Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari wadau Nina visenti kidogo nataka kuwekeza nikuze mtaji. Biashara ni nyingi ila nahitaji ambayo sio pasua kichwa sana. Kuna hii biashara ya pembezoni mwa barabara ya tairi za magari...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari za mchana wana JF, Nilikuwa naomba kujua hoteli za Wachina kwa hapa dar es salaam zinapatina maeneo gan? Kama unajua hotel yoyote ya wachina na mahala ilipo unijuze
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Waungwana niwatakie jumapiki njema! Mimi ni mojawapo ya waliokuwa wanasubiri Kwa shaukukubwa Vitabu vioya vya Historian alivyoekeza Mh.MAgufuli viandikwe...! Najua vilikuwa kwenye hatua ya mwishi...
1 Reactions
3 Replies
655 Views
Naombeni mwenye Proposal au Business Plan ya Kuendesha Shamba la Parachichi kwanzia kununua shamba, kuotesha mpaka kuvuna na boari/warehouse ijengwe shambani kwa ajili ya kuchakata na kufanya...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Inashangaza wataalam wetu Tena wakiongozwa na professor maji ya mto Mara kuharibika sababu ni mavi ya ng'ombe Kweli wataalam wetu wameamua kutuuza hivi hivi kwa mabeberu hapana tuseme no...
2 Reactions
9 Replies
927 Views
Naomba ufafanuzi yakinishi kuhusu biashara ya mkaa kwa hapa dar es salaam. Upatikanaji wake, usafirishaji, soko, vibari na uhuru, uendeshaji, pia na mtaji ambayo naweza anza nao .
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Moja ya changamoto ambazo zinasumbua biashara ndogo ni imani ambazo wafanyabiashara wanazo. Kuna dhana moja ipo kwenye mitaa yetu kwamba kuna watu ambao ni chuma ulete. Watu hawa wanapokuja kwenye...
8 Reactions
36 Replies
9K Views
dell inspirion 15_3567 intel core (Tm) i7 7th generation ram8 gb ddr4 Ssd512gb amd radion (Tm) r5 m330 total video memory 6gb 15inches very slim & clean condition refab installed games gta5...
1 Reactions
2 Replies
581 Views
Wakuu ningependa kujua list ya items zinazo hitajikwa kwa ajili ya kufanya process ya car wash.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Serikali, kabla ya kutuhamisha maeneo tunayofanyia biashara zetu ndogo ndogo mfanye kwanza utafiti wa huko mnakotupeleka. Sisi wafanyabiashara ndogo ndogo tumekuwa kukiingia kwenye mgogo na...
1 Reactions
2 Replies
677 Views
Hii biashara sasa tatizo la umoja kwa wamiliki wa semi linaanza kuzaa matunda moaka madalali wanaanza kufanya unyonyaji kweli DRC Transit dalali anataja bei dola 4000 wakati Lusaka transit bei...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wana Jamvi. Leo nimejifikiria kuhusu Biashara ya tofali naamini kila mtu kwa nafasi yake ameshiriki katika biashara hii. Leo ningependa tuelezane mambo kadha wa kadha kuhusu biashara hii...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau habarini za majukumu? Naomba wazo zuri la kufanya biashara Wilaya Uvinza-Kigoma je ni biashara gani nifanye nijikwamue kimaisha wandugu? Mtaji wangu nilionao ni Tshs. 3 milioni.Karibuni kwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu wadau, Katika mitandao ya kuuza na kununua vitu kwa njia ya kielekroniki (online markets) kunaambatana na hatari nyingi sana na hasa ukiwa unanunua vitu kwenye mitandao iliyojaa watu...
15 Reactions
28 Replies
18K Views
Kijana wenu baada ya kumaliza chuo nikaona nijimix kwenye harakati za maisha nipo Dar es Salaaam japo Nina mda mfupi sana hapa. Nimezunguka masoko yote hapa dsm kuanzia mabibo mpaka mbagala...
50 Reactions
136 Replies
34K Views
Kila sehemu kuna utamaduni wa malipo. Kuna sehemu unawalipa kwa mwezi na kuna sehemu mnakatana kwa kila mtakalo liosha, etc Sasa sijajua utamaduni wa malipo kwa upande wa dsm, vijana wanalipwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mpaka leo tarehe 16/03/2022, jumla ya gesi yote iliyogundulika huko kusini mwa Tanzania ni 57 tcf (Trillion cubic feet). Bei ya gesi asilia (Natural gas) kwenye soko la New York Leo 16/03/2022 at...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu. Poleni na majukumu pia ninalo jambo ambalo natamani sana mnisaidie nahitaji kufahamu upatikanaji wa bei za jumla za jezi za timu mbali mbali. Ili nifanye biashara hii
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Mimi sijawahi kubet, sasa juzi nikaona nijaribu. Nikawapa Yanga ushindi, Man City na timu za ligi mbalimbali duniani. Nikaweka sh 2000 ndiyo wakazidisha sijui Mara 50 odds. Utaniutani nikapata...
6 Reactions
38 Replies
6K Views
Back
Top Bottom