Habari za muda wakuu,
Napenda kujua taratibu za kuagiza simu China na South Korea maana kuna chimbo nimepata ya kupata Refurbished phones kwa bei kitonga sana ila nmejaribu kuwasiliana na ARAMEX...
Kipo ubungo riverside eneo la makoka, kipo karibu na barabara kubwa na kimejengwa mabanda mawili ya wapangaji yenye vyumba viwili viwili,,kinafaa pia kujenga flemu za biashara.
Mwenye uhitaji DM...
Habari zenu wakuu
Naombeni msaada kama Kuna mtu anafahamu Wanapouza Vifungashio Kwa Bei ya Kiwandani kama vile chupa nzuri za kuwekea bidhaa au Kopo kama za kuwekea mafuta ya kupakaa mwilini iwe...
Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bw. Akinwumi Adesina amesema kwenye mkutano wa mwaka wa benki hiyo uliofanyika tarehe 24 mwezi huu huko Accra, Ghana kuwa benki hiyo itakusanya...
Habari za jioni wakuuu,mimi ni mfanyabiashara wa nguo aina zote huwa nanunua mzigo wangu Kariakooo, nataka kufata mzigo China gharama zikoje. Natakiwa niwe na sh ngapi ili niweze kununua mzigo wa...
Anaeelewa hii kitu anijuze. wanakupa task za kufollow unaingiza dola moja per day. Pia Kuna levels.
VIP 0 ni bure na ndio unaingiza dola moja per day na huwezi withdraw mpaka zifike 148 usd
VIP...
Wadau,
Naitwa Fredrick Mboma. Ni Mjasiriamali.
Kuna sheria ndogo mpya inayoitwa Microfinance (Non-Deposit Taking Microfinance Service Providers) GOVERNMENT NOTICE NO. 679 Published On 13/9/2019...
Habari!
Kama kuna mtu yeyote anauza rice cooker used kwa bei rafiki ya awamu ya sita, naomba anitafute.
Bei elekezi ya mwaka wa fedha ni 30000/=
Pesa ipo kwenye mfuko wa Shati hapa...
Chap kwa...
Wakuu habari,
Nauliza kama thread inavyosema.
Unaweza kuweka pesa kiasi gani kwa mkupuo Watu wa benki wasishtuke na kuanza kukuuliza maswali kwamba umezitoa wapi unafanya kazi gani nk...
Habari wana JF
Kumekuwa na sitofahamu kwa wachimba visima, haswa pale unapohitaji kuchimbiwa kisima, kila mmoja anataja gharama zake kwa anavyojisikia!. Hili ni tatizo!
Napenda kufahamu kuhusu...
Red Bull ni kampuni ambayo kama umefanikiwa kuona mojawapo ya matangazo yake ya kibiashara huwa yako very interesting. Inaonekana kwenye issue ya marketing wako serious na wanachokifanya.
Mwaka...
Kwa mtu mwenye mtaji wa Tsh. milioni 11 afanye biashara ipi kati ya zifuatavyo itakayomlipa maeneo ya Arusha?
1. Hardware(cement,white cement, gypsum biard+powder, mikanda ya gypsum+screw...
Katika maisha upepo ukivuma usikinzane nao uelewe nature yake na uenende nao sambamba ili usikupige mweleka...muhimu ni kushabihiana nao. Cryptocurrency tunataka au hatutaki ndio nature ya digital...