POVA Neo ni toleo la bei nafuu zaidi la Tecno POVA 2. Sifa kuu za simu hii ni kioo kubwa na betri. Akizungumzia muonekano ina kioo cha inchi 6.82 chenye pikseli 720 x 1640, na sehemu ya mbele ya...
Habari zenu,
Dada yenu nimekwama tafadhali naomba mnisaidie,
Nimekodi meza ya biashara soko la Tandika, nimeanza kwa kuuza nusu balo la skin jeans na nusu balo la blouse. Wiki sasa inakata mzigo...
Wakuu naomba kujua tofauti Kati kuwa na kampun na enterprises je kuwa na company unatakiwa uwe na vigezo gn na ukitka kuwa na enterprises unahitaj kuwa na vigezo gn?
Wadau mambo vipi mko poa? Nina wazo ila sina mtaji wa kuanzia nikipata wa kunishika mkono nitashukuru.
Plan yangu ipo hivi wazo langu ni kuwa nikiwa na kama sh 50,000 hizo zinatosha kabisa naenda...
Na deal na nguo za watoto mitumba za aina mbali mbali, maranyingi root yangu ni morogoro kikundi na sabasaba, kibaigwa na gairo, bagamoyo, kiwangwa au tabata baracuda....
Kama mnavyojua minadani...
ECONOMIES OF SCALE
Hiki ni kitendo cha kupungua kwa gharama ya uzalishaji (Average cost) kadri ya uzalishaji wa bidhaa unavyoongezeka.
Njia ambazo zitamsaidia mfanyabiashara kupata economies of...
Wakuu Karibuni Dodoma.
.
Daaah Hela Yetu Ya Tz Haina thamani.
.
Jana nimetumiwa na rafiki yangu yuko India Elfu20 ya India Nikaenda Jana Crdb kubadilisha nikapewa 555,000/= ya Kitanzania Daaaaah...
Nina haya maswali wakuu:-
Je ilikuwa ni sahihi kuwa na noti moja yenye thamani ya hii fedha?
Na je, noti hii ilimaanisha uwezo wa kufanya ununuzi kwa hiyo thamani?
Badala ya kutengeneza noti hiyo...
DEPRESSION / TROUGH
Hii ni stage katika maisha, biashara ambayo mambo huwa magumu sana na ugumu huja kuathiri uchumi wa dunia nzima.
Hiki ni kile kipindi ambacho mtu hukata tamaa na kupoteza...
PERFECT COMPETITION (Ushindani kamili)
Hili soko lina sifa zifuatazo:
1.Wauzaji wote wanauza bidhaa sawa au zinazofanana.
2. Wanunuaji wote wanajua bei ya bidhaa na wapi zinapopatikana.
3...
Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha fikra na mawazo ya binadamu kwa njia aidha ya kuchora, kuchonga, uandishi, upambaji, mitindo, ufinyanzi, uimbaji, Uigizaji na vitu vingine vifafananavyo na hivyo, ni...
Ndugu habari!
Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani.
Nina bidhaa za nguo za 👖 jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo...
Nina mtaji wa tani zaidi ya 15 za maharage kutoka mkoani Songwe (maharage ya njano) na ninahitaji kupata soko la uhakika hapa jijini Dar es salaam, kama unadetails za biashara hii ninaomba tushare...
Nchi zinazo zalisha mafuta zaidi duniani 2022, (thousands barrels per day);
1. United States (12,108)
2. Russia (10,835)
3. Saudi Arabia (9,580)
4. Iraq (4,620)
5. Canada (4,129)
6. China (3,823)...
Naomba msaada kwa anayeelewa matumizi ya mashine za EFD kwani TRA wanasisitiza Sana wafanyabiasha kuwa nazo.Mfano mimi mtaji wangu ni laki4 nimeambiwa ninunue mashine nimeulizia mashine yenyewe...
Hii ni kwa wadau wa pombe za bei chee, nyie wa K Vant, Konyagi, Black and White, Tequila, Sambuca, Johnny Walker ya Pascal Mayalla mtuache kidogo, Watanzania halisi tuna jambo letu.
Double Kick...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.