Nikiwa kama muajiriwa wa serikali naomba kufahamu ni taasisi gani ya kifendha inatoa mikopo ya pesa isiyokuwa na RIBA kwa watumishi wa Serikali?
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe jinsi gani...
Kama thread inavojionesha ! Kama tunavojua ,sisi sote ni ndugu!! Basi naomba tusaidiane kwa hili!! Ndoto yangu ni kufanya kazi chini ya kampuni langu, ndiyo furaha nayoiwazia saana saana kwani...
Kama kichwa kinavosema wakuu Nahitaji mtu anaweza akawekeza Kwenye hili wazo la biashara.WAZO LENYEWE LIPO HIVI👇👇👇👇👇👇👇
Lengo kubwa nikuwasaidia wauza migahawa kuendesha biashara zao hata kama...
Katika utafiti wangu mdogo nikiwa field, nimegundua watu wengi wanapenda mafanikio, kwa kutegemea mwingine ndio amletee mafanikio.
Mfano, mtu atataka afanye biashara ya samaki; atakachofanya...
Ndugu zangu,
Naomba kujua wapi naweza pata mifuko hiyo kwa bei ya jumla kuanzia pic 1000. Aina kama inavyo onekana kwenye picha, kwa Dar es salaam, wapi inazalishwa au kuuzwa jumla.Asanteni...
I know this young man aged 44 for more than 25 years.He started his career as a radio technician around Magomeni areas in Dar es Salaam region.
He is close friend to famous fellow radio...
Wakuu habari.
Baada ya kutoka nduki kwenye biashara ya mchele ndugu yenu wa damu Leo nimekuja na habari mpya ambayo itamgusa kila mmoja wenu hapa jukwani kwahiyo jitahidini kwakweli.
Simnajua...
eti, kodi mpaka one mil per month?
na faida mnapata kabisa.
Hebu tupeni siri za mafanikio!
Je net profit kwa siku inaweza fika laki 1 kwa mtu anaelipa kodi kubwa hivyo?
maana sijawahi kusikia...
Sote tunapenda/tunataka kuwapa wasia wanetu katika safari ya maisha Yao namna ya kuishi na kufikia malengo, hii ni moja ya mambo muhimu ambayo by any price each should deliver it to the loved...
Wana jamvi
Najua kabisa saivi tatizo kubwa kwa vijana sio mtaji bali ni wazo zuri la biashara , biashara gani anaweza kuifanya ikampa mafanikio mazuri na akaweza kuendesha maisha yake
Kama jibu...
Kuhusu Chita, Mlimba, Turiani, Mngeta, Mbingu, n.k mkoani Morogoro
Habari wapendwa na poleni kwa majukumu ya kila siku!
Baada ya salam niende kwenye jambo husika. Kuhusu hayo maeneo tajwa hapo...
Katika Karne hii kumeibuka kampuni nying Sana za Uwekezaji mtandaon,Zipo zilizodumu kwa mda mfup Kisha zikapotea mfano D09 Club&Amazon traders, lkn pia Kuna nyingine bado znaendelea kuwepo , apa...
Habari zenu, naomba mwenye idea ya Day care anisaidie ukitaka kufungua day care unatakiwa uwe na vigezo gani na nini kinahitajika ili umiliki Day care na unatakiwa kuanza na watoto wangapi?
Habari wanajf.
Nimeona nianzishe uzi huu ili kusaidia kuanika vitu feki. Karibu.
Hivi karibuni nilinunua kimashine cha kukatia chips. Ni fake na hakifai
Mwaka 2019 nilipata changamoto ya kazi na nikakaa bila ajira kwa mwaka hivi had 2020. Now niko kazin ila kazi hainilipi kama ile ya mwanzo.
Kipind kile niko benchi niliwaza na kuandika mirad...
Ndugu zangu habari
Nahitaji mkopo wa 5million wa haraka ni micro ipi ipo vizuri kwenye masuala ya mikopo Ya haraka na haina janja janja?? Na riba zake kidogo ni nafuu??
Naombeni mawazo yenu...
MARGINAL RATE OF SUBSTITUTION
Hii theory inaelezea tabia ya mwanadamu ambayo inaendana na ile concept ya choice making.
Hii concept itakusaidia kujua kitu gani unakipenda zaidi ya kingine japo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.