Habari zenu Wadau. Poleni na mihangaiko ya kila siku ya utafutaji riziki
Nimekuja jamviin kuwaomba ushauri Mimi nina uwezo mkubwa sana wa kucheza mchezo wa Drafti. Lengo langu nataka nibadilishe...
Hapo kijijini kwako ni bidhaa gani iko bei ya chini na inapatikana kwa wingi? Mfano:-
Kuku
Mayai
Maharage
Mahindi
Viazi
Vitunguu
Mchele
Pumba za mahindi
Mbuzi
Ng'ombe
Kondoo
Kitimoto
Bata
Ngano...
Ngoma inazidi kuwa ngumu kupanda kwa ngano sijajua kama vita hii ya Ukraine inahusika ila kama inahusika wale mashabiki wa hii vita msije kuja kulalamika hali ya maisha ngumu mkaanza kumsingizia...
Nataka kufungua mradi wa kuuza simenti aina ya dangote mkoa wa pwani.
Kwa wazoefu, naomba kujua Bei ya simenti kiwandan kwa Sasa ikoje, gharama za usafiri au kama kiwanda kinasafirisha mzigo kwa...
Habari wadau. Kwa wenye uzoefu na hizi mobile money watuambie kiwango cha mwisho ni kiasi gani?
Je inawezekana kwenye line moja kuweka milioni 5 kwa siku. Na ukamtumia mtu hiyo milioni 5 kwa...
Habari za mida wakuu!
Kwenye side hustle yangu hapa mjini leo wamekuja ma afisa biashara kutoka kituo cha mapato manispaa, walitaka kuona leseni ya biashara sasa mimi sikuwepo kuna chalii...
Kwa tunaotokea nje ya dar es salaam Kwa yeyote aliyewahi kununua bidhaa Kwa Hawa jamaa na ikamfikia bila changamoto tujuzane. Kuna bidhaa nimeiona nataka ninunue na wanasema wanaagiza Hadi mikoani...
Just imagine muuzaji wa karanga kila anapopita lazima awaonjeshe kwanza mpate testa ndo mnunue au msinunue. Sasa nikajiuliza wauzaji hawali hasara kweli kuonjesha watu mji mzima hata Kama wapo...
Ukimsikiliza huyo bwana hapo analalamikia gharama za kusafirisha container 40 fit umefikia mpaka US dollar 2300-2500 wakati bandari ya Mombasa ni US dollar 1300 anasema kuna hatari ya wateja...
Ndugu wanajamvi, mimi nimejiajiri ktk tasnia ya ufundi ( mechanical Engineer) nimefanya ktk tasnia hii kwa miaka 10 sasa, kwa sasa nataka kushea changamoto na mtu mwingine mwenye nia ya dhati...
SAFARI YA KUTAFUTA PESA.
TUMIA NGUVU ZAKO KUPATA PESA.
Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe, walisema wahenga.
Kubagua kazi ni kauli za wasio na maono.
Kuishi bila kazi na kuridhika kuwa...
NAMNA YA KUTENGENEZA PESA KWA KUTUMIA MAWAZO (AKILI)
Mtaalamu Albert Eisteirn aliwahi kusema kwamba asilimia 5% ya watu wote duniani ndio wanaoweza kufikiri
Na asilimia 15% ya watu wote duniani...
1.0 Utangulizi
Kipeperushi hiki kinatoa maelezo kuhusu taratibu muhimu ambazo watumishi wa umma wanatakiwa kuzingatia wanapohitaji msamaha wa ushuru kwenye vyombo vya usafiri (Magari na...
Habari za asubuhi ndugu zangu.
Kutokana na kukosekana kwa ajira. Nataka kujikita katika biashara ya Vitunguu Sokoni. Nataka kununua kutoka mkoani na kuja kuuza Dar es salaam sokoni.
Naomba...
Naona ni fursa ya kujiajiri kupitia kutoa huduma ya kuonyesha mpira, masumbwi, tamthilia pamoja na michezo mingine pia hata matukio mbalimbali, Je mchanganuo wa mtaji wake upoje?
Miaka ya 90 DHL walikua na ofisi mikoani na waliajiri vijana wa kupeleka mizigo kwa wateja. Vijana walipewa pikipiki kubwa na walifanya kazi kwa ufanisi.
Amazon ni kampuni kubwa, ukiweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.