. MSABATAVANGU AITAKA SERIKALI KUWEKA IMANI KWA WAWEKEZAJI WA NDANI
"Mmeanza kutubagua watanzania kwa kuwapa watu wenye uwezo wa fedha tusio na uwezo tusiwekeze kwakuwa miradi yetu ni...
Habari wakuu, ninaomba mwenye kujua kwa kina taarifa za hiyo center inayoitwa Hungumalwa.
Iko wilaya ya Kwimba mkoa wa Mwanza.
Je kuna fursa zipi hapo za kibiashara? Hasa kwenye biashara, kilimo...
Habarini ndugu zangu,
Nianaomba mrejee heading hapo juu. Natamani sana kufanya biashara ya asali. Ninaomba wenye uzoefu wanijuze wapi nitapata asali halisi na mambo yapi ya kuzingatia kwenye...
Habarini,, wakubwa heshima yenu,,, mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs,sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji...
MHE. ELIBARIKI KINGU - HAKUNA UUZWAJI WA ARDHI MKATABA WA DP WORLD NA TANZANIA
"Tukiwa kama wabunge tuna nafasi ya kusema vitu vinavyotoa muelekeo wa nchi. Mafanikio tunayoyazungumza ya Serikali...
MHE. GEOFFREY MWAMBE ASEMA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA ZINASAIDIA KUONGEZA KODI KWA SERIKALI
"Nakishukuru Chama Cha Mapinduzi kinachoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt...
MHE. KWAGILWA NHAMANILO ASEMA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN APEWE MAUA YAKE
"Niendelee kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Amir Jeshi Mkuu, ambaye pia...
Wassalaam!
Moja kwa moja niende kwenye point ndugu zanguni, mashine ya juice yà miwa inahitajika
Location: Dar es salaam
Condition: used
Offer: 500k
Karibuni tufanye kazi
Habari wadau,
Natafuta machine za kuchakata plastics kuwa flakes naweza kuzipata wapi kwa Kariakoo?
Pet bottle flakes ceushing machine.
Pet bottle label remover.
Pet bottle neck ring remover...
Wadau, naomba kujua nini cha kufanya kabla sijaanza kusafirisha biashara nje ya bara la Africa. Nataka ku export chai na kahawa nahitaji nini kwanza. Kama ni leseni ni aina gani ya leseni, ama...
MHE. EDWIN SWALLE - WIZARA YA KILIMO IANZISHE DAWATI LA KUSIKILIZA KERO ZA WAFANYABIASHARA MAGETINI
Mbunge wa Jimbo la Lupembe Mkoa wa Njombe, Mhe. Edwin Enosy Swalle ameshauri Wizara ya Kilimo...
Serikali huku mkitafuta pesa za kigeni kwa nguvu kwa uwekezaji mpaka kufikia bandari.
Ila jambo linalochekesha ni yule mfunga kitambaa cha tanzania kama mwenye dhamana ya uchumi kutupeleka chaka...
Habari za Mwaka mpya wana jamii. Kuna haya mashuka na blanket za kutoka Uganda. Nataka na mimi nifanye hii biashara.
Ila nitafurahi kama nitapata muongozo na namna ya kuyapata toka Uganda. Kama...
Habari wakuu,
Kuna rafiki yangu anataka kununua tani 100 za maharage toka Uganda.
Naomba kujua kama kuna tax duties yeyote ambayo atalipa. Pia, kama ipo, naomba kujua ni asilimia ngapi ya...
Karikaoo ni soko linalokutanisha watu wengi kutoka ndani na nje ya nchi na ndo sababu kuu likapewa hadhi yakuwa soko la kimataifa lakini ukweli ni kwamba mazingira na namna biashara...
Habari,
Biashara ya viatu na pochi za kisistaduu zinalipa kwa Mbagala Rangitatu?
Natumai kuanzisha biashara, nina 2.5M ila biashara ninayoipenda ni viatu vya kike, yaani vinavyohusu wanawake...
Habari wana jamii
Ipi ni biashara rahisi kuendesha na inalipa kwa haraka kati ya hizo mbili tajwa hapo juu
Pia zipi ni mbinu muhimu katika kufaulu biashara hizo
Pia vip kuhusu Location zake sahihi
Wandugu habari za siku,
Ninafikiria kufungua biashara ya kuuza sukari kwa jumla, naamini ni bidhaa inayotumiwa na watu wengi kila siku na uhitaji wake hauna shaka, kwa yeyote mwenye ufahamu au...