Habari mdau!
Nina Tamani sana kuwekeza Zanzibar. Nahitaji mawazo na ushauri kwa waoifaham vizuri.
Pros and Cons
Upatikanaji ardhi(beach Au inland)
Service Demands
Challenges.
Nitashukuru sana.
Mapolisi wasio na weledi wakiamua kuingia kwenye biashara zako huwa ni wakorofi sana na ni hatari sana.
Je uliwahi kukutana na usumbufu wao kwenye biashara yako.
Kuna muuza laptops flani...
Natumaini mnaendelea vema katika harakati za kuusaka mkate wa kila siku.
Nimekuja hapa nahitaji msaada, kuna malipo natakiwa kupokea, lakini njia nilizokuwa natumia kupokea fedha kutoka kwa watu...
Wakuu habari.
Rejea kichwa cha uzi. Ninataka kujua nini kilisababisha hawa giant kufa kifo cha mende. Nini shida na walikuwa na prospect kubwa sana ya kugrow.
Na nataka kujua zile pos machine...
Habari wakuu, habari za kushinda? Poleni na majukumu.
Siku ya leo nimeona post ya bbcswahil kuhusiana na almasi ya ajabu iitwayo enigma. Sasa nina jiwe kama hilo niliokota miaka 7 iliyopita...
Mtaji Tsh 700,000 unatengeneza mikokoteni 10 kila mmoja kwa Tsh 50,000 jumla mikokoteni 10 Tsh 500,000 unatafuta vijana 10 unawapa mikokoteni na kila mmoja mtaji wa miwa wa Tsh 20,000 jumla kwa...
Habari Ngudu Wanajamii naomba kusaidiwa kwa yeyote mwenye uzoefu, Je! ni vitu gani vya mhimu kujiridhisha navyo kabla ya kufanya maamuzi ya kununua kiwanja au plot hasa vya makazi au biashara .
Jaman habari za asubuh,nahitaji msaada wenu wa mawazo nimekosea kutoa pesa kwa wakala nikawapigia voda baada ya maongezi wakanambia ile ela imetolewa kwny namba ya huyo wakala niliokosea kwa...
Habari, naomba niende kwenye mada.
Nimefanikisha kutengeneza mfumo(system) wa uwekezaji ambapo watu wanakua wanawekeza pesa(kama hisa).
Ni mahsusi kwa mtu Alie nabiashara tayari na anahitaji...
Habari wana Jamii forums
Kwenye maisha tunapitia changamoto nyingi ambazo kuna kuanguka na kukosa wa kukushika mkono, wa kukufariji hata wa kuona thamani yako hata kidogo.
Unakumbuka wakati...
Habarini wakubwa
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu
Mimi ni kijana wana miaka 23...nina mtaji wa milion 2
Wakubwa naomba mnishauri naweza kufanya biashara ya aina gan ...
Salam Salam wapigania Uchumi.
Nina Toyota hiace(dungu) ipo Tanga mjini. Nafikiria niisajili ifanye moja Kati ya kazi (routes) zifuatazo;
1. Kufanya town route(daladala)
2. Kufanya routes za nje...
Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na hao jamaa wa AHJ nikaona offer zao sio mbaya sana, sasa wadau wa kuagiza magari, naomba 123 kuhusu huu mtandao.
Nilihamisha mshahara kutoka NMB kwenda CRDB, tatizo wakati nahamisha nilikuwa nadaiwa salary advance. Baada ya kuchelewa kulipa Kwa muda wa wiki moja nikawekwa kwenye blacklist. Wazoefu natoka...
Ndugu zangu mie ni ni mfanyakazi kama siyo kibarua, nalipwa 500,000 kwa mwezi lakini kila nikijitahidi kupanga bajeti nashindwa. Najikuta nikipewa mshahara tarehe 24 kufika tarehe 10 ya mwezi...
Tunakubaliana kuwa watu weng baada ya corona wamejua thaman ya kula kwa afya ikiambatana na kula zaid vyakula vya asili vyenye virutubisho muhim na kwa wingi.
Sasa mimi nina ndoto ya kufunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.