Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Grace Products (Zoa Zoa) yaja na Dawa ya Meno Ile kampuni maarufu Bongo kwa utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za vipodozi, maarufu kwa jina la Zoa Zoa imepiga hatua nyingine mbele kwa kutoa dawa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu hbr za jioni Napenda. Kujuwa na Kuuliza juu ya suala la uwekezaji wa huyu mzungu muingireza hapa bongo kama nilivyosikia katika hotuba za bajeti zetu kuwa Mwingereza ndio anaongoza zaidi...
1 Reactions
6 Replies
900 Views
Habarini wandugu Naomba kuelekezwa jinsi yakukokotoa na kujua kiasi cha pesa kinachobaki au anachopewa mkononi anaechukua mkopo CRDB (Net loan) Mfano: Nikikopa 2,700,000/= nitapewa tsh ngapi?
1 Reactions
5 Replies
951 Views
Mim ni bint wa miaka 27 natafuta mtu wa kushirikiana nae kulipa fremu ya biashara (mwanamke). Nimesha pata fremu tayar maeneo ya magomen kanisani(Dar) gharama yake laki moja miez 6 kwahiyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wasalaam ndugu zangu. Hali iliyonikuta ni kuwa nlikua na biashara ndogo nliachiwa uendeshwaji wake kwangu na shule ikawa changamoto ikafa nikahangaika na vitu vingine sasa nataka kufungua...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana JF, najua kuna watu wengi tuu wanaopiga pesa kupitia online media, especial katika content writing, tupeni michongo na sie tujikwamue pamoja
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu samahani ningependa kupata msaada wa wapi naweza kupata karatasi kwa ajili ya kuprint labels, stickers na flyers iwe vinyl, glossy ama otherwise. Natanguliza shukrani.
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mambo vipi wanajamvi? Nimewaza Mara kadhaa kuhusu bidhaa zinazoletwa sokoni na Bwana Chibu Dangote kwa nini hazidumu katika soko? Chibu ni kijana mpambanaji mwenye uchu wa mafanikio makubwa na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanunuzi wa bidhaa pale GAME Mlimani Sity jihadharini na bidhaa hizo.Kuna tetesi kuwa bidhaa nyingi hapo dukani ni mbovu na zina matatizo.Mimi mwenyewe nienunua karibu bidhaa tatu ambazo...
6 Reactions
191 Replies
55K Views
Wewe kama mwanafunzi wa chuo, una nafasi nzuri ya kufanya biashara. Kutokana na wingi wa watu waliokuzunguka na kuwa na uwezo wa kujua mahitaji yao. Kwanza inakubidi kutambua mahitaji ya kila siku...
0 Reactions
3 Replies
14K Views
Salaam wadau, Penye miti mingi, hapakosi wajenzi. Leo naomba kufahamu au kupata elimu toka kwenu wadau, jinsi ya kufanya ninapotaka kuagiza mzigo/bidhaa toka nje ya nchi kwa nia ya kujakufanya...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Hii hapa Tanzania inauzwa Ml 2.5
10 Reactions
165 Replies
51K Views
Rais Samia alisema juzi baada ya Mwigulu kumpa orodha ya madeni yaliyoiva walifikiria kutumia mkopo kulipa madeni hayo. Hii ina maana gani kiuchumi na je ni afya kwa uchumi wetu? Msaada kutoka kwa...
2 Reactions
8 Replies
849 Views
Habari wakuu .. Kama mtu anauhakika wa kulipa laki moja kila mwezi ,vigezo na masharti vikifuatwa kulingana na taasisi ni wapi anaweza kupata mkopo wa million 1,... Bank nyingi hazitoi mkopo...
3 Reactions
7 Replies
623 Views
Habari wakuu. Kwa anayefahamu ni jinsi/njia gani zinahitajika ili kupata uwakala wa kusajili laini za simu ili kujipatia kamisheni. Nina mpango wa kuongeza kabiashara na naona hii biashara...
0 Reactions
10 Replies
12K Views
Habari za uzima, heri ya mapinduzi kwa wa Zanzibar wote, Niende kwenye poit moja kwa moja kwa sasa nipo mkoa flani kwa utafutaji baada ya kumaliza masomo yangu moja ya chuo hapa hapa tanzania...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna DOGO kamaliza form4 hivyo nataka nimwezeshe biashara ya kuuza vifurushi vya dk,mb,sms vya mitandao yoote na kuuza LUKUU ya umeme visiwe vya kukwangua vocha Bali kutumia mashine (SIJUI NI...
1 Reactions
2 Replies
643 Views
Kuna kitu nimekiona miongoni mwetu sisi waswahili, ambacho sio salama kabisa katika kuendesha miradi yetu ya kibiashara. Hii unaweza kuwa ndio sababu kubwa sana ya biashara nyingi kufa kifo cha...
11 Reactions
8 Replies
2K Views
Hawa wanatoa mikopo, je hawana utapeli maana mtu unataka kuchukua mkopo, nashangaa Wànasema ulete 250,000 eti ni Akiba yako na 61,000 kama bima ya mkopo at the same time wanashikilia Mali zako...
3 Reactions
62 Replies
13K Views
Back
Top Bottom