Habari za mchana kila mmoja wetu.
Poleni na majukumu.
Naomba usaidizi wenu wakuu najua huku kuna watu wa namna tofauti,wafanyabiashara wakubwa,wadogo,wakati,waajiriwa na kuendelea.
Kuna biashara...
Wakuu naomba mnisaidie mambo yahusuyo madini maana kuna sehemu nimeenda shambani Leo nimekuta kuna mwamba wa chuma baada ya kuutindua nimepata kipande cha jiwe LA chuma ambalo linashika sumaku...
Habari za wakati huu wanajamvi
Nashukuru sana kwa ushauri mlionipa pia ningeomba mnivumilie kwa post zangu mfululizo za aina hii. Kuna uzi niliutoa jana kuhusu locations za maeneo ya biashara ya...
Hii ilikua imebakia historia lakini sijui kitaalamu historia ikijirudia inaitwaje. Ifikie hatua watu wapewa kilicho chao, laiti kama pangekua na chaguo la namna watu wangepata riziki zao nadhani...
Habar zenu mabibi na mababu.
Kama mnavojua dunia jinsi inavyoenda kasi hususani katika mapinduzi ya kifedha, sasa hivi ulimwengu unazungumzia cryptocurrency tuu na namna ya kufanya holding ya...
Mwenye lengo la kuanzisha biashara ya kununua vitu toka nje na kuuza tubadilishane uzoefu. Mimi kuna kipindi nilikuwa nauza karatasi (nanunua na kusafirisha Bongo) ilikuwa nzuri sasa natafuta...
Habari wakuu
Kuna fursa mtaani imekuja ya ununuzi wa mafagio ya njiti za makutiii kwaajili ya kuwekezea paa za nyumba za watalii
Wananunua ujazo wa role ya ufagio kwa tsh mia tano 500/
Shunguli...
Ulishawahi kuwaza ni njia gani rahisi ya kuungana na watu tofauti duniani kama kikundi bila kufahamiana na kupanga malengo au sheria zenu pamoja huku sheria hizo zikisimamiwa na blockchain
Basi...
Tuzo maarufu duniani ya iF Design hivi karibuni ilitangaza washindi wake kwa 2022 ambapo TECNO ilishinda katika kitengo cha Bidhaa na Tehama kwa muundo bora wa bidhaa wa Phantom X na CAMON 19 Pro...
Habarini wakubwa heshima yenu
Mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs, sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa...
Ni baada ya Leo wakulima kugoma kuuza korosho za kwao kutokana na kutoridhishwa na soko la siku ya kwanza ya mnada. Bei ya juu ni 2000/=na bei ya chini ni 1590/=.
Hii siyo sawa kabisa na...
Habari wana jukwaa wa jamii forums
Niende kwenye mada moja kwa moja nina idea ya kumfungulia dogo salon, nina maana salon ya kiume simple tu wala sio ya gharama. Namchukulia vitu vya kawaida tu...
Elimu niiombayo ni ya tafsiri (maana), muda na namna ya kutumia na sababu ya kuwepo kwao. Nauliza kwa sababu sielewi tu, nilikuwa katika taasisi fulani hv karibuni na kulikuwa na miradi mikubwa na...
Sijui ni nini huwa kipo nyuma ya pazia kuhusu masoko kuungua hovyo. Hii sio Tanzania pekee bali África kwa ujumla!
Ushauri wangu ni kwamba kama unafanya biashara kubwa sokoni na hilo soko ni...
Habari wakuu, nahitaji flemu za kutengeneza mikanda ya gypsum. Anayefahamu inapatikana wapi na ikiwezekana na bei yake akoment nitamfuata inbox tuyajenge. Pia, anayetengeneza hii mikanda naomba...
Wakuu nataka kukunua kati ya bajaj au gari ndogo mfano Vitz/IST or the like ili nimweke dereva apige biashara ya Uber au Bolt.
BAJAJ
Kwa upande wa Bajaj ikiwa mpya bei ni 7.35M na kwa sasa walio...