Kampuni ya simu TECNO ilitangaza kutolewa kwa teknolojia mpya ya upanuzi ya Random Access Memory (RAM) kwa watumiaji wake ili kuongeza uwezo wa RAM wa simu zao kwa ufanisi bora. Teknolojia hii...
Wakuu naomba kupata wazo la kufanya biashara zaidi ya moja wakati nikiwa kwenye kaduka kangu.
Nilianza udalali wa magari na viwanja ila nilkkosa network, pia ninayo Gari ndogo raumu ila nakuja...
Habari zenu wakuu niliagiza parcel kupitia aliexpress na mzigo unaonesha umesha wasili kwenye destination country
shida inakuja nilikurupuka kuagiza mzigo kabla ya kuwa na sanduku la posta je...
Tushukuru Kwa kudra za Mwenyezi Mungu tupo salama na tunaendelea kuelimishana, kufurahishana na kujuzana mengi katika ukurasa huu wa JamiiForums.
Karibu saana, leo tutakuwa na interview kwa...
Biashara. Habari vipi, sina uzoefu wowote wa kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi lakini kuna bidhaa nahitaji kuagiza kutoka china na mzigo unifikie moja kwa moja je jifanyaje?? Msaada please.
Natumai Mu Wazima Wa Afya Naomba niende moja kwa moja kwenye mada
Katika pita pita zangu Za Huku na kule Kuna sehemu nimepita nimeona wanapata taabu Sana kupata mahitaji ya Jumla {Wauza Maduka}...
IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima.
HIZI NI MOJA YA...
naomba wanauchumi watuelekeze kama kutakuwa na makosa
1. Fedha zote zinatoka bank kuu(BOT) kabla ya kusambazwa kwa raia na bank zote zilizochini ya benki kuu
2. Bank kuu...
Naombeni ndugu wajuzi humu ndani mnipe ABC ya biashara ya nguo za ndani kwa wanawake yaani chupi....nina wazo la kufata mzigo Kampala Uganda ila sasa bado sina uzoefu wake so naombeni mnichangie...
Wakuu habari zenu?
Leo nimekuja kujadili kwa undani biashara ya malori
Ni wazi kwamba siku hizi sasa sie wakazi tunaotumia barabara ya morogoro road tutakuwa tumeshuhudia malori mengi yakitumia...
Yes, marafiki, tusaidiane mawazo, tahadhari na ushauri.
Wenye ujuzi wa hii b'ness in general, mzunguko wake wa kipesa, maeneo mazuri ya kupachika hii idea, uboreshaji wa biashara kuongeza faida...
Habari za mchana"""
Natumaini wote nyote ni wazima....
Naomba muongozo wa kufanya biashara ya nguo,🎽Viatu n.k vya mitumba kwa kuniambia ni store zipi naweza kwenda kuchuwa mzigo na cost ni...
Ndugu zangu,
Majibu yenu hapa yatanipa mwanga wa kuweza kuamua nifungue duka lipi kwa ajili ya nguo za wanawake tu au nifungue duka kwa ajili nguo za wanaume au nifanye vyote kwa pamoja kwenye...
Na Joseph Ngilisho
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela amefungua maonesho ya kimataifa ya kilimo yanayojulikana Kama ‘TANZFOOD Expo’ katika viwanja vya magereza, na kuwataka wadau wa kilimo na...
Wakuu nawasalimu,
Leo nimejikuta nawaza sana fursa walizonazo watanzania waishio nje ya nchi na namna ya kutatua changamoto za ajira kwa vijana
Kwanza naomba niwaalike watanzania wanoishi nje ya...
TOTAL COST
Variable cost + Fixed cost= Total cost
Total cost ni gharama za uzalishaji wa kitu chochote
Total cost imeundwa na gharama ambazo hazibadiliki hata ukizalisha kidogo na gharama...
BOOK-KEEPING VS ACCOUNTING
Kiufupi Book keeper ni mtunza mahesabu na Accountant ni Muhasibu.
Book keeping na Accounting hufananishwa sana kutokana na vitu vifuatavyo:
1. Zote zinahusika na...
INFLATION
Hiki ni kipindi ambacho thamani ya pesa inashuka kutokana na bei ya bidhaa ambazo ni muhimu (necessity goods) kupanda.
Vyanzo vya mfumuko wa bei.
1. Ongezeko la ajira
Kuongezeka kwa...
Habari za wakati huu waungwana;
Mnamo mwaka 2005 nilipata kusikia habari za kwamba watu wanaweza kufanya kazi kwa njia ya mtandaona kutengeneza pesa.Kwa sababu ya uelewa finyu wa teknolojia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.