Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
ndugu zangu mwenye idea za biashara za mtaji mdogo na zina faida
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Msaada jamani, hivi kati ya Kahama na Geita ni sehemu gani nzuri yakuwekeza biashara kwa mtaji wa 2m maana nimefika hapa Buzuruga nina option mbili tu nichague sehemu moja. Tafadhali msaada wa...
1 Reactions
26 Replies
11K Views
Habari ndugu zangu naomba msaada wa tathmini ya kukamilisha mwalo wa dhahabu nahitaji niwe na nini na nini
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Habar wakuu msaada kwenu hivi mashine yautambuzi kupima kugundua shida katika gari huuzwa kiasi gani
0 Reactions
6 Replies
596 Views
Naomba kujua kama Kuna mtu ambaye anaweza kunisaidia niweze kupata maji ya hill litre moja maana kwa huku maeneo ya Mbezi mwisho yamekuwa adim Sana pia na Soda za Pepsi. Kipindi cha nyuma hapa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF Je kuna M-TZ yeyote mwenye uzoefu na biashara au aliye jaribu kufanya biashara huko Comoro?
0 Reactions
33 Replies
11K Views
Kwanza kabisa, mapambano yaendelee siku ya kufanikiwa ipo tu, tusikate tamaa. Mfano huu utajumuisha Biashara nyingi Sana, kwa hiyo wewe mwenyewe utakuwa unalinganisha na Biashara yako. Naomba...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Allef Vinicius Do you want to have a better financial life? Of course, you are; I assume that is why you are reading this. But the point is, if you are reading this, you have seen the title of...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu. Aisee mimi Kuna kitu bado sikielewi hasa kuhusu haya masuala ya utalii wa ndani. Unakuta sehemu kiingilio cha serikali ni kidogo tu, tuseme kutembelea kivutio A ni 2000 au 2500 na...
5 Reactions
21 Replies
10K Views
Unakuta vijana wengi pesa wanazopata huishia kununua vitu vya luxury ambavyo ni liabilities na sio asset! Ukiona unamtazamo huo basi hayo mawazo huleta umasikini. Vitu kama magari na huna kipato...
9 Reactions
66 Replies
4K Views
Bei ya mafuta imefika 105 USD kwa pipa Tanzania tutafute mafuta Yetu. Kufuatia Mzozo unaoendelea kati ya Ukraine na Urusi bei ya mafuta imepanda na kuvuka dola mia moja kwa mara ya kwanza tangu...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Wakuu habari za asubuhi, Naomba kujua anayefanya biashara ya Dagaa wa Nyama wale wa Zanzibar. Vipi, hapa kwa Dar soko lipoje wanapendwa? Nikitaka mzigo na chukulia wapi kwa jumla na je, mtaji...
0 Reactions
20 Replies
15K Views
Hello wana Jamii forums,,, Kwanza nianze kwa kuwasalimu,,na kuwapa pole kwa mihangaiko ya hapa na pale...Kwa kifupi mimi ni kijana mpambanaji,,nina deal na uchimbaji wa feldspar huku maeneo ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Niaje Mabroo na Masista. Maisha yanaendelea poa, mimi niko Kahama hapa kuna mishe nilikuja kufanya ila mda siyo mrefu nageuza kurudi A Town, aka A City, Geneva of Africa, City of...
4 Reactions
27 Replies
12K Views
Wakuu kwema? Kama mnavyojua kipindi Hiki ni kipindi Cha mfumuko wa hatari duniani more kutokana na changamoto mbalimbali za kidunia Sasa tulioweka akina zetu Benki thamani yake zinaporomoka huku...
2 Reactions
10 Replies
871 Views
Hello Wanajukwaa wa JamiiForums hivi karibuni tumeshuhudia bidhaa zote muhimu zikipanda bei kwa kushtukiza yaani imekuwa kama surprise ya kila siku. Bidhaa kama mikate, mafuta- unga- yaaani hata...
2 Reactions
5 Replies
892 Views
Lengo kubwa la mataifa ya magharibi ni kuiangusha kiuchumi Urusi ili hatimaye idhoofike kijeshi. Kufikia lengo hilo walimpata rais msanii na mchekeshaji Zelensky wa Ukraine, ambaye walimvimbisha...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Kuna uwezekano ukaanza biashara na mtaji wa laki 1 na uku bado unasoma. Dah na kama upo ni biashara gani maana maisha ya kuwa tegemezi some time yanachosha. kama inawezekana ushauri wako plz na...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
DEFLATION Hiki ni kipindi ambacho bei za bidhaa hushuka, na hufanya thamani ya pesa kuongezeka. Hapa ndio unajikuta ukienda sokoni na 10,000 unanunua mahitaji yote ya week na change inabaki...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari.....ndugu naomba nipewe ufafanuzi kuhusiana na NMBpesa wakala.
1 Reactions
7 Replies
471 Views
Back
Top Bottom