Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari za mida wakuu? Kwanza ifahamike kwamba kuacha kazi na kuingia kwenye ajira binafisi ni zoezi gumu sana. ni maamuzi magumu na huenda ndo maamuzi magumu kabisa ni zaidi ya maamuzi ya kupeana...
40 Reactions
58 Replies
10K Views
Habari wadau, Bado naendelea kutafuta masoko ya kamba za katani. Bei ziko vizuri. Kwa mwenye kufahamu/uhitaji tafadhali tuwasiliane.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimeamini ndiyo maana wafanyabiashara huwa ninawaona wachoyo hawatoi kumi yao. Biashara ina tuvimambo fulani fulani huwezi kuvikuta kwenye kuajiriwa. Aisee,biashara si jambo jepesi, yaani...
51 Reactions
114 Replies
9K Views
Katika pitapita zangu nimekutana na video inayoonyesha jinsi sisi wajasiliamali tunavyoweza kujisajili mtandaoni na kuomba mikopo ya Halmashauri. Bila shaka hatutasikia tena nakala kupotea au...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Habarini za muda huu wadau wa Jamii Forums. Ninatamani kuanza biashara ya kuuza gesi za kupikia nawezaje kupata uwakala wa haya makampuni ya gesi na vigezo vipi vinahitajika!?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Sikia hii Kuna wanachuo wengi hawana uzoefu wa kujibu maswali ya Interview Vizuri,Hawajui ni kwa namna gani wanaweza Kuandika Barua ya kuombea kazi (Application Letter), Au wastaafu wamesahau...
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Nawasalimu kwa jina la JMT, Kwa mujibu wa Gavana wa BOT Prof. Luaga, uhumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 5.4% kwa robo ya kwanza ya mwaka 2022 kinyume na malengo ya matarajio yaliwekwa ya...
5 Reactions
147 Replies
7K Views
Bei 5.5m Gari ipo kwenye hali nzuri na ipo Moshi ni jino moja tu mawasiliano 0682761740
0 Reactions
2 Replies
616 Views
Wakuu kabla sijaingia madukani kariakoo kutafuta used PlayStation naombeni muongozo wa bei na mambo mengine kitaalamu Toleo Iwe Ps 2 au Ps 3........ je matoleo haya bado yanaweza kukidhi haja na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nipo kwa hard time sana my business is about to die loooh[emoji22] Biashara ilikuwa poa tu ila kuna namna ilizidiwa na matumizi (kuna kipindi cha uhitaji mkubwa nilipitia) the same time ina mkopo...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu nina pesa kama millioni 100 kwasasa sina mpango nayo kuifanyia chochote hadi baada ya miaka miwili Naomba ushauri wenu kati ya kununua share na baada ya miaka miwili nije niziuze au niweke...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Tunatoa huduma za kihasibu na maswala yanohusiana na Kodi' ( TRA) Tunapatikana' Gerezani Kariakoo' Mtaa wa Mbaruku na somali kipande' karibu sana'
1 Reactions
0 Replies
277 Views
Mwanzo ukianza au siku ya kwanza kufanya inauma sanaaa ila siku ya pili utafanya tena pamoja na maumivu ya awali na utagundua siku ya pili maumivu sio kama ya awali, kisha maumivu yatapungua na...
1 Reactions
3 Replies
989 Views
Wakuu mjue kile knachowakusanya watu kila sku tena makundi yenye elimu, kpato, uelewa tofauti na wakakaa wakaanza kuzungumza tena bila kiongoz yaani ni wao tu wanajiongoza mjue hapo kuna fursa ya...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
.A business that makes nothing but money is a poor business.- Henry Ford On starting Apple with Steve Wozniak: We worked hard, and in 10 years Apple had grown from just the two of us in a...
1 Reactions
0 Replies
377 Views
Wakuu habari zenu. Wale wazee wa kuchungulia fulsa naombeni tafadhali mnipe mwanga. Mm ni kijana nipo mkoa wa dodoma, Nina cash ya sh 1 million Nina miliki page zenye followers zaid ya 60k...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wakuu. Poleni na majukumu. Ni mara ya tatu Naagiza bidhaa mbalimbali kutoka ebay kupitia kampuni ya myus. Mara mbili nimepokea bidhaa nilizoagiza bila changamoto yeyote. Mara hii ya tatu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Unapoagiza mzigo kutoka nje, wanakusafirishia mpaka port ya dar es salaam. Unatakiwa kutafuta clearing agent wako, je Nini faida au hasara za kutumia Hawa wakubwa DHL na FedEx na je Nini faida au...
0 Reactions
7 Replies
659 Views
Nawasalimu wakuu woote wana JF. Mwenzenu nimepata kamshiko kama 8m sasa ninataka ninunue bajaj najua hapa mjini Dar zinatumika sana, naomba kwa yeyote mwenye uzoefu anisaidie ni Shs ngapi dereva...
1 Reactions
317 Replies
144K Views
Huyo hustler ntampa 70k kama Asante. NB hii idea before ajanipa Nampa hiyo 70k kwanza sitaki ujanja ujanja. Nipo DSM. NB: Mimi ni hustler na nimeshatapeliwa Sana so endapo nikikupa hiyo 70k...
5 Reactions
61 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…