Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habarini wakuu, naomba msaada ni maduka yapi au maduka ya aina gani ninaweza kununua LACTIC na CITRIC ACID?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana Jf! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, Mimi ni mpenzi wa bisahara za Masafa yaani kununua huku na kuuza kule, ninapenda biashara za jumla. Nataka nikikuletea unanipa changu...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Ninaomba kusaidiwa mchango wa mawazo tatizo ni nini mpaka muda huu nimefilisika kabisa. Mwisho ndani ya miaka mitatu nimefilisika maduka 5. Ambayo nilikuwa nalipia kodi laki 5 kwa mwezi. Nina...
20 Reactions
131 Replies
10K Views
Hopeful, nitapata jibu kutoka kwenu kuhusu kodi za fremu zilizopo mjini kati.
1 Reactions
4 Replies
871 Views
UTANGULIZI Mahindi ni zao muhimu la chakula, na ni aina ya nafaka inayotumiwa zaidi kama chakula,uhususani katika matifa ya Afrika, na yamekuwa yakitumika zaidi na nchi zilizopo kusini mwa jangwa...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Wakuu poleni na shughuli! Ee bana kuna ndugu yangu ameniahidi kunitoa kwenye umasikini,kaniahidi kunikopesha USD 15,000 ili nifungue biashara ya kuuza vifaa vya majenzi. Sasa nauliza wakuu kwa...
2 Reactions
564 Replies
224K Views
Tangu nimalize masomo ya elimu yangu mwaka juzi nimekuwa nyumbani tu bila shughuli yoyote. Kwenye tembea tembea nimefikiria nianze kuuza ile miwa ya kukata na kuweka kwenye vifuko. Kuna mtu...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
SOVEREIGN WEALTH FUND Kwajina lengine huitwa social wealth fund. Huu ni mfuko wa serikali ambao husaidia kuepuka athari zinazo sababishwa na nchi kuwa na rasilimali kama mafuta, gas, madini nk...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
DUTCH DISEASE Huu ugonjwa ni effect ya resource curse. Dutch disease ni ugonjwa ambao unatokea kwenye nchi ambayo imebarikiwa na rasilimali kama mafuta, gesi, madini nk Huu ugonjwa unatokea...
1 Reactions
5 Replies
608 Views
Nauza PS4 CONSOLES mbili, makochi mawili na TV aina ya ONLING inch 32 Habari wakuu...kutokana na mambo kuwa mengi, na hivyo nimeshindwa kusimamia biashara ya PLAY STATION, nauza vitu hivyo kama...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Mlioko mwanza ningependa kujua fursa za Kibiashara kwenye jiji hilo......... Nataka nije kuzisaka huko wakuu
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kama wewe ni mfugaji Basi karibu hapa tuweze kupeana ujuzi wa ufugaji bora pia kutatua changamoto tunazokumbana nazo kwenye mabanda yetu. Waswahili wanasema Cheni ina nguvu tu kama kiunganishi...
1 Reactions
7 Replies
962 Views
Personal Fınance, Hili ni somo muhimu sana ambalo kila mwanadamu angeweza kuliishi basi tungekua tumefanikiwa kuwa na uhuru wa kifedha kwa asilimia kubwa sana. Personal Finance ni uwezo wa...
2 Reactions
4 Replies
799 Views
Hi there, I hope upo poa wherever you are... So, last time nili-post a thread kuhusiana na Jinsi ya kuwa freelancer (Be your own boss working from home), nilipata meseji na replies on how to be...
10 Reactions
14 Replies
6K Views
Kwema wadau kuna jambo nimefikiria nikaona niwashirikishe wadau je kwa mikoa ya simiyu shinyanga au mwanza kuna uwezekano wa kubadilishana bidhaa vijijini kwa mikoa tajwa hapo juu. Mfano nikaenda...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Labda nitolee mfano nachokifanya mm alafu tuchangie ili hili japo liwe sawa. Mfano. Mimi mfanyabiashara wa ASALI naishi Kibaha ila ninawateja Tanzania nzima. Mara nyingi wamekua wakinipigia simu...
0 Reactions
2 Replies
456 Views
Kwa siku za karibuni mtaani tumeshuhudia kupanda kwa bei ya bidhaa mbalimbali kuanzia pembejeo za kilimo (mbolea), sukari, mafuta ya kupikia, mafuta ya vyombo vya moto kwa maana ya dizeli na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Najua hili sio jukwaa la uchumi ila kutokana na unyeti wa jukwaa hili maana naamini ndio jukwaa linaloongoza kutembelewa zaidi na watu mbalimbali mmoja wapo Mimi Sasa kama mada inavyojieleza...
4 Reactions
44 Replies
6K Views
Wadau habari zenu, mwenye kujua Soko la mifupa ya Wanyama hasa ya Ng'ombe anijuze jamani mahali ambapo soko lipo pamoja na bei.
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu, nina 1.5m nafikiria kufungua Saloon ya kiume maeneo ya Kimara. Je zipi ni changamoto zake na faida za kufanya biashara ya namna hii.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom