Hawa jamaa wanafanya maisha yanakuwa magumu.. wanatusababishia hasara kubwa, wanakata umeme bila taarifa yoyote Ile.
Wanatakiwa wawe na namba za customer care kama ilivyo Kwa mitandao ya simu...
Je Kuna mashine za kuosha makapeti?
Kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya jambo hili naomba anijuze tafadhali , maana kuna makala moja nimesoma nikaona kwamba sehemu ambazo wanaosha magari wanafanya...
Habari zenu wanaJAMII
Kwa wale ambao pengine wanamfahamu BENJAMIN FERNANDES ama umekuwa ukimfuatila katika kurasa zake za mitandao ya kijamii hasa Instagram na Facebook. utakuwa umekutana na...
Taifa kama taifa ni LAZIMA litafute namna ya kuchukua pesa za wanaobet ili kuziingiza kwenye mfumo unaoleweka wa kiuchumi!!!
Tukitumia mfano wa mtu anayefahamika na wengi kwa mfano, Diamond...
Habari za muda wakuu.
Hapa nimepata fursa nzuri kidogo ambayo natarajia kuifanya lakini sitaki kukurupuka.
iko hivi , kuna rafiki yangu yuko canada nimemwomba anitaftie computer for...
Wakuu nipo Dodoma huku ni fundi simu, changamoto ya Dodoma hawana vifaa vingi huwa napata changamoto baadhi ya bidhaa wateja wakihitaji kama hapa kuna battery ya sony xperia xz nilikuwa nahitaji...
Kumekuwa na changamoto kubwa kuhusiana na lipi ni eneo sahihi la kuiweka biashara yako,watu wamekuwa na kasumba na kujifanyia hadi imefikia hatua hawajui athari zimeletwa na nini. Na hii...
Tumeshusha RIBA
Leo tumetangaza punguzo kubwa la riba za mikopo ya kilimo na mikopo ya wafanyakazi ili kuchochea ukuaji wa uchumi nchini;
[emoji2389] Riba ya mikopo ya kilimo imepunguzwa kutoka...
Nimekuwa mnunuzi wa bidhaa mbali mbali kutoka China kwa kupitia kikuu ambapo bidhaa naipata kwa siku 14 na sijawahi pata tatizo lolote..Lakini changamoto nayoona kikuu Wana wigo mdogo wa bidhaa...
Habar wakuu ...kama kichwa cha habar hapo juu
Namuomba yeyote mwenye ujuzi juu ya cryptocurrency ajitokeze kuna kitu aniseidie kutatua
Iko hivi nili meet na manzi mmoja kwenye social network...
Kwa bei za kahawa zilizoanishwa na Benki ya Tanzania, kuanzia mwaka 2002 hadi mwaka 2020 bei ya kahawa aina ya Arabica imekuwa kubwa kuliko bei ya robusta kwa mauzo ya kilogram moja kwa Dola za...
Kama unataka kuingia kwenye kilimo ni muhimu kujua bei za soko za bidha unazotaka kujihusisha nazo ili kujua zao ambalo litakulipa zaidi na ukajikwamua kiuchumi
Kwa takwimu zilizopo bei ya Kilo...
Katika ulimwengu wa biashara,kuna aina mbili za wateja
Kuna wateja ambao ni LOYAL na wateja ambao ni ROYAL mteja ambaye hayuko katika kundi moja katia ya hili basi sio mteja.
Mteja ROYAL ni...
Hi
Forgive my post in English. Are there any property websites that cater exclusively to Tanzania? I'm thinking of starting one and would be grateful for your assistance.
I would also appreciate...
Hii milioni 25 ni baada ya kutoa kodi ya pango.
Biashara zote nina experience nazo.
So kwa ushauri wenu, kati ya hizo ideas, ipi itanipatia mapato ya nguvu......
Wana bodi salam.
Ukiwa mjini na unafanya kazi kwenye majengo makubwa ya mashirika au hotel kubwa kubwa, unaweza toka ofisini usijue kinachoendelea mtaani. Sababu ni kuwa wana automatic power...
Nina wazo la kufungua saluni ya kiume, lakini sijui mashine ya kunyoa ni bei gani,kiti na kioo, kuhusu redio nitanunua sabufa, naombeni mawazo ndugu zangu na bado kijana atakaye kuwa kinyozi huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.