Hamjambo,
Leo naomba tupeane hustles baada ya kujikuta tumeingia kwenye mikopo na taasisi za kifedha.
Binasfsii najuta kukopa, japo sikununua gari wala anasa yeyote ninayojilaumu lakini kurejesha...
Ninyooshe maelezo moja kwa moja kwny mada. Hivi ni kipi bora kutumia account yako binafsi ya mitandao ya kijamii kupost kazi/ biashara yako or kutengeneza account rasmi ya biashara ndio uitumie...
Tanzania imepitia katika hatua kuu tatu kwenye mikakati ya kufanikisha maendeleo. Hatua ya kwanza ilianza mara baada ya kupatikana uhuru, hadi mwaka 1967 lilipotangazwa azimio la Arusha. Katika...
Habari zenu waungwana?
Siku mbili & Tatu hapo nyuma nilienda soko la ferry kununua mboga kwaajili ya familia yangu, katika pita pita zangu nilikutana na mshikaji wangu flani hivi tulipiga nae...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo eleza.
Nataka kufanya biashara na hawa jamaa kwa anayefahamu au alisha wah kufanya nao biashara naomba kufahamu wana tuma kweli mizigo au longo longo.
Habarini wanajamvi? Nimekwisha tafuta Passport nataka kwenda nchi ya Botswana Je? Fursa zake ni zipi kwa wale wanaofahamu hasa katika biashara tujuzane tafadhari
Habari za wakati huu,
Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na maisha yako ukiendelea kuzifikia ndoto zako.Katika safari yangu ya ujasiriamali na biashara ambayo ina umri wa zaidi ya miaka...
Hivi ewra mana mfumo wa kupima ubora nishati ya mafuta yanayotumiwa na vyombo vya moto kutoka vituo vya kuuzia mafuta maeneo yote hapa Tanzania? Kama hamna utaratibu huo naomba muwe mnafanya hivyo...
Come June this year, nataraji kuwa na likizo ndefu ambayo sehemu ya muda wa likizo natamani kutumia kutafuta fursa katika biashara ya nafaka. Kusafirisha nafaka kutoka Tanzania kwenda nchi jirani...
Ishini sana, Tabu sio jambo jema lakini hatuna budi kuzipitia.
Kuna kibanda nimekiotea kipo soko la mtaani, hilo soko halina watu wengi saana ila pilika pilika zipo kimtindo pamoja na makazi ya...
Greeting.[emoji110]
Especially for hustlers[emoji123], students, brothers and sisters and all fans..
Nafkir itachukuw muda kidg kutonekan[emoji26], ila naomba tushike hivi vitu 3 kisha tuingie in...
Habari zenu,
Naomba msaada wa kutengeneza jina la biashara ambalo litakuwa rahisi kutamkwa na fupi.
Biashara ninayotaka nianzishe inahusu vinywaji vya aina zote.
Jina nilifikiria hili: Isaba...
Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale, na pia poleni sana na mapambano ya covid19.
Bila kuwapotezea muda, nina nyumba yangu nataka niuze ipo kwenye kiwanja kikubwa na nyumba yenyewe ni ya...
Leo nataka kuwakumbusha watu kupitia kisa kilichonisibu katika hofu ya uwekezaji.
Mimi ni kijana ambae mpaka nina miaka 30+ ila ninategemea malipo ya mwajili pekee huku nikiwa na majukumu ya...
Vijana, tukiweka aibu chini na kuingia sokoni, lazima kipato cha kuendesha familia zetu kipatikane.
Kuna shughuli za kutembeza viatu, nyama choma, kahawa, karanga, nguo, vyombo, ice cream n.k
Na...
Habari wadau wa JF.
Mimi ni kijana najishuulisha na harakati mbali mbali, kwanza mimi ni mwajiriwa wa mtu binafsi kuna jambo moja nawaomba mawazo yenu mnisaidie kidogo Kama amtajali lakini jambo...
Ndugu zangu Wajasiriamali, wafanyabiashara vipi hali za biashara huko kwenu zikoje? Kadri siku zinavokwenda naona maluweluwe biashara inazidi kuwa ngumu halafu ukicheki unatakiwa ulipe kodi ya...
Kuna hili wazo naliweka mezani; kwa nini tusianzishe kundi litakaloitwa 'Entertainment Group'?
Hili kundi liwe na wanachama angalau 100,000 ambapo kila mmoja atachangia shilingi 2000; ikiwa na...
Nashindwa kuweka pesa kwenye Skiril account kutoka kwenye Mpesa au Airtel Money, Mwemye kujua njia aniambie make ya kutumia VISA ya CRDB naona pia inakuwa ngumu sana