Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu nimezunguka wilaya ya Mwanga nimekosa wakala wa bia. Mimi nahitaji bia za jumla kreti 300 Au atakaweza kuniunganisha na muhusika atakae weza kunisaidia nitashukuru. Au namba za makao makuu...
1 Reactions
5 Replies
822 Views
Je, nini yatakuwa manufaa / hasara za kuweka QR code kwenye noti za BOT? ========================= https://www.jamiiforums.com/threads/je-nchi-kuchapisha-pesa-zake-nje-ya-nchi-ni-sahihi.1877297/...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Habari zenu Waungwana. Naomba jinsi ya kufahamishwa nawezaje kuweka pesa kwenye bank account ya Tanzania nikiwa overseas kwa lengo la kuendeleza biashara ya forex asanteni
2 Reactions
7 Replies
1K Views
WanajamiiForums habari za saa hizi. Nipo hapa naomba ushauri wa location ya kufungua Biashara ya Ufundi simu. Mimi nikija niliemaliza chuo mwaka huu 2021, ukiachana na tahaluma niliyosomea chuo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Unakuta jitu unalitafuta hewani ili likueleze kwa upana kuhusu bidhaa fulani lakini linaongea kama halitaki na kama unalisumbua. Kwenye chatting ndio usiseme, meseji unakuta inakaa bila...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Rafiki yangu mpendwa Huwa kuna kichekesho kinachosema kila biashara huwa inalipa ukiwa unasimuliwa. Lakini unapoingia ndiyo unakutana na uhalisia ambao hukusimuliwa. Kichekesho hiki kina ukweli...
10 Reactions
9 Replies
7K Views
Habari Mimi ni mtanzania na naishi Tanzania, nahitaji kujua mambo yafuatayo kuhusu kichwa cha habari hapo juu. Naombeni msaada wa haya maswali hapo chini 1. namna ya kujiunga na Nairobi...
0 Reactions
4 Replies
574 Views
GTs, Nimekuwa muumini wa huduma bora toka VODACOM, hasa kwenye bundle za internet. Na nimekuwa muumini wa KASI INTERNET, ila cha ajabu bundle ya internet hiyo ya kasi imekuwa na spidi ya kobe...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nipo pugu kigogo fresh! Nahitaji kampuni ya kunichimbia kisima kirefu. Nijulishe gharama zake. Tuwasiliana no 0718412041
0 Reactions
48 Replies
19K Views
Kwa ndugu zangu wakazi wa Dar es salaam wilaya ya Kinondoni, ni wapi naweza kupata yale magari ya maji safi ya bomba kwa bei nafuu?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakubwa Mimi nipo Mwanza nataka kuhamia Morogoro sasa nina biashara yangu hapa ya Vitenge ambayo anasimamia mke wangu. Naombeni kwa wale wenyeji wa mji ni Morogoro sehemu gani naweza kupata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Japo thamani nzima ya soko la crypto imeshuka wiki hizi chache kutoka dola za kimarekani 2.4 Trilion mpaka $1.7 Trillion. lakini bado soko hili linakupatia nafasi nyingi za kutengeneza pesa...
3 Reactions
11 Replies
4K Views
Wanajukwaa! Ningependa tujadili ni namna gani iliyo bora na gharama nafuu ambayo inaweza kukabiliana na ukosefu wa umeme kwenye biashara. Kama tunavyoshuhudia ni kuwa kuna kupoteza wateja na...
0 Reactions
5 Replies
393 Views
Wakuu Salaams.. Kama kichwa cha habari kinavyosema.. Naomba mwenye experience na hawa jamaa wanajiita ali express.. Mizigo inafika? Vitu vinakuja halisi au gozigozi...
1 Reactions
2 Replies
426 Views
Bei ya makaa ya mawe duniani imefika USD 270USD kutoka USD 50 kwa tani sababu ya vita vya Ukraine na Urusi, ulaya wanahitaji nishati. Tanzania ina akiba ya tani Millioni 290 ardhini, kwa hesabu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ifikie hatua soko liwekewe bei dira ili kila anakuja kununua korosha ajue anaanzia wapi, Au kitaalamu imekaaje watu wanapoambiwa mnada halafu hakuna bei dira?
1 Reactions
18 Replies
755 Views
Wakuu Salama, Natanguliza shukrani kwa mawazo mazuri ambayo mnaweza nishauri. Binafsi sina ujuzi wa mambo haya ila nimekuwa nikisia deals nyingi za namna hii zikiwa zimefanikiwa. Mimi namiliki...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
We must decriminalise micro and small businesses that have the power of creating jobs for millions of ordinary people, First: let's formalize the informal sector to open up more opportunities.
0 Reactions
2 Replies
873 Views
Je hiyo amount iliyowekwa hapo ambayo imeeleza kuhusu clearing na forwarding ni tofauti na ile ya TRA? Maana yake ukitoka hapo ndio unaenda TRA tena? Mungu tusaidie sisi watanzania wenye ndoto za...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…