Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Naombeni uzoefu jamani..hizi laini za uwakala wa miamala ya simu unaweza kutumia muda gani kuipata baada ya kuwa umeshapeleka vile viambatanisho wanavyovitaka mfano leseni ya biashara, TIN namba...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wakuu, katika kuunga mkono juhudi za serikali za kuhakikisha tunakuza soko la uwekezaji nchini Tanzania, sisi vijana kupitia kampuni yetu ya BlU company ltd tunaongeza 'ubunifu' na maarifa...
2 Reactions
0 Replies
505 Views
Mimi ni mzoefu wa kununua mtandaoni kwa muda ila sijawahi kutumia DHL hapo kabla kuna siku ya discount nilinunua Kiparcel kimoja Wireless, usb and Bluetooth Headphone kwa 10k ilikua siku ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu wa mtandao pendwa JF hapa nchini Binafsi natamani kufungua biashara ya kufanya miamala ya pesa kupitia simu Nahitaji wataalamu mnipe utaratibu wa kuanza biashara hii, mtaji upo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Watu wengi wanaotoa huduma binafsi za kifedha kama NMB WAKALA, CRDB WAKALA, M PESA, TIGO PESA n.k huwa unakuta TILL namba siyo za majina yao na siyo kwamba wanapenda lahasha! Pengine ni kutokujua...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ikiwa wewe ni mjasiriamali mchanga au mwenye uzoefu wa kuhudumia wateja hadi 10,000 — kamwe huwezi kuchoka kutafuta wateja wapya. Kwa wafanyabiashara wengi, mchakato wa kutafuta wateja wapya...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
Mwaka 2016, wakati naanza kazi ya afisa masoko kwenye kampuni ya Natural Skin Solution(NSS) hapo nishahitimu degree moja, nikawa naamini kila mmoja ni mteja wa bidhaa zetu asilia za ngozi na...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Msingi wa biashara yoyote ni Mauzo. Bila mauzo basi hakuna Biashara. Hata hivyo changamoto ambayo inawakumba wafanyabiashara wengi ni kupata wateja. Kuwa na bidhaa au huduma ni jambo moja na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari Naomba kuuliza , shughuli gani ambazo naweza kuingiza kipato kwa kutumia,usafiri wa piki piki, ukiacha na ubebaji wa abiria ( boda boda). Natarajia kupata piki piki, so nataka...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
HABARI WANA JAMII WEZANGU NAAMINI TUMEAZA VIZURI MWAKA 2022.KIUKWELI NAPENDA SANA NANA FURAIA UWEPO WA WADAU ASA KWENYE SECTA YA UCHUMI .NINAWAZO LA BIASHARA NAKWAKIASI NAIFANYA LAKINI MPAKA OFISI...
1 Reactions
7 Replies
785 Views
Hawa madalali wa magari kwanza wanafanya Biashara kua ngum sana kwa muuzaji mana yawezekana ww kama muuzaji unataka gari yako uiize kwa 5M ila madalali wanakupanga kua biashara inafanyika very...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Wasalaam Mimi ni muhitimu Bachelor wa fani ya IT. Nimeajiriwa na kampuni binafsi iliyopo Dar es Salaam since 2019. Nina mkataba wa kudumu. Nahitaji mkopo wa kiasi cha Tshs 2,000,000 kuna...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafuta Toyota Spacio New model (kibongo bongo) yenye cc 1490 na milage isiyozidi 100,000km. Iwe kwenye hali nzuri,sihitaji madalali, nafanya ya biashara na Owner Rangi ikiwa silver itapewa kipau...
0 Reactions
1 Replies
897 Views
Nimekua na interest ya uchoraji (hasa wa cartoons) baada ya kupata simu moja hv aina ya Samsung Galaxy Note 4. Zile ambazo hua zinakua na kikalamu cha kuchorea wenyewe wanaita S-pen. Nmekua...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari, nilikua na wazo la kufungua duka la nguo za mtumba za kupoint sasa naomba mwongozo wa jinsi ya kidizaini chumba kiwe na muonekano mweny picha ya muonekano wa chumba
0 Reactions
1 Replies
716 Views
1. Ambaye mara nyingi anazima simu 2. Ambaye mara nyingi hapokei simu 3. Ambaye simu yake siku zote ina matatizo 4. Ambaye anabadili sana line za simu 5. Humpati mpaka akutafte yeye kwenye simu 6...
13 Reactions
32 Replies
3K Views
Naombeni ushauri na mawazo yenu. Nimefikiria kuanzisha shughuli ya urembo kwa wanawake (dressing salon), lakini hii itakuwa tofauti kidogo yaani movable dressing salon, kwa sababu nina ma...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Hapa Kenya imekuwa too saturated, just like everything else, lakini waliokuwa pioneers walifaidika si haba. Swali ni, sijui kama vifaa vinavotumika kwa ukarabati vinapatikana huko, na importantly...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Kwa wenye biashara ya Barber shop au saluni ya kiume naomba kujua set ya mashine ya kunyolea ni bei gan?? Au Kwa kuanza biashara hiyo unaweza kununua nusu ya seti au hta moja wapo tu ili biashara...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Hii ndio hali halisi ya mtaa wa Lindi Kariakoo. Hili suala linajirudia taratibu na imeshaanza kuwa kero tena
2 Reactions
17 Replies
930 Views
Back
Top Bottom