Nikiuliza bei ya kiroba cha mihogo sokoni niliambiwa ni 70,000-80,000. Inamaana ukiwa na heka tano za mihogo Kisarawe, na una van ndogo inayoweza kubeba viroba vinne kwa siku. Una uwezo wa...
Salaam!
Kama ilivyo kwa kiumbe chochote kiwe hai au kisicho hai inafikia kipindi kinahitaji new energy au mbinu mbadala kuweza kutoka pale kilipo na kusogea sehemu nyingine. Vivo hivyo kwa...
Wakuu nilikua naomba msaada JUU ya manunuzi ya mtandaoni. natamani kuwa mfanyabiashara wa vitu vya Electronic ambayo kwenye site ya alibaba vinauzwa kwa bei rafikiila changamoto huwa ni...
Habari za usiku wakuu, Nina budget ya 6.2 milioni Ila wazo langu ni kufungua studio ya picha vipi kwa budget hio naweza fungua studio yenye viwango na Kama kuongezeka niongeze Bei gani maana hata...
Kuna siku nilisema soda zimepungua mtaani. Sasa manoni tunayaona. Ukiwa na duka kwa sasa hupati soda kwa gari Hadi uwe umeorder kiwandani. Pili bei ya jumla imeongezeka kutoka 9500 Hadi 11,000...
bridge and walks ways made out of recycled plastic timber. The projects has brought an amaizing and incredible look, free from several maintainance costs, free from termites, free from rusts and...
Nimenunua mabati ya kiboko G28 lakini wakati wa kuezeka fundi akanieleza kuwa hayakai kwenye usawa kama ailvyozoea.
Nilipoyapima nikapata vipimo vifuatavyo
Upana: sehemu ya chini ni cm 82 na...
Wadau naomba kujua yafuatayo kuhusu biashara ya printing.
1. Machine nzuri za design and printing.
2. Wapi naweza pata machine hizi.
3. Mtaji kiasi gani nawe nao kuanza biashara hii
4. Designer...
Hii ni special kwa vijana wanaotafuta mtaji. Kwakuwa watu wengi wameshajazwa upepo kuwa hawana nguvu za kiume kumbe wanazo tele na Dar ni jiji kubwa basi wewe cheza na fursa.
Nenda kanunue vile...
Nilikuwa kwenye Youtube channel ya Millard Ayo nikakutana na stori ya kijana mmoja kwa jina Scott ambaye ni Mtanzania,aliyefungua biashara ya restaurant ya Pizza na ikanivutia kuangalia video...
Wafabiashara wa masoko ya Hisa dunian(forex,crypto,bitcoins,binary options,gold,oil etc ebu tukutane hapa.
Eleza changamoto unazokutana Nazo, umekata tamaa au bado, umesoma vitabu vingapi, kipi...
Mdau mmoja amejiajiri na anaweza kupata sio less than 1m monthly. Wazazi hawaelewi wanataka aombe ajira. Yeye binafsi ndoto yake ni kuniajiri kwa sababu ya ujuzi wake na competence anaamini...
Habari wakuu! Naomba kuelimishwa kidogo, nataka kufanya biashara na Supermarket moja hapa jijini Dar, wameahidi kuchukua mzigo mkubwa iwapo ntakuwa namiliki risiti za EFD kwaajili ya VAT. Kwa...
Vijana wameanzisha mobile app ya kujifunza kuhusu masuala ya uwekezaji, App hiyo inapatikana play store.
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.wapnum.yiflms
Kwema wakuu.mimi Ni mjasiliamali naona Kuna fulsa ya kutoa loss report za upotevu wa Mali za watu maana naona biashara yangu ipo located na kituo Cha police nitumie njia gani aliye na ABC anipe...
Nahitaji kujua masoko ya soya ya ndani ya nnchi pia mwenye kujua jinsi ya kupata masoko nnje ya nnchi bei ya soya kwa kilo tafadhali ani pm tufanye biashara Mzigo uliopo ni tone 5000
Wana JF
Ukiwa Bukoba raha sana, wale ambao walikuwa wanagonga nyagi mwitu wameamia kwenye bia ya buku huku wakifurahia ujio wa kiwanda hiki mwanza, maroli na maroli yanamwaga bia bukoba, usije...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.