Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Watu wengi sana wana anzisha Biashara Mtandaoni, Wapo wanaofata Kanuni zake, na ndio maana wanafanikiwa na wengine Hawafati na wala hawazijui. Kanuni Hizi ni kabla ya kuanzisha Biashara...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Huku mimi nafurahi sana ninapouza kipeto cha viazi debe sita vikiwa shambani nauza 65000, sichimbi wala siweki kibarua, japo parachichi soko kidogo lilisumbua, maziwa yanauzika ng'ombe tunataja...
1 Reactions
1 Replies
365 Views
Wadau, Niko katika utafiti awali wa biashara hii(huswa mbuzi) na hivyo naomba wenye mawazo nayo wanisaidie tafadhali hususani katika nyanja hizi: Aina za mbuzi wanaofaa Risks Ushindani na fitina...
0 Reactions
57 Replies
40K Views
Wakuu habari za wakati huu, Naomba mwongozo Kwa wataalamu wa sekta hii. Ni hatua gani za kufata kusajiri na ku operate travel agency inayopeleka watanzania nje ya nchi Kwa shughuli utalii...
0 Reactions
3 Replies
947 Views
Habari za asubuhi wapendwa Mimi ni kijana umri wangu ni 30years. Natamani kufanya biashara za kutoa bidhaa zanzibar kuja kuuza Dar Niko interested sana na biashara za Electronics. Wadau...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Wasalaam wana bodi, Poleni na hongereni sana mbalimbali ya kijamii na kiuchumi. Ni imani yangu kwamba mu wazima wa Afya. Kama heading inavyojieleza, napenda kuomba ushauri na mawazo yenu kwa...
2 Reactions
18 Replies
10K Views
Wadau tujuzane sehemu inayotoa mkopo kuanzia milioni moja kwenda juu kwa njia ya simu. Au hata kwa njia ya cash kama ipo maeneo ya tunduma na mbeya,,,,kwa aliewah kukopa na akapata au mwenye...
0 Reactions
3 Replies
803 Views
Habari wadau wa biashara. Natafuta machine ya NMB kwa ajili ya kufanya miamala ya kibank au machine ya selcom iliyosajiliwa kufanya kazi ya crdb au NMB. Kwa yoyote alionayo ambae haitumii...
1 Reactions
1 Replies
989 Views
Hakuna watu wanapenda kujenga nyumba za kuishi duniani kama Watanzania. Ndoto kuu ya kwanza ya Mtanzania yeyote ngozi nyeusi ni kuwa na kwake hivyo akipenda vihela huvipeleka site kujenga...
96 Reactions
224 Replies
35K Views
Wadau site gani kwa sasa unaweza weka matangazo real estate ukapata wateja kirahi..nilikuwa natumia sana zoom, naona wamepotea(imekuwa kupatana.com-ambayo siyo strong kama zoom)... Noamba kwa...
0 Reactions
2 Replies
643 Views
Natanguliza Salaam kwenu ndugu zangu mimi ni kijana mwenzenu nahitaji kujiajiri sasa changamoto ipo sehemu wanapouza bidhaa kwa jumla hasa hizi consuming product kama pipi, biskuti miswaki nk So...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salama wakuu, Naombeni ushauri wenu, kwakuwa humu ndani kuna wengi wametuzidi kimawazo na uzoefu wa maisha. Ntaelezea kwa uwazi zaidi ili mtengeneze picha kichwani na kuweza kunishauri vyema...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba kupatiwa ushauri juu ya biashara ya mgahawa yaani restaurant Jiji la Tanga mjini na chakula Gani wanapenda na wapi bora kuanzisha. Naombeni ushauri wadau?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Swali la kutokujua, nawezaje kutengeneza pesa kupitia account ya Instagram, maana nimemsikia Mwijaku leo anasema kwa wiki anatengeneza Tsh 6.5mil
1 Reactions
4 Replies
520 Views
Naomba ushauri ndugu zangu! Kuna kijana wangu amenunua bajaj! Amepata na kituo huku Kigamboni! Ila anauliza kati ya kituo na uber kipi bora!? Au uber town au aunganishe town kipi bora? Naomba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Poleni na kazi wadau, Mungu atusaidie kupata zaidi katika miangaiko yetu ya kila siku. Mungu ni mwema nyakati zote, nikiwa kama kijana Nipo mwaka wa pili udsm katika familia wanandugu tumeuza...
3 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari wana jukwaa; I must declare; Mimi bado ni mwanafunzi katika tasnia ya FOREX. Sasa jana nilienda pale FNB Ohio st. ili nifungue akaunti ambayo ingekuwa mahsusi kwaajili ya FX tu. Lakini...
4 Reactions
76 Replies
17K Views
Kuna Dada mmoja ila sio Mbongo ingawa sikuwahi kujua kwa haraka haraka ulai wake ila alikuwa ni kama Mix ya Mzungu na Mwafrica sema kiswahili kilikuwa hakipandi. Alikuwa ndo Bosi wa Food Lover's...
4 Reactions
3 Replies
783 Views
Kiufupi hii kitu sina ujuzi nayo kabisa yaani ni 0% Naona kila siku kwenye mitandao watu wanaongelea sasa sielewi kabisa. Je, ni biashara? Bitcoin ni nini? Crypocurreny ni nini? Watu gani...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…