Samahani sana wakuuu mimi ni graduate ambaye nimekutana na changamoto hii na najua wapo wengine ambao wanaendelea kukutana na hichi kitu.
Mimi ninakakibanda kangu ka uwakala wa mitandao ya simu...
Wakuu kama unajiona una mtaji kuanzia m2 hivi njoo nikusaidie ujipatie eneo la mgodi ujiingizie m3 hadi nne kwa siku hiyo ni baada ya kuwekeza ndani ya mwezi mmoja
Kikubwa ambacho nitakusaidia...
Natafuta kampuni hapa Dar inayojishughulisha na uchapaji wa vitabu vyenye ubora kama utaweza kunisaidia pia mawasiliano yao itakuwa njema zaidi !
Asanten
Benki za Tanzania zipo kwenye mambo mawili ambayo wateja kutunza pesa na mikopo ili kupata faida.
Kuna sinema nyingi zinaonesha benki nyingi zinaweza kutunza nyaraka, madini na n.k na leo kama...
Habari wazee wa business.
Kwenye kuzurura mtandaoni nimekutana na business idea ambayo inaweza kutumia ata hapa bongo na kufanya vizuri, nimegundua hili baada ya kwenda kkoo kununua vitenge vya...
Moja kwa moja kwenye Mada.
Napendekeza aina hii ya tozo kwamba kila mwenye gari alipie tsh 1,000/= kila mwezi kwa mwaka tsh 12,000/= kwa kila gari moja,
INALIPWAJE?
Ilipwe katika vituo vya...
Kuna msemo maarufu sana unasema "Ukitaka kuwa tajiri jifunze kuweka akiba" ila mimi nakwambia kuweka akiba hakukufanyi uwe tajiri. Ukitaka kuwa tajiri jifunze kuzalisha pesa
Kuweka akiba si jambo...
Wadau hivi hawa DSTV wana watu wabunifu na competent kwenye biashara ya visimbuzi kweli?
Yaani kwanini uweze kujiunga na huduma ya DSTV BUSINESS halafu ukitaka kujitoa ishindikane yani kwamba ni...
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Omar Shaaban (wa pili kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendanji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela tuzo ya...
Rais wa Jamhuri ya Burundi, Evariste Ndayishimiye akiwa kwenye mazungumzo na ujumbe wa Benki ya CRDB, ulioongozwa na Mwenyekiti wake, Dkt. Ally Laay na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya CRDB...
Nahitaji msaada wa vifaa na gharama zinazohitajika ili kuanzisha sehemu ya kuzalisha mikate
Naombeni msaada wenu Wana forum
Tanzania ya Viwanda kama anavyosema Rais Dk John Pombe Magufuli...
Habari wanna jf,
Tafadhali ninaomba msaada wa anayefahamu taratibu za kufungua ofisi za court brokers. Nipo interested kufungua hizo ofisi kutokana na changamoto nilizoziona mkoani kwangu...
Ninabiashara ya duka la chakula nilihitaji MKOPO KUTOKA BANK ni ipi Branch nawezafanikiwa mkopo ikizingatia Vigezo hivi nilivyo navyo-:
-TIN NUMBER
-LESENI YA BIASHARA
-HATI YA KIWANJA
-NYUMBA...
Naombeni wazo la bidhaa ipi inauhitaji mkubwa katika jamii ambayo matumizi yake hayakwepeki Kama CHUMVI
Je ni bidhaa gani yenye high demand mtaani au madukani au magengeni ambayo haihitaji mtaji...
Kabla ya yote niwasalimu kwa wale Wakristo, Bwana Yesu asifiwe, na Waislamu Assalamualaikum.
Natanguliza shukran zangu kwa yule atakaye fikiria na kuamua kunishika mkono.
Katika maisha yangu...
Ndugu wadau nimeleta uzi huu ili mimi na wale wote wanao ifahamu vizuri hii fursa. Maana kila kukicha kuna sherehe kuanzia birthday mpaka harusi na mikutano.Nina maswali kadhaa;
1. Ukubwa(sq...
Habarini wakuu, naomba niongeze maarifa, hivi mfadhili wa kitu fulani mfano NBC walivyofadhili ligi kuu wanafaidikaje, au unasikia mwanasiasa fulani kafadhili kitu.
Nia yangu nataka kujua faida...