Kwa muda mrefu sasa, kampuni za kibiashara zimekuwa zikichangia katika miradi ya kijamii. Uchangiaji huu umechagizwa kwa kiasi kikubwa na hoja ya kwamba "Jamii yenye afya na ustawi mzuri...
Wana JF,
Naomba kuuliza shughuli zinazofanywa kwenye wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani. Ni miji ipi ipo kwenye hiyo wilaya, utamaduni wa watu wa huko ni upi na ni watu wa kabila gani wanapatikana...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati), Mkuu wa Masuluhisho ya Mikopo kwa Afrika kutoka Investec Bank, Rowan King (wapili kulia), Mkurugenzi wa Huduma za Mikopo ya...
Wakuu habari za asubuhi,
Ninaomba muongozo juu ya biashara ya pilipili manga. Bei, masoko na changamoto zake hasa kwa mikoa ya Dar na Tanga.
Natanguliza shukrani za dhati.
Wakuu kuna Aliye mgonjwa humu Kati yetu? Kama yupo namuombea apate uzima wa afya. kwa ninyi msio wagonjwa poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima ya leo. Na wale walio bahatika kutoka kwenda...
Well, lets say you could cut costs, increase customer communication and increase customer satisfaction using social media, would you agree that it could be?These are three key commercial...
Bao la Mantiki (Logic Framework) ni jedwali ambalo huonyesha uhusiano kati ya Lengo Kubwa la Mradi (Project Overall Objective), Malengo Mahsusi ya Mradi (Project Specific Objectives), Matokeo ya...
Utafutaji wa wafadhili kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi (Prospects Research) ni hatua muhimu katika utekelezaji wa Mpango wa Utafutaji Rasilimali Fedha kwa Taasisi (Implementation of Fundraising...
Habari Wana jamii
Naombeni kueleweshwa hili swali nililoulizwa ila sijaelewa maana yake Iko hivi.. niliagizaga mzigo Sasa nilivyoenda kulipia nikakutana na rafiki angu wa zamani kumbe anafanya...
Ndugu zangu Kwema?
Nimekua nikiagiza vitu nje lakini nimekua nikitumia njia ya Telegraphic Transfer kufanya malipo. Benki yangu imekua ikinikata takribani US$ 50 kama transfer fees.
Sasa kuna...
Hi Wadau kuna anaejua hizi Bonds zinafanyaje kazi ?
Faida yake ikoje ?
Nimeona zinaendeshwa na jamaa wa Imaan Finance, na performance yake ni ya kuridhisha
Jee wenzangu na mimi (low class...
Nawasilimu wote [emoji120]
Kuna jambo nimekuwa nikitafakari kichwani muda mrefu sasa,ipo hivi kama ilivyo kawaida kila mtu ana njia yake ya kusaka riziki mfano wengine ni waajiriwa wa serekali na...
Mawazo yenu wakuu, yaani nataka tu kuweka security kwenye Jina la biashara yangu hapo baadae ntakapo ianza rasmi.
Lakin nmeona moja ya vitu vinavyohitajika ili kusajili jina la biashara ni TIN...
Ni kwanini Marekani ina viwango vya juu vya umaskini licha ya kuwekeza mabilioni ya pesa kupambana nao?
Familia nyingi zenye watoto hutegemea msaada wa chakula cha ziada, Familia nyingi zenye...
Habari za mida hii..?Pole na janga la corona.Tuombe mola wote atunusuru kwa sote..
Niende kwenye mada husika.Wakazi wa Zanzibar na Tanganyika tumekua tukitumia boti za Azam na flying...
Natumain u mzima na hujambo
Huwa najiuliza je watu wenye apps za kibiashara huingizaje pesa kwa watu kuangalia vidio kwa app zao, au kusoma taarifa?
Naombeni kufahamu zaid