Habari zenu wana Jamiiforus,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ninaomba kujua taratibu za kuanzisha zahanati, kwa vipengele vifuatavyo:-
(i) Ujenzi wa jengo-Ninamiliki kiwanja chenye vipimo...
Kwa sisi ambao tumekuwa tukifanya biashara ya kusambaza vifungashio kwa watumiaji Kama vile magengeni, madukani nk baada ya hili katazo la mkuu wa mkoa la vifungashio vya plastic imepelekea sisi...
Wakuu tupeaneni support kwenye biashara zetu.
Natengeneza matangazo kwaajili ya biashara yako, karibu nikutengenezee.
Pia kama kuna deal yeyote tushirikishane wakuu tusitengane [emoji119]
Nina...
Mambo ni vipi majamaa. Kitambo kidogo ila tu wazima. Wenzangu wa 2016 mpo active kweli? Hahaha
Nawasalimu kwa jina la Muungano wa Tanzania.. niajeee..
Ebhana eh, katika pitapita zangu hapa na...
Hafla ya uzinduzi wa Eneo la Viwanda la Huawei imefanyika jana jumanne wiki hii katika mji mkuu wa Angola, Luanda, na kuhudhuriwa na rais wa nchi hiyo, Joรฃo Lourenรงo.
Kwenye hafla hiyo, Angola na...
Habarini wadau.
Nimeombwa ushauri na mdau wangu, anayo taasisi ya elimu inayotoa kozi mbili. ameniomba ushauri kua katika taasisi yake anataka kuongeza kozi za kilimo na mifugo, na kozi nyingine...
Nimeshajaribu kufanya biashara nyingi sana nikafeli sana nilikata tamaa nilipofeli lakini baada ya muda mchache nilitamani tena kufanya biashara nkaingia nikafeli sana nikarudia .
Nimejifunza...
Heshima yenu brothers and sisters. Baada ya kumaliza chuo na kusota mtaani kidogo niliajiriwa na private company kuanzia 2013 hadi 2018 kampuni ilipofirisika na kufunga shughuli zake nchini...
Natafuta sehemu ambazo nitanunua dawa kwa bei ambayo nitauza kwa bei ya jumla na pia kwa rejareja ila nipate faida nzuri.
Na pia natafuta sehemu ambayo nitapata vipodozi ambapo wale wanaouza...
Jinsi ya kuingiza bidhaa za viwandani za vyakula. Kama mafuta ya kula na vinavyofanana na hivyo kutoka kenya.
Ni nini unapaswa kufanya kabla hujaenda kuchukua na baada ya kununua unapita vipi...
Hakuna haja ya kufunga, kuzima taa na kuegesha mabasi wakati tunashughuli ya kukimbiza UCHUMI wa TANZANIA.
Kwanini miji kama DAR ES SALAAM, MBEYA, MWANZA, ARUSHA, KAHAMA, MAFINGA, TUNDUMA BORDER...
Kama kuna nia ya kweli ya kuimarisha chumi za nchi za Afrika Tanzania ikiwemo, tujipange na kuwa na mikakati badala ya kujenga hofu ya kununuliwa au kunyanganywa miradi mikubwa na Wachina au nchi...
Kuna biashara nyingi zinakuwa hazivuki mpaka, kwenda kuuzika kwenye nchi zingine. Hii inawezekana labda ni kutokana na kutokujua pa kuanzia.
Lakini kama nia ipo, ya kupeleka bidhaa yako nchi za...
Naona kuna dhana kuwa promotion ni fadhila au ziada. Sio kweli. Promotion ni mbinu za kuokoa hasara na pia kulazimisha kuweka hela kibindoni katik muda Fulani. Huku ukimlazismisha mteja kujipanga...