Habari wana JF na wapambanaji wenzangu.
Natafuta msaada wa connection ya kupata mabalo ya mitumba yenye nguo za aina ya Bathrobes kama picha husika inavyoonekana kwenye attachment.
Niko serious...
Habari waungwana!
Naomba msaada wa mawasiliano ya mtu anayefanya biashara ya ng'ombe au duka la nyama mbichi ya ng'ombe (bucha) Katoro sehemu yoyote ile. Kuna kitu nahitaji anisaidie.
Hata kama...
Habari za wakati huu
Naomba msaada juu ya mfuko wa uwekezaji ukwasi , jinsi ya kuongeza salio katika account yako ya uwekaezaji kupitia simu, na ni faida gan ninazozipata ninaponunua vipande au...
Ngoja nikushirikishe hizi pia. Ufanye biashara gani Kama una 100k, 500k au 1 M? Kwenye biashara kwanza zingatia vitu vitatu (3)
A. Uhitaji wa bidhaa husika au tatizo ambalo lipo kwenye...
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nina eneo kubwa zaidi ya Ekari 5 kando mwa Barabara.
Mwendelezo wa Awali: Maji tayari yapo, na baadhi ya miundombinu.
Eneo: Mkoa wa Rukwa.
Hali ya...
Nawasalimu wote.
Kama kichwa cha thread kinavyojieleza naombeni mchangie mawazo yenu kuhusu soko lake na bei yake kesho nitaiweka picha ya hiyo sarafu humu. Mara ya mwisho nafikiri mwaka juzi hiyo...
Habari,
Mimi ni mfanyabiashara , nina duka la rejareja( fremu) na store, nipo mabibo Dar
Nahitaji kununua Mchele na maharage kutoka mbeya, au tunaweza kufanya makubaliano ya kukuuzia maharage...
Tunaposema mama anaupiga mwingi huwa hatukisii au kumsifia ili mradi tu. Mama anaupiga mwingi kweli kweli. Wewe unaelalamika, wacha ulalamishi changamkia fursa hizi.
Sehemu ya watoa huduma wa...
Habari JF,
Nawaleteeni hii Fursa muitazame kiundani ikiwezekana ichukue ifanyie kazi.
Kama una mtaji unaojitosheleza, anzisha biashara ya Microfinance (mikopo ya kifedha)
Baada ya hapo anza na...
Institutional investors (institutional) are organizations that pool money and invest with depositors' money. They may include:
hedge funds,
mutual funds,
credit unions,
banks, etc.
• Q2 and Q3...
Milioni 2 naweza fanya biashara gani ambayo utanisaidia kupata pesa ya kula kila siku na akiba angalua 10000 kuweka?
Mimi ni single mama ninaehitaji kujishughulisha ili niishi vizuri na mwanangu...
Tunauza nguo za mtumba za kike na kiume, arusha tuko sanawari mataa karibu na crdb bank, jina la duka ni TOPNOTCH URBAN STYLES, bei kuanzia elfu 20 tu, 0679 42 22 34 karibuni.
Nipo njiani kulielekea jiji LA Nairobi nchini Kenya kibiashara ni kiri tu ndo mara ya kwanza kwenda nchi hii kibiashara
Tofauti na mara mbili nilizokwenda kwa shughuli nyingine na tulikwenda...
MADINI MKAKATI YAJADILIWA MKUTANO WA 9 WA EITI
Mkutano wa Kimataifa wa Asasi ya Kimataifa ya Uwazi na Uwajibikaji (EITI – Extractive Industry Transparency Initiative) uliofanyika Jijini Dakar...
Wabongo wengi hawawez kutake risk ili wafanikiwe kwenye maisha Yao, wanapenda ulaini laini mserereko. Ukitaka kupata vitamu lazima utoe jasho ndio mana wanasiasa wanakula pesa zenu ovyo na kuuza...
Jamani wafanya biashara wenzangu nilicho gundua hapa nchini kila siku mambo hubadilika katika biashara na soko.
Kuna marafiki zangu wawili walipata setback kwenye biashara zao moja alikua na...
Acha waseme mkataba wa ovyo. Ingawa ninachojua kilichowekwa sahihi na kupitishwa na Bunge ni makubaliano ya serikali 2 ili kuruhusu makampuni yao kuingia kwenye mikataba, kwa kuwa makampuni yote...
Wanakijiji wa JamiiForums mimi nipo Dar saivi ninafikiria jambo fulani la kujikwamua kiuchumi ila hii kidogo naipigia mahesabu kitofauti nataka ninunue ka-ist au bajaji then ukiachilia mbali sijui...