biashara Manispaa ya Songea kushindwa...
Kumetokea Kasumba ya Watengeneza Sera kuwa Wauza Sura na Wapiga Brah Brah; Kama vile walivyo wapiga ramli wanatafuta mchawi kwa kuwaambia wadau makosa ni yao kwa kutokufanikiwa...
Wanasema kila...
Hello natumai wote ni wazima kabisa na wa afya iliyo bora kabisa,
Jamani mimi nataka nijue haswa biashara ya madini ya dhahabu ni shilingi ngapi kwa gram1?
Na je ukiwa na 3million unaweza kuianza.
Ndugu zangu habari za leo? Bila shaka nyote mko salama, wale walio na magonjwa au shida mbalibali mwenye enzi Mungu awafanyie wepesi.
Ndugu zangu ninaomba kufahamu kuhusu ushuru wa boat ya uvuvi...
Kuna dogo mmoja yupo Hapo sinza kwa remmy dukani kwake Kuna t-shirt kama 12 Lakini analipa Kodi laki 3 kwa mwezi, kiukweli mjini ingia na yanayokuhusu yasiyokuhusu achana nayo.
Hapa frame ni...
Nina mtaji wa laki 8, inatosha kufungua biashara ya duka na nikapata kukidhi mahitaji yangu na maendeleo kwa ujumla?
Naombeni Ushauri Wana jf kwenye suala hili
Jamani nilifungua kampuni kwa shughuli za uvuvi na shughuli nyingine lakini lengo ilikuwa kufanya shghuli za uvuvi na uuzaji wa bidhaa zitakanzo na uvuvi, lakini mwezeshaji alizingua.
Ushauri...
WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - SERIKALI HAIKO TAYARI KUKWAMISHA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUFIKIA MALENGO YAO
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema Serikali inatekeleza...
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) atembelea Kiwanda cha Magodoro cha TANFOAM kilichopo Jijini Arusha kujionea shughuli za uzalishaji magodoro na kisikiliza changamoto...
Wakuu habari,
Nimelima viazi na kufanikiwa kupata milioni 10. Nafikiria kuanzisha biashara hivyo naomba ushauri wenu, upande wa kilimo soko halitabiriki ndio maana nawaza kufanya jambo lingine...
Nimeingia Dar juzi nimepata chumba Mbezi karibu na Stendi ya Magufuli katika harakati za kusaka tonge leo nimechanganya kwenye nikawa nauza maji hapa Mbezi stand ya daladala mgambo wakanikamata...
LIST OF LARGEST BANKS
The following are lists of the largest banks in the world, as measured by total assests
By total assets
Industrial and Commercial Bank of China
China Construction Bank...