Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habarini business moguls! Tupeane information kuhusu uwekezaji katika sekta hizo mbili, nini kinahitajika, faida na hasara zake ( changamoto) kwa ujumla! Na je kuna project gani zilizopo...
0 Reactions
2 Replies
543 Views
Ujamaa shop Kama una mtaji mdogo, unaweza kufanya biashara hii huku ukijitengenezea 'brand' 'ujamaa shop' Tembelea vijiji 2 au zaidi kutokana na nafasi uliyonayo Anzisha maduka madogo madogo...
1 Reactions
2 Replies
836 Views
Huku kwetu sabuni ya kufulia unapimiwa kwenye kikombe cha chai kama huwezi kununua ndoo au box zima. Vile vitenge vitatu vinavyouzwa Karume na Mnazi Mmoja huku vinauzwa kipande kimoja. Ukiweza...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
MONOPOLY Neno monopoly maana yake ni muuzaji mmoja (single seller). Huu ni muundo wa soko ambao muuzaji wa bidhaa ni mmoja tu. Vitu vinavyoweza kusababisha kuwepo kwa monopoly ni kama...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Wafugaji wengi hupenda sana kuwachapa ng'ombe wanapowaswaga. Hii imesababisha pindo ng'ombe wanapochinjwa kwa ajili ya nyama kuharibu ubora. Hivyo nyama nyingi sehemu ya fimbo zilipotua huwa...
1 Reactions
18 Replies
847 Views
Wakuu, ni week sasa kila liquor store ninayoenda hapa maeneo ya Mbezi na Kimara kutafuta valuer naambiwa hakuna. Meneja mauzo wa kampuni husika jitafakari sana kama unatosha kwenye hiyo nafasi...
1 Reactions
5 Replies
978 Views
Palipo na nia pana njia Ni ndoto yangu ya muda mrefu ya kuwa na kampuni kubwa ya mabasi ya usafirishaji abiria. Hivyo basi pamoja na maombi yenu ninaomba pia tusaidiane kushirikishana je ni ruti...
17 Reactions
87 Replies
14K Views
Biashara ni ngumu hasa usiposimamia mwenyewe. Kuna rafiki yangu wa karibu nlkua natamani nipate sehemu nzuri nimuweke kwa ajili ya ufugaji jambo ambalo lingekamilika mwaka huu. Cha kushanganza...
2 Reactions
7 Replies
623 Views
Wakuu Poleni na majukumu na karibuni tuzichambue fursa zinazopatikana soko la kariakoo na namna nzuri ya kizitumia. *Udalali *Kubeba mizigo *Kuongoza wageni *Kujitolea dukani kwa mtu (kufanya...
33 Reactions
38 Replies
11K Views
Husika na kichwa tajwa hapo juu naulizia Balo la mashatii ,vitop yeyote anayejua machimbo ya hivii vitu
0 Reactions
2 Replies
585 Views
Wakuu nimekuwa nikipokea ujumbe mwingi sana toka Voda unaotaka nijiunge na huduma yao ya bima.Jana wakaenda mbali zaidi wakanipigia simu,walisema wana bima ya Ajali,Kifo,na matibabu. Nilivutiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanadau Naomba kujua majina ya maa agents wa kisafirisha mizigo kutokea china kuja Tanzania. No zao Ofisi zao kwa hapa Tanzania Na bei zao mara nyingi zikoje? Nawakilisha
0 Reactions
35 Replies
17K Views
Kama kuna mtu anajua procedures za kufuata ili kupewa fridge za bia kama Safari n.k na TBL naomba anijuze tafadhari?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, nahitaji kujua vitu mbalimbali kuhusu Kahama. Nimewahi kufika hapo miaka ya 2017 ila sikukaa sana licha ya kwamba niliona mji umechangamka kiasi...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa Mbeya mjini, karibu na stand kuu ya nanenane, hamna dalali piga kwa mhusika 0744757738
1 Reactions
11 Replies
804 Views
Mwenye kujua tafadhali, nahitaji kujua chimbo hizo kwa hapa bongo zinapatikana wapi?
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu habarini, mimi ni mmoja wa wanaohangaika sana na malipo ya mtandaoni yakihusisha paypal account kwani tunajua kwamba account zilizotengenezwa tanzania hazina uwezo wa kupokea pesa, kakini...
3 Reactions
14 Replies
12K Views
Wakuu, Katika soko la kariakoo, kama kichwa kinavyojieleza, naweza kupata fremu ya aina gani, katika eneo gani, etc kwa budget ya 1m to 1.5m kwa mwezi. Karibuni. Wakuu.
2 Reactions
43 Replies
6K Views
LUANDA - The Secretary-General of the African Continental Free Trade Area (AfCFTA), Wamkele Mene, said on Monday that Africa will soon have a new trading standard with the development of the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa Dodoma eneo makulu bei ni 15M kwa description za kiwanja 0755151642. Karibuni
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom