Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Nipo katika moja ya nchi za Ulaya kikazi na nimebahatika kuingia katika duka kubwa la Costco. Humo katika pitapita kwenye sehemu ya groseries nimekuta kahawa ya kutoka Tanzania sehemu ya Lyamungo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Tanzania imekuwa na tatizo kubwa sana la ajira (unemployment) hasa kwa vijana wahitimu wa vyuo vikuu, imefikia kipindi vijana wengi walio mavyuoni kudhani siasa ndo njia ya kutokea kimaisha...
0 Reactions
0 Replies
623 Views
Kumekuwa na mfumko wa bei kwa vitu mbali mbali ikiwemo bidhaa za nyumbani kama vile mafuta ya kupikia, mchele, unga na sukari. Uzi huu utakuwa maalumu kuhabarisha stage tuliyofikia katika eneo...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Plant dtemcell therapy 0719794789
1 Reactions
0 Replies
284 Views
Kwa wenyeji wa musoma mjini, ninauza nyumba yangu pale makoko ziwani karibu na shule ya makoko seminary. Mwenye kuhitaji aje PM
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mafuta ya kupikia sasa yanaenda kuwa anasa kutokana na kupanda kwake bei sijui tatizo lipo wapi? Tuambie kwenye eneo unalo kaa mnanunua bei gani kwa ndoo?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wandugu hongereni kwa kazi. Natarajia kuanza biashara ambayo itahusisha kusafirisha mizigo kwenda kwa wateja zangu waliopo sehemu mbalimbali hapa TZ yaani mikoani, wilayani na hata vijijini. Kuna...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Habarini wapambanaji wenzangu leo katika pitapita zangu nikakutana na ndugu mmoja akaanza kunipa maneno ya kunikatisha tamaa, kwamba biashara niliyofungua haitofika popote kisa nimefungua biashara...
4 Reactions
108 Replies
14K Views
Naomba ushauri bidhaa ipi ya mtumba ni inatoka na ina faida zaidi. 1. Magauni 2.Nguo za watoto mix 3. Mashuka 4.Mashati 6.Sidiria Na vipi bei ya belo kwa bidhaa hapo juu?
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Ndugu, kwa wenye experience na biashara ya kumpa mtu boda akufanyie kazi, inalipa kwa Dar?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jaman, naombeni kujua kwa mwenye kujua bei ya pikipiki mpya aina ya SINORAY na HOUJUE dukani kwa sasa ni shilingi ngapi, na kwa mwenye connection ya maduka ya hizi pikipiki kwa Dar naomba anicheki...
1 Reactions
8 Replies
11K Views
Nimekuja kuomba ushauri kwenu nina mtaji wa milioni nne naweza kufanya biashara gani Dodoma. Nina ujuzi wa computer na uzoefu katika kutengeneza computer hadi chip level, kutengeneza simu...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Natafuta mtu mwenye mtaji wa kuanzisha bekery arusha, soko lipo, demand kubwa ila mtaji ni changamoto. Mawasiliano;0677603842. Naombeni tafadhari!, Asanteh.
0 Reactions
2 Replies
484 Views
Kitabu changu cha mwisho kusoma mwaka 2021 ni THE RICHEST MAN IN BABYLON. Ukizungumzia kati ya dola kubwa za kale babeli ni moja wapo kati ya hizo ambazo zitakuwa kwenye list. Hivyo muandishi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Awali ya yote nipende kuwasalimu nyote mtakao pata nafasi ya kupitia uzi huu. Binafsi nimeshangazwa na uamuzi uliofanya na Benki ya NMB leo, kutoa Kompyuta mapaka yaani laptops kwa wamachinga...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Natafuta mtu mwwnye mtaji wa kuanzisha bekery Arusha, soko lipo, demand kubwa ila mtaji ni changamoto. Mawasiliano; 0677603842.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Haya mataifa ya kicomunist sijawahi kujua mpaka sasa yana faida gani mimi naona hata apa Africa hayana interest yoyote hata Putin tu kutia mguu Africa tokea aingie madarakani sijawahi muona kuna...
5 Reactions
14 Replies
852 Views
2025 karbu na Msoma kumbe[emoji1696][emoji468][emoji1696][emoji468][emoji1696][emoji468] Basi papi Mtu unakuwa huru Kama utaweza kwenda mbio,mbio za hivi,Ustaarabu,Ustaraabu.Ni Wapi wako Bora Zaidi.
1 Reactions
110 Replies
26K Views
Habari za wakati na poleni na mihangahiko. Naulizia Nguo za mtumba za watoto kwa anayefungua mzigo kwa bei hiyo 500/1000TZS tuongee biashara hapa hapa na wengine wanufaike mi ninanunua naenda...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu, samahani nauliza kwa anayefahamu mashine ya kutengeneza vitabu kama petty cash, receipt book, oder book, invoice book, vitabu. Naombeni kufahamu gharama ya hiyo mashine na wapi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom