Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari ndugu. Naumiza sana kichwa kwa imani yangu kwamba pesa ipo uswahilini kwenye biashara ndogondogo. Nawaza kwenda sehemu tajwa na kamtaji kidogo ninacho. Naomba mwongozo na ushauri juu ya...
1 Reactions
6 Replies
902 Views
Gari inauzwa kwa kutupwa.haina tatzo lolote unawasha na kuondoka. Injin Wala gear box havijaguswa. Bei 5,000,000. Call 0683775566. Karibuni
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Habari zenu wadau mimi ni muajiriwa sekta binafsi Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita nilikuwa najishughulisha na ujasiriamali mambo yalikuwa magum sana sikua na mtaji wa kutosha kuhimili soko...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
nimeambatanisha na picha kuna bajaj ya umeme nimeiona alibaba na nimeikubal sana hivyo nataka kuinunua japo sijajua ni njia ipi sahihi ya au nifanyaje ili iagizwe hadi kwangu natanguliza heshima...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari. Kila mtu atakula kwa jasho ndivyo tunaendelea kufanya kila tuamkapo hadi ufikapo muda wa kupumzika na kusubiri tena pakuche. Haya nimewaita wafanyabiashara wote mnatumia WhatsApp Status...
22 Reactions
35 Replies
6K Views
Wakuu, Kwanza kabisa, ieleweke wazi kuwa sipo hapa kupinga kuhusu Crypto-Currency trading, Forex Trading na jamii zote za mambo kama haya. Mie mwenyewe naendelea kujifunza ili nijue kwa undani na...
11 Reactions
31 Replies
6K Views
Naombeni mwenye kujua jamani Kazi ya UWAKALA wa M-pesa, Tigo Pesa, Airtel money inaingizaje pesa?
2 Reactions
69 Replies
59K Views
Mfano umepanga Kukutana na mtu ambaye humjui sura kwa jambo la msingi Stend ya Mabus ya Magufuli,Mbezi. Baada ya kupanga kuwa mtakutana pale, ghafla ukapoteza simu na namba yake huijui. Kwakua...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Huwa nawambiaga watu mimi nikitaka kuanzisha biashara hiyo unayoifanya wewe (unaesoma hii post) hiyo biashara ambayo unaona hailipi haina faida eneo hilo hilo nina uwezo wakupata faida,si...
18 Reactions
12 Replies
3K Views
Wanaofanikiwa sana kwenye Ulimwengu wa biashara sio wanaouza bidha ni wanaouza bei ya bidhaa. Watanzania tunapenad kutumia kitu kwa wakati mdogo kukidhi haja ya muda tu na sio milele ili...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Kwenye hatua ya kwanza kama nilivyosema lazima ujue jamii inachangamoto gani. Changamoto zipo nyingi sana hata mtaani kwako na nyingine ni za kitaifa au kidunia kabisa, kwahiyo kadiri changamoto...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Bila kupoteza mda hope kama unasoma uzi huu uko salama kabisa ,ebana kama kijana ni muhimu kutoa mawazo ya biashara kwa vijana wenzangu nao amini bado tunatafuta Sasa kuna watu ambao wanasema...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Ni biashara ya usambazaji wa nyama za mbuzi katika mabar hapa mjini dar es Salam. Mbuzi unawatoa mikoani na kuwaingi hapa ndani na kuwa chinja na kuchuna na kisha kuwasambazia ware walio kupa...
1 Reactions
53 Replies
3K Views
Kwema wadau nilikuwa naomba kujua je eneo la Kisesa Mwanza ni pachangamfu kufanya biashara ya vinywaji baridi soda maji n.k au ya nafaka kwa Bei ya rejareja Mwenye uzoefu na biashara hizo kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo naomba tupate utaratibu kuhusu mikopo inayotolewa na taasisi za kifedha za kiislam kama Amana bank, NBC Islamic account n.k. Utaratibu wao upoje. Mikopo yao huchukua muda gani mpaka umalizapo...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari za kazi wakubwa Biashara ya mkaa Ni biashara ambayo inawez kukutoa kutoka sehemu moja kwenda nyingine ,hivo kwa fursa hyo napenda yeyote ambaye atakuwa vizuri tuwekeze pamoja katika...
5 Reactions
59 Replies
12K Views
Naombeni anayeweza kunisaidia afanye ivo, Mimi ni mjasiriali kwa kweli angalau matokeo nayaona , lakin sasa natamani nichukue mkopo ili niweze kujitanua zaidi . . biashara ina documents zote, tin...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Wengi tunataka magari ya bei nafuu, hii hupelekea kujikuta tuko tayari kununua gari bila kufanya uchunguzi wa kina, baada ya kujiridhisha kuwa gari unalotaka kununua lipo katika hali...
4 Reactions
231 Replies
19K Views
Tulilia uhuru wakati hata barabara za lami mikoani zilikuwa hamna. Elimu ilikuwa bado kulikuwa hamna maendeleo yeyote wala miundombinu ya kuleta maendeleo katika nchi ona sasa miaka zaidi ya 60...
2 Reactions
8 Replies
476 Views
Duka linapatikana njiro 88 pick n pay Baada ya crdb Room no 8 Nguo nzuri za kike ziko kwenye punguzo Suruali za vitambaa 10000 ukipata kuanzia 5 @8000 Magauni 10000 Skirt 10000 Jeans 8000...
2 Reactions
2 Replies
735 Views
Back
Top Bottom