Habari zenu wana jamvi,
Nimepata mtaji kiasi cha sh 1,200,000/= lengo langu nifanye biashara ya kupata sh 20,000-30,000/= kwa siku. Je inawezekana kupata biashara ya kuingiza kiasi hicho?
Kuna...
Habarini wana jf.. Ninahitaji kujua jinsi bitcoin inavyofanya kaz kwa maana ya kuuza na kununua ,charges zake kwa kila transactions unazofanya kwa yeyote mwenye idea nayo, maana naona inayo kama...
Naiomba Serikali iunde mipango ya kimaendeleo kwa kutoa kipaumbele miaka mitatu mitatu kwa kila Kanda, yaani nachomaanisha Serikali iache kutumia pesa kubwa kwenye miradi isiyo na tija sana kama...
Kwema wadau mimi kijana mfanyabiashara mdogo wa vinywaji baridi kama soda, maji n k. Lengo kuu la kuandika uzi huu ni kuomba ushauri wa kibiashara na kimaisha.
Nimepata wazo la kutaka kuhamia...
Kwa wanafunzi mashuleni kuwe na mtaala wa kufundisha somo hili. Zamani kuna mada katika somo la Sayansi Kimu au maarifa ya nyumbani lilizungumzia misingi ya uchumi na faida za kuweka akiba.
Kwa...
Habari wakuu,
Samahani kwa mtu mwenye exprience na biashara ya stationary naomba msaada wa kiutaalam.
Nahitaji kuanzisha biashara ya stationary lakini sehemu nilipo kuna ushindani wa hiyo...
1. Uvumbuzi: Usiisahau bidhaa. Sisitizia uundaji wa bidhaa bora iliyo mpya na bunifu na inayoweza kushindana sokoni. Mara kwa mara, biashara zinahimizwa kufikiria juu ya kutangaza bidhaa na...
Habarini wadau wa ukurasa huu.
Nikiwa kati ya watu wenye shauku ya kuona vijana tunajikomboa kiuchumi, nimeona leo nije nishee kitu nilichojifunza.
Binafsi nilikuwa na biashara home Mwanza ya...
JAMANI mtaani mambo ni magumu sana; Ili kujiongezea Vipato na kujinasua na mzigo wa umaskini INABIDI tuangalie vyanzo mbalimbali vya kuweza kujiingizia kipato
Leo ningeomba yoyote mwenye...
Nina mpango wa kufungua akaunti ya akiba ili niwe nahifadhi pesa. Kisha baada ya mwaka ni draw zikiwa na interest nizifanyie wazo ambalo nitakuwa nimepanga.
Kwa wazoefu ipi ni nzuri zaidi, na...
Hello everyone,
Hope this post finds you well!
To cut it short, nahitaji mnisaidie kunitaji Cash app ambayo mtu aliyeko Tanzania anaweza pokea pesa kutoka Marekani. Nimejaribu kufuatilia PayPal...
MARKET EQUILIBRIUM
Market ni soko na Equilibrium ni usawa.
SUPPLY PRODUCT = DEMAND PRODUCT
Kwahiyo usawa wa soko unapatikana pale bidhaa zilizozalishwa kwaajli ya mauzo ni sawa na bidhaa...
Wadau,
Niko kwenye hatua ya mwisho za kuanza mradi wa biashara ya Mboga Mboga, hii ni baada ya kufanya utafiti na majaribio kwa muda wa miezi 6 na kuwa na uhakika wa uwepo wa soko la Mboga Mboga(...
Salamu wapendwa.
Ninatafuta partner ambaye yupo tayari kuwekeza pamoja nami kuanzisha learning center eneo la Pugu Kajiungeni Dar es salaam.
Jengo ninalo na liko centre nzuri
Pia nina waalimu...
Wakuu habari za majukumu?
Kwa wale mawakala wenzangu wa huduma za miamala, Nine experience punguzo kubwa la kamisheni kuanzia mwezi uliopita.
Kwakuwa ukiangalia salio katika siku zote kabla ya...
Wakuu za jumamosi. Tuzidi kuomba Amani Ulaya Mashariki
Nataka kujikita katika shughuli za ufyatuaji matofali ya Block kibiashara. Kabla naomba kupata uzoefu kdg. Aina na gharama ya mashine nzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.