Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Ninahitaji kununua side mirror ya Harrier Tako la nyani,rangi nyeusi, ya upande wa dereva. Mwenye mzigo tuwasiliane tafadhari]
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa kweli airtel ni matako kwa huduma mbovu zaidi. Kwa sasa ukitumiwa sms 1 injirudia zaidi ya mara mia na ukiomba msaada wanakwambia tunalifanyia kazi. Huyo diamond ndiyo kaja kuyaleta haya au...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
Habari wadau, Nina plan ya kuanzisha kituo cha radio huko Tanzania, Ninoamba mwenye idea ni process zipi napitia mpaka kumaliza mchakato mzima na gharama husika, na Itachukua mda gani? Nikipata...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habarini wakuu. Hivi mtu mwenye basic technician certificate in medical laboratory science anaweza kufungua maabara na akaoperate? Je taratibu zake zipoje Msaada wa maoni na experience yenu..
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana kule Mtwara kumefanyika tamasha la wasafi ambalo limeacha historia kwa kufurika watu kwa kiasi ambacho haijapata kutokea watu kujaa namna ile kwenye uwanja wa Nangwanda. Pia kule wilaya ya...
17 Reactions
137 Replies
16K Views
Hii biashara ina faida sana, ukiwa na vyumba 10 kwa 20,000 chumba kimoja na vyote vikapata wateja, una uhakika wa 200,000 kwa siku. Nyumba hizi hustiri wengi wenye uwezo wa kati na wa chini...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
wakati natafuta saa ya kuagiza mtandaoni kupitia ebay nikakuta saa ya hii bei. ikabidi nitafute feedback zake huyu muuzaji kama ni tapeli lakini inaonyesha yupo vizuri hii ndio feeback
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Samahani mwaka huu nimeanzisha biashara ya kuprint picha,passport size, copy na scanning hivyo nilijaribu ku install Adobe photoshop lakini nikagundua pc yangu haina uwezo wa ku run Adobe...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya Waungwana CRDB kushusha riba hadi 13% sasa wamekuja na masharti ya watumishi wanaotaka kukopa kuhamishia akaunti ya mshahara huko! Sasa hii ina ulazima gani kwa watumishi wa Serikali...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za muda huu wakubwal!! Naomba kupata ushauri kidg Kama ninahitaji kuwa na biashara & huduma ifuatayo ninahitaji mtaji kiasi gani (kiasi cha chini kabisa). Kuuza vifaa vya simuu (Betry...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Naomba nijuwe kwa mawazo yenu ni mkoa gani nzuri kwa kuishi ukiwa umeajiriwa. Nashkuru
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwakweli mama anaupiga mwingi sana kuelelekea golini kwake. Kama hauna kazi, na unashinda kijiweni. Na hauna mtaji wa maelfu ya pesa. Chukua sahani kubwa hapo nyumbani (yanaitwa masinia ya...
21 Reactions
40 Replies
5K Views
UVCCM_ TAIFA MEI 14, 2022 ONGEZEKO LA MSHAHARA: Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN akubali ongezeko la 23.3% kwa Kima cha Chini cha Watumishi wa Umma Nchi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Molii products inakuletea Home made chill (pilipili) bei ni elfu 5,000. Garlic paste(vitunguu swaumu) 6,000/=. Peanut butter 5,000/= Products zetu ni nzuri sana ukizitumia hautoacha Kwa maelezo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Jamani kama title inavyo sema, ninaomba mwenye kumiliki au mwenye kujua duka lolote linalouza vifaa vya ujasiriamali jijini MBEYA tuwasiliane. [emoji120][emoji120][emoji120]
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama mnavojua wandungu kwangu lugha ya kigeni tatizo na nataka kuingia kwenye huu mfumo wa cryptocurency nijaribu bahati mnifafanulie hii barua ya BoT
1 Reactions
4 Replies
1K Views
,hivi Nikinunua laini ya m pesa iliyo sajiliwa Kwa majina ya mtu mwingine madhara yake niyapi?
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu leo nimekuja tena kwenu, kupata maujuzi. Natumai mko poa na tunaendelea kuisoma namba, mafuta bei juu...! Nchi ina zizima kwa kilio cha wengi.[emoji24] Wa kubwa bila kuwapotezea muda wenu...
1 Reactions
13 Replies
853 Views
Natumaini muko powa kabisa... nina milioni 10 hapa ambayo nimeikusanya kutoka katika biashara yangu ya Nafaka nafikiria kufungua tigopesa hapahapa kwenye duka la Nafaka... sasa ambao munaijua...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari Waktu Nimekuja kwenu natafuta business partner ambae atawezesha kifedha katika wazo langu la biashara. Biashara ni ya viatu vya kike Nina eneo makumbusho ambalo nimeshajenga banda...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…