Twende moja kwa moja kwenye kisa. Rafiki yangu kaniomba ushauri kuhusu huyu bidada.
Huyu rafiki alikodi fremu maeneo yaliyochangamka karibu na soko kwa ajili ya kupika na kuuza supu. Wateja wa...
Natumai mpo salama ma bibi na ma bwana.!
Kichwa cha uzi cha husika, nilikuwa na wazo la hii biashauri miaka 3 iliyopita lakini sikulifanyia kazi nalo likafa kwenye akili yangu. Juzi nikiwa mkoa...
Habari
Kwanini taratibu za mikopo ya Halimashauri ambayo inatokana na 10% ya mapato ya halimashauri husika inalazimisha vijana watakaokopeshwa au kwenda kuomba ni lazima waende kivikundi na kuja...
Yeye: habari.
Mimi: Salama karibu
Yeye : Asante huku aangaza nje ya mabango yaliyo nje ya milango, nakuuliza M-pesa ipo au hakuna.
Mimi: ipo unataka ku...?
Yeye: Aah sawa ili atoe 15,000...
Kusema la kweli hali mtaani imekuwa hatari, nimeshuhudia biashara nyingi zinafungwa, kuna mshikaji wangu alikuwa na office ya uwakala mitandao ya simu, kafilisika kabisa kafunga banda lake miezi 3...
Habarini wakuu
Naomba kwa pamoja tujumuike hapa tupeane idea mbalimbali kuhusu uwekezaji ama biashara hii ya Real Estate tuone tunaweza kufaidika vipi ama kutajirika vipi kwa uwekezaji huu wa...
Wauza maua sasa ni wakati wenu huu ku-export Maua huko Uingereza kufuatia msiba wa Dunia.
NB: Air Tanzania badala ya kupakia waombolezaji wasiolipa nauli, pakia maua tukauze London.
Hili ni wazo simple, kwa mtu simple.
Kuna wale watu ambao tayari mjini wanatafuta hela ya kula tu na kulipa kodi, basi hili ni wazo poa kwa ajili yako.
Kwakuwa ndiyo unaanza, Nunua maharage...
“Trading is one of the oldest concepts on the planet and that’s an advantage to your new business. You don’t have to reinvent the wheel. What you have to do now is create a written set of...
Mara nyingi ninapokutana na wamiliki au wakurugenzi wa makampuni (Business Executives), huwa nawauliza ni njia ipi huwa wanatumia kujijenga sokoni "market leading branding" wengi wanasema...
Je una changamoto ya kuandaa mahesabu?
Je unapata shida ya kuwasilisha kodi kwa wakati?
Fatilia huu Mkasa
John alikua mfanyabiashara maeneo ya kariakoo alikua na tatizo la jinsi ya kuandaa...
Kwa wanaouliza app inaitwa 'Spending'
Na unaweza kuweka mapato pia na mwisho ndani ya mwez ukajua kama umeingiza au umekula mtaji
Kuna msemo
"Biashara bila Budget utawalalamikia wachawi na chuma...
Habari wana Jamii Forums,
Changamoto iliyopo mtaani sasa hivi ni tatizo la kupata wateja na kuongeza mauzo kwenye biashara limekua ni swala gumu sana, jobless wengi wanaanzisha Biashara na...
Habari wanajukwaa hili la biashara!
Nimekuja kwenu mnisaidie hatua za kufuata kabla sijafungua biashara nataka nifungue duka ambalo nitauza bidhaa zifuatazo Vipondozi aina zote, vitenge, madera...
Naomben msaada, mimi sijawahi kufanya biashara yoyote ile. Nimemaliza kidato cha nne 2019 na nilikuwa nasoma chuo lakina nimesitisha kwa sababu mbalimbali.
Naombeni msaada wenu, nina mtaji wa...
Habari, Asee Samahani Anaejua Machimbo mazurii Ya Nguo Haswa Zile zinazopendwa Na wanachuo Kwa Dar[emoji120]
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app