Msaada namna ya kupata kazi kwenye freelancing.
Freelancing site ni mitandao ambayo unafungua account na unaweza kuajili au kuajiliwa kufanya kazi za kidigitali (web design, content writing...
Kuna mahali niliwahi ona kampuni ya watu waliojiita wazawa wakitafuta mawazo kwa vijana, mawazo ya kibiashara ambapo hiyo taasisi ilianzisha kwa pesa za watu kwa miradi ya vanilla, na sasa nadhani...
Habari,
Ninabiashara ya viungo vya chakula (spices) Iric, mdalasini, pilipili manga, karafuu , nauza kwa kilo nawezaje kupata soko lakuuza bidhaa hizi?
Zaidi soma: Wateja wapo wengi, Ongeza...
Wakuu
Nimekaa natafakari nianzishe biashara gani ambayo itakuwa unique kwa kiasi fulani na kuniwezesha kupiga pesa bila purukushani na kabla ya ushindani kuwa mkubwa
Nimeona nije na wazo hili...
Mambo vipi wakuu kichwa kinajieleza hapo juu nataka kwenda kwenye hiyo biashara. Mada kuu nikujua bwawa la mtera linafanya kazi kwa sasa? Mimi Nipo nje ya nchi
Na je mtaji wake wa kuanzia...
Habari wananzengo!!!
Leo nakuja na hili wazo la biashara la 'online shop'
Kumekuwa na changamoto nyingi, hasa za kupata fremu ya duka maeneo mbali mbali. Na ikipatikana, bei inakuwa juu...
Serikali imetaja hatua nane zilizochukuliwa katika kudhibii mfumuko wa bei ili kuhakikisha unaendelea kubaki ndani ya wigo wa tarakimu moja.
1. Imeimarisha sekta za uzalishaji ili kuongeza...
Na Tom Wanjala
Ripoti kuhusu ufanisi wa mradi wa reli mpya ya kisasa ya SGR nchini Kenya kwa mwaka uliopita, imetolewa rasmi na ofisi ya takwimu ya kitaifa ya Kenya (KNBS). Kwa mujibu wa ripoti...
Nina kazi mwisho saa Tisa na nusu nataka niwekeze kwenye biashara ambayo kwanza nitaisimamia mwenyewe peke yangu niweze kuona Hasara na faida hata Kama nikijitia Hasara nisababishe Mimi muhusika...
Wadau wa JF,
Mada hapo imeeleweka bila shaka. Nataka nijitose katika biashara ya mbao baada ya kuhisi itanilipa kwa maoni yangu. Nataka ninunue kutoka mikoa ya Njombe na Iringa na kuzisafirisha...
Najiuliza hii hali inayoonyeshwa na mamlaka za baadhi ya nchi za kiafrika kuruhusu wachina kuingia nchi zao, wana syndicate gani na mabeberu?
Kwanini wanatamani kusikia watu wao wanaumwa Corona...
Habari mimi ni wakala nahitaji mwenye machine ya uwakala ya NMB aliepo dar es salaam offer ni 700k kununua na kama mtu anayo basi niko tayari anikodishe ntampa 30% ya kamisheni itakayopatikana...
Habari wanajamvi,
Kwenye mahangaiko yangu nina viduka kadhaa sehemu mbalimbali mkoani DSM.Ndoto yangu ni kuwa na matawi Dar nzima.
Nime-specialize kwenye uuzaji wa Unga wa SEMBE/DONA, CHAKULA...
Wakuu naleta swali kwenu,
Naomba kuuliza hivi
1).ni sababu gani hasa zinaifanya kampuni Changa kufa Hali yakuwa mmiliki ndie CEO
2). Hivi inatokeaje yaani owner wa kampuni also, ni CEO lakini...
za mda huu waku hapa, nimekuwa nikiona watu wanafungua office ya kubetisha kama gal sport na nyingine kama hizo, kama kuna mtu anajua taratibu zake za kufata na namna ya kupata faida naomba...
I did account and finance at University back then few years ago. Apart from living normal life kama ku socializing sana, flirting girls kwa sana nimekuwa every time na fantasize kuhusu maisha ya...
Bila kuzungumzia account za kibenki ambazo compound interest somehow ipo applicable lakini lengo langu ni kuzungumzia kama kuna legally existing plan kwenye taasisi ambayo unaweza kufanya hichi...