Wakuu nataka kuanza hii biashara ya spear za magari used na new mwenye uwelewa wahii biashara anijuze maana naskia lazima mzigo ukitaka upate faida nzuri inabidi uwende Dubai mwenyewe
Wana Jamii, matumizi ya kupikia kwa gesi yamezidi kuongezeka; nimekuwa nikiona watu wengi wanaweka mitungi ya gas ndani, vipi hakuna hatari yeyote?, je hakuna sheria iliyoweka kwa watumiaji wa gas...
Habarini ndugu naiuza mashine ni mpya kabisa ni heavy duty shilingi laki nane tu ipo mbeya mjini maeneo ya sinde haijatumika nlitaka nifanyie kazi ila nmepata uhamisho kikazi naama mkoa kwahiyo...
Habari ndugu zangu, toka nimeanza kazi yangu iliyotukuka nianayoipenda huu ni mwaka wa kumi sasa. Miaka ya kuzaliwa ni 37 .
Nashukuru kwa kidogo ninachoweza kujivunia ni kuwatengeneza baadhi ya...
Baada ya muda Mrefu Mafuta ghafi kuwa bei chee wakati wa janga la Corona kutoka bei hasi hadi kukaribia dollar 100 kwa pipa wakati huu.
Traders let's take advantage from this.
Habari ya muda huu wana jukwaa, leo ningependa kuwapa faida ya namna ya kuanzisha au kukuza biasra kwakutumia mbinu ambazo zinafanyakazi hasa katika mazingira yetu ya kiafrika.
Wengi wetu...
Wakuu nimepata changamoto ya kila nikiplace order aliexpress naambiwa order imekuwa closed...natatua vipi hiyo changamoto...msaada m mgeni wa manunuzi mtandao hasa aliepress
Hello Wana Tunduma,
Kwa uzoefu idea ipi ya biashara kwa mtaji wa 25million, itanimwagia faida nzuri na kubadilisha maisha yake kwa muda ujao.
Karibuni...
Nimeona picha ya mama Samia kwenye bango kubwa jengo jipya la makao makuu ya crdb.
Haya ni mabadiliko makubwa sana kwa maana ndio bank ya kwanza yenye bango kubwa la Rais nje ya jengo. Kwa maana...
Habarini wana JF,
Naomba kujua kama ni lazima mtu awe amesoma pharmacy ili aruhusiwe kufanya biashara ya duka la dawa muhimu za binadamu au la.
Naomba msaada kwa hili tafadhali.
Habarini wana jamvi, huu utakuwa uzi maalumu kwa wale tunaopitia wakati mgumu kiuchumi/ tulio drop na kufirisika.. na bado hatujasimama.
Binafsi mimi kwa sasa ni miongoni mwa watu wanaopitia...
Hello wanajamii,
Sio tu mnaweza kunisaidia mimi bali na wengine wengi kwenye hii network.
Naamini ideas zote hapo ni best, ila ipi itakayo zalisha pato kwa kasi na ukubwa zaidi.
Naombeni...
Hello wakubwa,
Walio na elimu kuhusiana na biashara. Tunaomba mtusaidie tusiojua.
Kuanzia upatikanaji wa mbao hadi maeneo, uuzaji wenyewe hadi maeneo ya kuuzia.
Je ni biashara ya kukupa faida...
Hello Wadau,
Nafikiria kudeal na handbags za wadada aina tofauti sokoni kariakoo.
Kutokana na kodi kuwa kubwa za fremu nahitaji mauzo kuwa makubwa, je kwa hii idea iko sawa au itanichomesha...
Wadau, Mafundi na wenye uzoefu wa biashara ya vifaa vya umeme wa majumbini naomba mnitajie orodha ya vifaa vinavyohitajika na vinavyotoka haraka kibiashara zaidi.
Nimepata fremu ndogo ya...
Habari, naitwa Ephraim nikijana mdogo nimetoka VETA miaka miwili nyuma natamani nifanye biashara ya kuuza VIFAA VYA umeme Maana ndio taaluma niliyosoma kwa ngazi ya cheti Na level III.
Pia Ni...
Nataka nifanye biashara ya kuuza mbuzi Ila niuze viwandani na sio mnadani, ni viwanda gani wanalipa vizuri na hawasumbui ulipaji? Na utaratibu ikoje?
Naomba muongozo
BUSINESS CYCLE OR TRADE CYCLE
Kwa kiswahili tunaweza sema ni duara la biashara.
Hili ni duara linaloonyesha maendeleo ya uchumi katika nchi au dunia kwa ujumla ambapo kuna kipindi uchumi wa nchi...
Kuanzia kesho tarehe 01/03/2022 gharama zote za utayarishaji wa mikopo katika benki na miamala yote itatozwa VAT...Kuna maana gani kushinikiza mabenki kupunguza riba halafu hiyo nafuu serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.