Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habarini ndugu wana JF Poleni na mihangaiko ya siku. Niende moja kwa moja kwenye mada,ndugu zangu mimi ni kijana ninayepambana ili kuhakikisha naweza kutimiza ndoto na malengo...
3 Reactions
11 Replies
8K Views
Vp wakuu, kuna fremu ya 650k/m floor ya kwanza kutoka chini, ni mtaa uliochangamka. Kutokana na kodi kubwa, inabidi mauzo yachangamke. Vp saikolojia ya wateja wa k.koo, licha ya kuwepo na mduka...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya vitu huhitaji kuwa na hata certificate ya uchumi kuelewa. Wakati nchi zetu za kiafrika na hasa Tanzania tukiwa na tatizo kubwa la ajira kwa vijana ila ukweli ni kuwa tuna export...
1 Reactions
4 Replies
747 Views
Habari wanajamii forums Leo nimekuja na fursa ya jinsi gani wewe kijana unaweza kuanzisha biashara yako ya kuuza madini Zifuatazo ni hatuna za kufata jinsi utakavyoweza kununua na kuuza madini...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Mauzo ya simu kwa sasa yameongezeka sana. Kutokana na uwepo wa ushindani mkubwa katika soko. Pia tukiangalia na kazi ya simu za mkononi. Zipo kukurahisishia upatikanaji wa taarifa. Na upatikanaji...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Waziri wa Utalii wa Irani Mhe.Seyed Ezatullah Zarghami (aliyevaa barakoa nyeusi) akipata maelezo kuhusu vivutio vya utalii vinavyopatikana Tanzania katika Banda la Tanzania, Maonesho ya Utalii...
0 Reactions
1 Replies
555 Views
Habari wana jamiiforums Kama mnakumbuka nilitoa thread nilikua nahitaji wafanyakazi kwa ajili ya kutengeneza system kama ya blockchain kwa ajili ya kufanya mining ya cryptocurrency hapa Tanzania...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nina plan ya kuagiza mashine ya kusaga unga (complete system, 10tons/24hrs) kutoka china na nimeambiwa CIF cost to Dar ni usd 23,000. Pia nina plan ya kuagiza system nzima ya grain...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari wakuu. Mtaani hali si hali mtaji umekua changamoto kubwa sana kwa vijana wengi. Wengi huishia tu madayworker na inshu za kuunga unga tu. Sasa huwa nasikia kuhusu mikopo inayotolewa na...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
DOHA, Qatar — Qatar Airways has marked a milestone in its history with Tanzania, celebrating 15 successful years since its debut flight between Doha and Dar es Salaam Airport (DAR) on 9 January...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Habarini Wanadaslama, Kuna hii project ya kuuza viatu vya kiume special, ni mitaa ipi tofauti na k.koo itafaa kwa aina hii ya business mjini Dsm, namaanisha iliochangamka kupelekea usichome...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya kurejea nchini, matumaini yangu na nguvu ya kuitumikia Tanzania yalikua makubwa kweli, Nilijaribu tafuta ajira kwa kipindi cha mwaka mmoja bila mafanikio, nikaamua kuanza kujiongeza kwa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Mheshimiwa Mkurugenzi wa BRELA, Hizi ni zama za kidijitali, na tuko fourth industrial revolution. Lakini hapo kwako BRELA kuna tatizo. NImeingia mfumo wa ORS nimekwama, na hakuna namna ya...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Naomba mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia Television za Maisha, ubora na upungufu wake anifahamishe nijue. Asanteni, nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za asubuhi waungwana, Katika kupambana na adui umaskini, nafikiria kuwa wakala wa MAXMALIPO au BUTTONPAY. Ni faida/hasara gani naweza kupata nikiwa wakala wa moja kati ya Kampuni...
0 Reactions
27 Replies
23K Views
Habari ya mchana wakuu, Wenye ufahamu na biashara ya mazao naomba tupeane ABCD hapa. Kuhusu ununuaji, uuzaji vitu vya kuzingatia masoko n.k wa mazao mfano Mahindi. Tufundishane pia jinsi ya...
4 Reactions
78 Replies
33K Views
Hello wana JF: Leo nimeona nishee na nyinyi juu ya msemo huu wa kiuchumi. Katika pitapita zangu vitabuni nimeweza kukutana na msemo huu "It takes money to make money" yaani kwamba mtu anahitaji...
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Naiomba serikali yangu sikivu iangalie upya Sera zake maana kule tunaenda kama Sera hazito badilika hali itakuwa mbaya sana. Ikumbukwe Kwa SASA secta binafsi imepunguza kuajiri na walio kuwepo...
1 Reactions
3 Replies
973 Views
Habari Zenu ? Husika na Kichwa Cha Habari Personally napenda sana photos / pics nikasema what if nijaribu this venture ninunue camera Canon 5D Mark 3 nianze hii biz mdogo mdogo....on...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu bidhaa za Biscuits, PiPi,Big G hizi bidhaa huwa hazina msimu zinatembea kweli kweli kwenye soko Mtaji kiasi gani natakiwa kuanzia nao location Dar
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom