Naomba kuanza kwa kuweka bei za mazao mbalimbali kwa mkoa wa Iringa kwa mwezi February.
1. Mchele super Tsh2000-2200/ kg
2. Mahindi Gunia Tsh 70,000
3. Maharage ya njano Tsh2000/kg
4. Vitunguu...
E-commerce itaenda kuwa mustakabali wa ulimwengu wa biashara na siku zijazo uwezekano wa biashara hii kuwa chini ya kampuni ya Amazon ni kubwa Kutokana na ukubwa wa biashara hiyo ya Amazon...
Habari zenu wapendwa
Naomba kupewa ufafanuzi wa mambo yafuatayo
1)Jina la biashara
2)Trade/service mark
3)Jina la kampuni
Naomba nipewe ufafanuzi katika mambo yafuatayo
~Je jina biashara...
Mnaendeleaje wapendwa? Samahani naomba kufahamu kati ya Chunya na Ubaruku ni wapi panafaa zaidi kwa biashara ndogondogo kama mitumba na migahawa.
Pia ni wapi pana maendeleo zaidi ya kijamii?
Recently Tunduma imekuwa katika topic za conversations kuhusu ukuaji.
Kwa walio huko au wanaoufahamu huu mji, watupatie kiundani kasi ya maendeleo, fursa zinazotekelezwa, utamaduni, uchumi na...
Naomba mnieleweshe.
Kama mtu anataka fungua kampuni A na B ina maana lazima awe na bank acc mbili na kila moja ifanye kazi kivyake.
Je, inawezekana hizi kampuni mbili zika sajiliwa chini ya...
Habarini wapendwa katika Bwana.
Nauliza kama kuna wanaofahamu soko lasamaki wadogo nchi 2, nachi 2¼ wakukaangwa namafuta yamawese pamoja nachumvi, Samaki wakutoka tabora ugala. Kama kuna...
Habari za muda na wakati huu wapendwa
Nimewahi kusikia kuwa hii aina ya Bank account (Nmb chap chap Account) huwa haina makato kabisa labda wakati wa Ku withdraw tu Lakini naskia ukiwa unafanya...
VITU VINAVYO ATHIRI SUPPLY
1. SUBSIDIES and TAXES
Subsidies ni ruzuku ambazo hutolewa katika uzalishaji wa bidhaa flani, Taxes ni kodi.
Bidhaa ikipewa ruzuku za kutosha na ikaondolewa au...
TheGrio ya Marekani waitaja nchi ya Tanzania kuwa miongoni mwanchi tano zinazofaa zaidi kwa utalii 2022 barani Africa wakati wa kipindi cha baridi,
TheGrio, Chaneli maarufu zaidi...
Leo nimeona nitoe idea ambayo naamini vema kwa namna moja ama nyingine inaweza kuwasaidia waTanzania kadhaa.
WAZO: BIASHARA YA SAMAKI AINA YA DEGERE
1. Ufafanuzi
Samaki aina ya degere ni sangara...
Nataka hamia Arusha Ngaramtoni,nataka kujua bei ya kiwanja cha kuweza jenga nyba ya vumba sita inaweza kuwa kiasi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za usiku ndugu zangu,
Nimekuwa nikichanganya vitu hivi viwili. mfano tanzania inataka kununua ndege marekani inatakiwa ibadili Tsh kwenda usd ili iweze kufanakisha internation trade si...
Hello friends, nafikiri ni wakati wa kufanya visivyo fanyika kwa mazoea.
Hii biashara ni promising, kutokana kuongezeka kwa ujanja ujanja kwa generation hii ya watoto wanaopenda good times. Pia...
Jamani hivi mnaelewa kweli vifurushi vya Voda vinavyolika yaan unajiung GB1 kwa shilingi 2000 baada ya saa kimeisha..nisaidieni mtandao gani uko nafuu ktk vifurushi vya mb hawazili mb
SUPPLY
Kwenye uchumi Supply ni zile bidhaa ambazo muuzaji yupo teari kuziuza kwa mda husika, kulingana na bei ya soko.
Mfano 1 :
Muuzaji wa saa, anaweza akawa ametengeneza jumla ya saa 100...
Umekua ukitamani sana kufanya promotion kwenye Instagram sema shida kila ukifanya hola Yani ukifanya hola [emoji1]
Instagram ni Moja wapo ya platform ambayo inawasaidia sana wafanyabishara...
PRICE ELASTICITY OF DEMAND
Hapa tunaongelea jinsi gani ambavyo bei ya bidhaa inaweza athiri uhitaji wa hio bidhaa (demand).
Inaeleza jinsi tabia ya mteja inavyobadilka kulingana na bei ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.