Habari za mchana wanaJF!!
Lengo la huu uzi ni kupeana mawazo na mbinu za jinsi ya kukaa katika mfereji wa pesa iwe kiuchumi, kibiashara au kiujasiriamali.
Nawasilisha kwenu.
1. Elewa hitaji la mteja
Kamwe huwezi kumhudumia mteja vizuri bila kufahamu hitaji lake. Mara mteja anapofika katika biashara yako hakikisha unafahamu na kuelewa vyema anahitaji nini kabla ya...
Habari wakuu
Leo nimeenda bank branch ya NMB nikawaomba wanifanyie hesabu ya milioni 40 kwa muda wa mwaka, wanadai hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida
Sasa just imagine unawapa...
Binafsi hua nashangaa sana sipingani na kupanda kwa bei ya mafuta lakini hua nashangaa mchakato unavokua
Mara nyingi EWURA ndio hutangaza bei mpya lakini sijawahi kuona wakitangaza bei mchana...
Matumaini yangu u mzima wa afya.. mimi ni kijana wa kiume kwa sasa naishi Iringa mjini, Kihesa ila bado sio mwenyeji sana wa hapa.
Dhumuni la andiko langu ni kuwaomba wakazi na wenyeji wa Iringa...
Habarini wapendwa;
Nna ndugu yangu yupo Marekani anahitaji nimtumie sato pamoja na dagaa wa kigoma,mana ana siku nyingi hajaja huku amezimisi, pia aweze kuangalia na namna ya kuwa namtumia afu...
Naandika kama mdau na mzoefu kwenye kada husika
Kuna wengi wetu hapa hawana ufahamu wa ulimwengu wa magari na biashara yake inavyofanyika... Hii sio kesi wala huwezi kuwabeza kwakuwa si kila mmoja...
Habari wadau, ninahitaji mfanyabiashara wa asali au mfugaji wa nyuki ambae ana vibali stahiki vya kuuza na kusafirisha maana nina wafanyabiashara wapo kenya wanasafirisha asali kwenda dubai n.K...
Sera za kigeni, za mataifa mbalimbali ma kubwa kwa madogo kwa kuzingatia maitaji yao kiuchumi na kimaendeleo zimejikita katika, kutengeneza uhusiano mzuri kwenye uwanja wa mahusiano ya kimataifa...
Maisha ya biashara na ujasiriamali kila unapoamka inapaswa upashe akili moto kuongeza ile 500 uliyoipata jana leo upate 1000 na kesho kutwa upate 1500 Hiyo ndio inatwa biashara na ujasiriamali...
Guys.
Najuwa wengi tunapitia changamoto ya udhaifu wa uchumi lakini naomba kuongea na wewe kijana unae waza na Kufikiria nini ufanye na wapi uanze[emoji26]., anza apo apo na kwa icho...
Za jioni wapendwa katika bwana.
Samahanini kama ntawakwaza akina mama/dada/bibi waliomo humu.
Scenario1.
Unakuta baba ana biashara kubwa hiki na kile.. unakuta mama labda nae anapita pita...
Naomba kuuliza,
Hivi kwa mtaji wa sh laki moja na nusu, naweza anzisha biashara gani inayolipa na yenye uwezo wa kunipatia faida ya hadi 20, 000 kwa siku!
Msaada tafadhari!!
Lakini isiwe network...
Wakuu nawasalimu
Wakuu nimeona fursa katika biashara ya maziwa natamani sana kufanya biashara hii
Biashara hii haswa natamani kuwauzia viwanda vinavyo sindika bidhaa hii Kama vile Asas , tanga...
Habari JF
Kuna kijana wangu amepata Bajaji ya mkopo.
Sasa Kuna kijiwe huku kigamboni gharama za kujiunga Ni 50,000/=
Na mzunguko wa kawaida Sana. Lakini anasema kupitia Bolt na Uber Ni bure...
Habari JF
Naomba msaada Nina tafuta Kampuni au mtu yoyote mwenye ujuzi wa ujenzi wa Banda zuri la Kuku
lengo Ni kufuga Kuku wa kienyeji kwa Biashara Naomba msaada
Nipo mwanza naomba msaada Sana.
Habari zenu,
Ninatamani kufungua carwash lakini sijui lolote juu ya hi kazi, naomba kufahamu vitu gani muhimu vinatakiwa, mtaji kiasi gani, changamoto zake, faida zake na mambo mengine muhimu...