Habari za kutwa watu wa uchumi na watanzania kwa ujumla. Awali ya wote niwapongeze kwa juhudi zinazofanyika na zilizokwisha kufanya mpaka kuifikisha Tanzania katika uchumi wa kati. Pongezi za...
Habari wapendwa,
Nipo kwenye mchakato wa kufungua kampuni. Kuna kipengele cha Shares, mwenye ujuzi wa namna ya kugawanya share na maana zake anipe msaada tafadhali.
Nimekutana na huu mfano...
Habari Mh Rais,
Mimi ni mmoja wa wakulima wadogo ninaefanya kilimo cha mboga mboga kwa umwagiliaji kwa njia ya matone lakini urasimu uliopo kwenye mabenki nimeshindwa kupata mkopo wa kilimo kiasi...
Habari za mda huu
Nahitaji mchango wenu wa mawazo katika hili ni kwamba nina eneo langu la wazi linatazamana na kituo ch mafuta ambach hakijaa anza kufanya kazi bado hili eneo kama mnavyojua sasa...
Wapenzi wapi nitapata haya mahindi yakiwa bado mabichi yaan ndo yanatoka shambani? Mimi nipo dar nayahitaji sana kwa shughuli zangu za kibiashara.
Asanteni
Salam Wakuu,
Ninapenda kujua ni mtaji kiasi gani unaweza kutosha kuanzisha biashara ya kutengeneza na kuuza icecream.
Mchanganuo huo uhusishe gharama za kununua mashine ya utengenezaji, mashine...
There are countries in the world whose economies are one of the pillars of the world economy for they are massive, most of them invested heavily in certain sectors such as industrialization which...
Hivi huyu jamaa ni kweli anauza hizi laptops zenye sifa za juu kwa bei hii! Au ni tapeli mwenye ushuhuda aliyenunua kwa bei hizo atuambue kama kweli. Tena fully boxed! Maana hii ni bei rahisi sana...
Ni baada ya umeme kukata ovyo kila saa, bila mpangilio maalumu nchini, na kupelekea hasara za ovyo kwa Wananchi na kwa Taifa, hususani uharibifu mkubwa wa vyombo vitumiavyo umeme. Pia kuzorota na...
Bitcoin lost a third of its value in 24 hours
Has the bitcoin fever broken?
Bitcoin prices plunged sharply to below $11,000 on Friday, shedding a third of its value in just 24 hours, according to...
Hii kampuni nimeona matangazo yao wanauza bidhaa kwa bei ya China, bidhaa zao zinashawishi kuwafuata maana ukiangalia bei yao naona kama haiendani na thamani ya bidhaa yenyewe kwa kuwa rahisi...
Interior design is the process of shaping the interior space, through the manipulation of spatial volume as well as surface treatment. It is not to be confused with interior decoration. Interior...
Haijalishi kama huna tani zote 100 ila tuna nunua kuanzia gunia 10 nakuendelea..
Kinachotakiwa ni Ulezi usiwe na mchanga wala usiwe mchafu.
Ukauke vizuri.
Bei iwe nzuri
Njoo Dm tuongee zaidi
The Democratic Republic of Congo (DRC) has tipped Kenyans to invest in its minerals and agricultural sectors in deals that will Equity Bank #ticker:EQTY finance.
Governor of East Kasai province...
Mzukaaaaaa!!!!
Guys it's been so loooooong time since my last thread on due course!!!let's go
Umewahi kujiuliza kuwa kunaweza kuwa na ligi ya mabus Tanzania? Kama hujawahi kujiuliza ndio...
Kama kichwa cha Habari kinavyojionesha ubaoni Nina mpango wa kuhamia mkoa morogoro - ifakara mjini ningeomba mwenye uzoefu kule anijuze lengo nikafanye biashara ndogondogo Nina mtaji wa mil 1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.