Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Ni ajabu sana kuona baadhi ya mambo ya muungano, sasa yameanza kua sio ya muungano. Kwa mfano hili swala ya mafuta na gesi, linatugusa sote maana ndio chachu ya maendeleo ya huu muungano. Swala...
1 Reactions
2 Replies
680 Views
Wasalaaam ndugu zangu Moja kwa moja Kwenye kilichonileta hapa, Ni kuwapa taarifa hii ndugu zangu ufikapo Songwe(Vwawa,Mlowo,Mpemba,Tunduma,mkwajuni,Saza n.k) Tunakurahisishia kupata huduma...
3 Reactions
0 Replies
719 Views
Mfumo wa Effiling kwa sasa ndio unatumika kwa ajili ya walipa kodi kujaza na kutuma Return zao kwa kipindi cha tangu March mwaka huu mfumo huu umekuwa na shida kubwa, Ukiingia kwenye mfumo unakuwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za jioni Ndugu zangu, Naomba kufahamu fursa za biashara zilizopo Ukerewe, pia kama kuna mwenyewe hapa aliyepo kule naomba tuwasiliane, nimesikia kuna fursa nyingi za biashara maana hakuna...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa yeyote aliewahi au anaefanya biashara ya mkaa naomba mwongozo tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TEAM INASIFA BUSINESS MODEL: User Generated Contents MARKET STRATEGIES: Prepared MONETIZATION: Proposed USER INTERFACE: Prepared
0 Reactions
1 Replies
426 Views
Habar JF..! Mimi ni kijana, namaliza chuo mwaka huu katika kujibana bana nimeambulia 1.2m. Siku zote kwenye maisha kuomba ushauri ni njia mojawapo wa kujifunza hivyo basi wana JF naombeni...
5 Reactions
47 Replies
11K Views
Naomba kufahamishwa shughuli za shirika hili hasa katika mambo ya fedha na namna ya kuweka fedha na kupata faida. Maana katika hali ya Sasa utapeli umekuwa ni mkubwa Sana hivyo ni bora kupata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Watu wangu wengi wa karibu ni wafanyakazi katika makampuni hapa Dar es salaam lakini wanapenda sana kujihusisha katika kilimo, kutokana na kazi kuwabana na uaminifu mdogo kati ya ndugu au rafiki...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wimbi la ajira ni kubwa sana na kiukwel maisha ya vijana wengi yapo mikononi mwa wazazi na Ndugu wengine wenye mioyo yakusaidia Ndugu zao. Vijana wengi Sana nchini hawaelewi ni namna gani...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Hizi biashara bana, zinahitaji commitment ya hali ya juu sana, nawapongeza sana watu wote mliofanikiwa katika biashara. Mimi sijui nilikosea wapi aisee, maana duka lilikuwa na mtaji wa around...
30 Reactions
122 Replies
13K Views
Habari za usiku huu ndugu zangu. Nina mawazo juu ya biashara aina tatu 1. Vifaa vya umeme mfano nyaya, sockets, extensions nk 2. Vifaa vya simu mfano screens, protectors,covers, chargers nk 3...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Wana ndugu naombeni kujua utaratibu wa kuanzisha Mnada. Nina mpango wa kufanya mchakato wa kuanzisha mnada mtaani kwetu (kwenye kata yetu) sababu hatuna utaratibu huo kwa sasa 1. Ningependa kujua...
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Huwa nasema kama hujui Kulipia Matangazo FB na Instagram na wewe ni mfanya biashara unayetaka Mafanikio Makubwa Mtandaoni. Kitendo Cha kutojua Kufanya hicho kitakukwamisha sana kupiga Hatua...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
kama unafanya biashara yoyote basi wateja ni muhimu kwako, makala hii inakupa sehemu nne za kupata wateja mtandaoni na mbinu za kunasa wateja kwenye vyanzo hivyo Hii ni kwa...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
JINSI YA KUPATA WAZO LA BIDHAA YA KUUZA MTANDAONI NDANI YA MASAA 24 TU Najua uwa unasikia story za watu kupiga pesa mtandaoni yaani wanatumia smartphone au PC na internet kupiga mpunga na...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wana JamiiForums. Leo nimeona sio mbaya nikjaribu kuongelea swala la hizi investment platforms ambazo zina claim kuwa unaweza zitumia kujiingizia pesa mtandaoni kwa kuwekeza nazo. Kwenye...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wakuu mimi ni kijana mwenzenu mwenye mipango na malengo ya kufanikiwa kibiashara zaidi katika siku zijazo kutokana na maendeleo ya sayansi na teknologia katika nchi yetu na duniani...
1 Reactions
4 Replies
831 Views
Njia mojawapo ya kujihakikishia unakuwa mtu mwenye amani katika biashara yako ni kua na wateja na mauzo mengi kila siku. Donald Muller aliwahi kusema "Biashara bila mauzo ,nikujilisha upepo"...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
"Sasa ninaingiza kipato kizuri baada ya kusoma kitabu chako cha "MAUZO BOOSTER" nimeweza kupata mauzo endelevu na wateja ndani ya wiki moja na nusu" Hii ni moja kati ya shuhuda niliyopokea na...
0 Reactions
5 Replies
592 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…