Wakuu,
Husika na kicha kwa habari hapo juu. Nimepata shida kidogo nafanya biashara ya mitumba nimekuja Ilala kuchukua mzigo (nguo za watoto) imepungua kama laki moja ili nichukue mzigo mkubwa...
Habari wadau, kazi iendelee
Kwa wale wenye uzoefu wa biashara ya simenti tupeni dondoo Kwa maana ya faida, changamoto na namna ya upatikanaji.
Hii ni moja ya biashara nayopenda kuifanya japo...
Wakuu,
Naomba tushirikishane mawazo na uzoefu.
Lipi ni kufuli imara zaidi uliwahi kuTumia, kuskia au kuliona?
Pia, itakua vema zaid kama tukijadili njia bora zaidi za kuboresha uimara wa...
Waahidi, wapakistani na WaBangladesh wanatuzidi nini kwenye biashara?
Ni nini ambacho sisi weusi tunakosea. Wengi wao wakifungua tu biashara unaiona hiyo inanyanyuka mdogomdogo.
Na sio kama...
Wanasema, woga wako, umaskini wako, Nimefanya biashara ya kuuza viatu kwa mda sasa, kusema ukweli biashara ya viatu vya mtumba kwa eneo langu na wateja wangu, nikilinganisha na biashara nyingine...
Natafuta mtu wa kufanya nae biashara nguo za mtumba. Nipo zanzibar biashara ni mzuri tu nipo na fremu sehemu mzuri tu kama yupo alie tayari aniinbox.
Hasa hasa nguo za kike kama baibui na madira...
Habari zenu wapendwa,
Katika harakati za kupambana na maisha, nimepata wazo la kufanya biashara ya nguo za watoto za mtumba.
Nilikua naomba kwa wenye uzoefu wa hii biashara wanisaidie kuhusu...
Hello! Natafuta fundi snayejua kushona nguo za kike, mishono ya kisasa nimpe tenda na kama nitapenda kazi zake nifanye naye kazi. kama unafahamu naomba namba zake nitamtafuta asanteni, location...
JINSI YA KULINDA TAARIFA ZAKO UNUNUAPO BIDHAA MTANDAONI
Chati hii inaonyesha kwa asilimia nchi zinazoongoza kwa ukuaji wa mauzo ya rejareja ya biashara mtandaoni, huku Ufilipino ikishika nafasi...
Habari za wakati huu? Leo nimekuja kwenu nikiwa mjasirimali mdogo wa kuuza maandazi baada ya kuanguka.
Nakumbuka niliomba mtaji kutoka kwenu na kuna baadhi walioonyesha moyo wa kunisaidia...
Wakuu Mimi ni Kijana Mtanzania ninajishughurisha na kilimo cha mazao ya biashara siku za karibuni nimejikuta nanunua MBEGU Toka kampuni za ndani kigeni kama Toka India , Ufaransa , nk zina ubora...
Hello wakuu,
Nimepata idea ya business, Nafikiria kuagiza na kuuza mashuka ya quality, ukubwa na design tofauti na kuyauza kariakoo.
Niambieni, nishaurini, nikosoeni,
Je niko sawa? Mzunguko...
Wakuu nina 25million nje ya kodi ya pango, je itatosha kwa ajili ya hii biashara?
Je ni idea nzuri ya kunipatia kipato kikubwa kwa sasa na baadae?
Maeneo ya aina gani napaswa kuweka aina hii ya...
Habari za Wakati huu Watanzania Wenzangu, naomba niende kwenye mada husika. Nina mtaji wa 200,000 nataka nianze biashara ya Magazeti Ya Kufungia bidhaa, naomba kujuzwa bei zake za jumla Dar Es...
Hatua ya 15; Kitabu - The School of Money by Olumide Emmanuel
Ukurasa wa 14; ( ACTIVATING MULTIPLE STREAMS OF INCOME ) 219~ 228
Amsha Mifereji mingi ya Vipato
Maziwa na Bahari haikaushi maji...
Nishaurini ni biashara gani naweza kuifanya ili iweze kuniongezea kipato
mtaji Millioni 10, usimamizi nitaajiri mtu wa kuisimamia, mimi niko na majukumu ya ajira, eneo la biashara Arusha mjini...
Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa Benki ya CRDB kwa hasara mnazotupatia sisi mawakala kutokana na mtandao wenu kuwa wa hovyo kushinda benki zote
Mimi ni Wakala natoa huduma za uwakala wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.